Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Poleni nyie mnaotaka kuwafanya mafala wenzenu, na tumeishawambia tafuteni santuri nyingine maana hiyo iliishachuja pale tu ilipoanza. Ukijua hili wenzako wanajua lile!
Hahahaaaaaa lipi walijua....!
 
Kikao kilikuwa cha siri ,yote haya umeyajulia wapi.Huu ni uzushi,upuuzi na uwongo.Msitufanye wote wajinga..Ruge mdogi wangu, stori ya kutunga mtu yeyote aliyeenda shule anaijua tangu paragraph ya kwanza.
 
Mimi napata ukakasi kidogo hapo, hivi kama unatenda mema kwanini utumie nguvu zote hizi?
 
Kikao kilikuwa cha siri ,yote haya umeyajulia wapi.Huu ni uzushi,upuuzi na uwongo.Msitufanye wote wajinga..Ruge mdogi wangu, stori ya kutunga mtu yeyote aliyeenda shule anaijua tangu paragraph ya kwanza.
Kwani mengine ya siri huwa yanajulikanaje? Umeenda shule ya kiwango gani?
 
Suala LA Makonda na vyombo vya habari linapofanywa kama siasa linaviharibu vyombo vya habari.
Sidhani kama kufungia habari za Makonda kutajustify weledi wa vyombo vya habari.
Jukwaaa LA wahariri na vyombo vya habari wanapaswa kubadilika kwani kwa kufanya hivyo wanawanyima watu uhuru wa kupata habari.
Vilevile si busara kwa wana habari /wanasiasa kutunga tunga habari bila ushaidi wowote kwa kutumia maneno "tetesi,inasemekana,nimedokezwa,nimetonywa n.k" ili eti kupima upepo au kuleta mijadala inayoharibu habari/taswira ya cho/vyombo cha/vya habari.
Kituo kama cha Startv tawira yake iliishaharibika siku nyingi, ni chombo ambacho hakina credibility tangu siku nyingi. Kinachofanywa na Jukwaa la Wahariri ni kumshape mtoa habari unayemtaka ili aweze kutoa habari zenye maana kwa jamii na sio zile za kutukana na kudhalilisha watu, upo?
 
Yaani kabisa mnaamini Diallo anaweza kufirisika kwenye utawala wa awamu ya tano?Mnajidanganya sana nyie Nyumbu na kweli nimeamini huu mchezo hamuuwezi
Anadaiwa bilioni 4 TRA, wafanyakazi hawajalipwa mishahara na hakuna dalili msaidieni!
 
Yana Mwisho haya... Nauona Usukuma kila sehema lkn tunawahebia siku. ...!
 
Kumbe wenye madeni ya TRA ni wengi, wakati wanamfungia Mbowe kwa nini hawakunga Star Television. Hii inchi ya kukomoana tutafika?
 
Kweli mkuu, nadhani kuna gap kati ya intellectual ability na uwezo wa kufaulu mitihani. Wengi wetu tuna uwezo wa kukariri na kufaulu mitihani ya darasani tu. Intellectuals wapo wachache sana.
Kweli kabisa mkuu,kuna watu wanadhani kusafiri nje ya nchi ni matumizi mabaya ya pesa ,wanasahau kwamba mataifa makubwa yote yamepata nguvu baada ya kuona umuhimu wa kusafiri nje ya mipaka yao,anzia akina Christopher Columbus ..... Carl Peters ......sisi tunafungiana ndani ya mipaka kubana matumizi wakati hata katika dini imeagizwa "kuisaka elimu popote ilipo hata kama ni China"
 
Acha umburura Ccm haitowagi vyeo kihivyo na istishe makonda hana uwezo wa kuzungumzia maswala ya chama. Wajumbe wa kamati kuu ndo waamuzi sio MTU mmoja kama kwenu mbowe akimpitisha mtu basi ndo huyo huyo.

Kumbe uhujui uwezo na cheo cha Makonda ndani ya CCM na Serikal, Kawaulize wakina Samia na Majaliwa
 
Povu la nini sasa, nina uhuru wa kuchangia hapa,ama lazima tufanane mitizamo nawewe?najua nawe kesho ni miongoni mwa mtakaotizama kipindi cha Makonda.

Mlisusa kuandika habari zake lakini now kila uzi unaomhusu mnafungua na kuchangia jamani mtakonda bure kwa chuki.
Zingatia ushauri niliokupa kuhusu miandiko/mwandiko.
 
Kweli kabisa mkuu,kuna watu wanadhani kusafiri nje ya nchi ni matumizi mabaya ya pesa ,wanasahau kwamba mataifa makubwa yote yamepata nguvu baada ya kuona umuhimu wa kusafiri nje ya mipaka yao,anzia akina Christopher Columbus ..... Carl Peters ......sisi tunafungiana ndani ya mipaka kubana matumizi wakati hata katika dini imeagizwa "kuisaka elimu popote ilipo hata kama ni China"
Ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia
 
Back
Top Bottom