Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Acha taarifa za porojo kama hukuwa ndani ya maongezi yao wewe umejuaje taarifa hizo kama siyo uongo
 
Ni Mtu tu Mpumbavu wa aina yako na asiye na exposure yoyote yale anaweza akawa na blanketed remarks kama hizi zako halafu hapo ulipo unajiita Great Thinker. Hivi hapa duniani kuna Watu waliokuwa Matajiri, Wafujaji, Watesaji na Wanyanyasaji wa Raia kama walivyokuwa Watoto wa aliyekuwa Rais wa Zaire ( leo DRC ) akina Jose Kongolo Mobutu na Dada yake Ngawali Mobutu?

Huyu Kongolo alikuwa hana tofauti na Makonda wetu lakini hakuna Mtu ambaye alikufa Kifo kibaya sana nchini Congo DR kama yeye huku akiwa kawaachia Warembo kibao wa DRC ugonjwa wake wa UKIMWI / SIDA na kwani karibia Wanawake wengi wa Kongo alikuwa akiwaingilia kwa nguvu ( kuwabaka ) na wapo pia ambao alikuwa akifanya nao ngono akimaliza anawapiga risasi na kuwauwa huku wengine akiwaamrisha wale askari waliokuwa wakimtii sana Baba yake wawachukue wale wanawake na kwenda kuwatupa Mto Congo ili waliwe na Mamba.

Ilifika kipindi huyo Mtoto Kipenzi wa Hayati Mobutu ( Jose Kongolo ) alipewa Madaraka makubwa na Baba yake hadi akawa anaiba Mali za Wakongo huku akimteulia Baba yake Mawaziri na Viongozi wa nafasi nyeti hasa za Usalama wa Taifa na za Ukuu wa Majeshi lakini pia huyu Mtoto Jose Kongolo alikuwa pia hata akichukua jukumu la Kuwaua Viongozi wa ngazi za juu wa Congo DR ( zamani Zaire ) ambao ama aliwaona au aliwahisi kwenda kinyume na Baba yake.

Cha kushangaza sasa kama siyo kusikitisha pamoja na jeuri yote ya kuwa Watoto wa Rais Tajiri Africa wakati huo huku wakiwa na kila kitu huwezi amini macho na masikio yako kwani Mtoto Mkubwa wa Kike wa Hayati Mobutu Seseko aitwae Ngawali au jina la Utani Mama Mibeko sasa ni Bar Maid katika Baa moja kubwa tu pale jijini Paris mji Mkuu wa Ufaransa kiasi kwamba hata Wakongo au Waafrika wengine wanaomjua huwa wakienda Paris hupita hapo kumwangalia na wengi wao hutokwa na machozi ya huruma kwa jinsi alivyochoka na kupigika sana Kimaisha.

Ninachotaka tu kukuambia na kukufundisha hapa ni kwamba katika maisha haya ya sasa hakuna kitu kizuri na cha baraka kama kuishi vizuri na Watu, kuwa na kiasi na kutenda haki na mema kwa Watu wote kwani huyu Makonda wenu akiendekeza hizi tabia zake atakuwa anapita mule mule ambapo alipita Jose Kongolo Mobutu na kujikuta hata siku akitutangulia mbele ya haki anazikwa na Watu saba tu hadi tisa kama ambao walimzika Jose kisha baadae Wakongo wakawa wanaenda pale Kaburini wanakojoa na hadi wengine Kunya pale juu huku wakilivunja vunja Kaburi lake na kumlaani.

Tujifunze na yaliyokwisha tokea na kamwe tuache kujifanya sisi ni Vichwa ngumu na Paul Makonda ajue kuwa Maisha ni kama Matokeo ya mpira ambapo leo unaweza ukawa unashinda sana lakini kuna wakati nawe utakuwa unafungwa mno na kuambulia sare nyingi na hata kupelekea kushuka daraja na kupotea kabisa Kimafanikio.

Kila la kheri.
Safi sana, nafikiri dozi ya gentamycine imemuingia vizuri kijana.
 
Shybubu siri huwa ni ya mtu mmoja tu. Ikiingia kwa watu wawili na zaidi sio siri tena. Ukiongea siri hapa, huyo uliyeongea naye hafungwi kujadili na mtu mwingine ambaye siajabu anamuamini zaidi kuliko wewe, then it goes that way.
Nimekuelewa sana TGInocent, lakini bado haitoshi kuwa fact, still we have opinions.
 
MBONA TAARIFA ZA BABA YAKO KUFUMANIWA NA MALAYA HUJAANDIKA MAMBO YA WATU NA BIASHARA ZAO YANAKUHUSU NINI? KAMA HUNA KAZI KALALE UNAANDIKA MAMBO MAREFU KUMBE UMBEYA UNAKUSUMBUA SASA TUAMBIE KESI YA BABA YAKO IMEKWISHA MAANA UNADHANI HATUKUJUI? SAFARI YA MFANYA BIASHARA ANTHON DIALO KWENDA SA NAYO UNASEMA UTATUJUZA ILI IWEJE NANI KAKUTUMA UTUJUZE? INA FAIDA GANI KWA JF MPAKA UTUJUZE? TAFUTA KAZI YA KUFANYA SIYO KUFUATILIA MAISHA YA WATU UTAKUFA SIKU SI ZAKO MJINGA WEWE.
Hasira za nini?
 
kanda ya ziwa watajaa serikalini miaka hii iliyobaki, msishangae miaka ijayo bashite ni raisi wa tz si unajua hawa jamaa wakiweka hata jiwe watakachachua kura ili jiwe lishinde
 
Bashite anahaha na bado mbona mapema sanaa hivi?? Mzee Diallo anaota Ukatibu Mkuu hataupata anaona sababu yeye ni wa nyumbani? Atashangaaa!!!
 
Kwahiyo kumbe yawezekana hata ule Ubunge wa Kuteuliwa wa Mama Lwakatare ulitokana na Yeye kukubali Radio ya yake kumpa airtime Paul Makonda hivyo Makonda nae akaenda kwa Baba yake wa Kufikia kumpigia pande Mama Lwakatare? Ila ipo siku ukaribu wa hawa Wawili Baba na Mwanae utaishia kubaya mno na kuna mmoja ataumia, kuumbuka na kuaibika mno. Ni suala la muda tu.
Mkuu leo unatiririka hadi raha, nimeishakutangulizia like za kutosha! Ni kweli kwamba ukaribu wa hawa watu unaligharimu sana taifa hili; kimaadili na mambo mengine. Mtu mwenye akili ya kawaida anaweza kujiuliza-hivi vitendo vya Bashite, kuanzia kutukana na kudhalilisha wafanyakazi kwenye mikutano ya hadhara na haya ya kughushi na "kuvamia" kituo cha runinga kisha kutishia wafanyakazi wa kituo kuwa wasipotii matakwa yake atawatengenezea kesi za unga, ndiyo mteuzi wake anataka jamii ijifunze? Inauma sana, na ukweli Kikwete alifanya kosa ambalo halitasahaulika!
 
Ni Mtu tu Mpumbavu wa aina yako na asiye na exposure yoyote yale anaweza akawa na blanketed remarks kama hizi zako halafu hapo ulipo unajiita Great Thinker. Hivi hapa duniani kuna Watu waliokuwa Matajiri, Wafujaji, Watesaji na Wanyanyasaji wa Raia kama walivyokuwa Watoto wa aliyekuwa Rais wa Zaire ( leo DRC ) akina Jose Kongolo Mobutu na Dada yake Ngawali Mobutu?

Huyu Kongolo alikuwa hana tofauti na Makonda wetu lakini hakuna Mtu ambaye alikufa Kifo kibaya sana nchini Congo DR kama yeye huku akiwa kawaachia Warembo kibao wa DRC ugonjwa wake wa UKIMWI / SIDA na kwani karibia Wanawake wengi wa Kongo alikuwa akiwaingilia kwa nguvu ( kuwabaka ) na wapo pia ambao alikuwa akifanya nao ngono akimaliza anawapiga risasi na kuwauwa huku wengine akiwaamrisha wale askari waliokuwa wakimtii sana Baba yake wawachukue wale wanawake na kwenda kuwatupa Mto Congo ili waliwe na Mamba.

Ilifika kipindi huyo Mtoto Kipenzi wa Hayati Mobutu ( Jose Kongolo ) alipewa Madaraka makubwa na Baba yake hadi akawa anaiba Mali za Wakongo huku akimteulia Baba yake Mawaziri na Viongozi wa nafasi nyeti hasa za Usalama wa Taifa na za Ukuu wa Majeshi lakini pia huyu Mtoto Jose Kongolo alikuwa pia hata akichukua jukumu la Kuwaua Viongozi wa ngazi za juu wa Congo DR ( zamani Zaire ) ambao ama aliwaona au aliwahisi kwenda kinyume na Baba yake.

Cha kushangaza sasa kama siyo kusikitisha pamoja na jeuri yote ya kuwa Watoto wa Rais Tajiri Africa wakati huo huku wakiwa na kila kitu huwezi amini macho na masikio yako kwani Mtoto Mkubwa wa Kike wa Hayati Mobutu Seseko aitwae Ngawali au jina la Utani Mama Mibeko sasa ni Bar Maid katika Baa moja kubwa tu pale jijini Paris mji Mkuu wa Ufaransa kiasi kwamba hata Wakongo au Waafrika wengine wanaomjua huwa wakienda Paris hupita hapo kumwangalia na wengi wao hutokwa na machozi ya huruma kwa jinsi alivyochoka na kupigika sana Kimaisha.

Ninachotaka tu kukuambia na kukufundisha hapa ni kwamba katika maisha haya ya sasa hakuna kitu kizuri na cha baraka kama kuishi vizuri na Watu, kuwa na kiasi na kutenda haki na mema kwa Watu wote kwani huyu Makonda wenu akiendekeza hizi tabia zake atakuwa anapita mule mule ambapo alipita Jose Kongolo Mobutu na kujikuta hata siku akitutangulia mbele ya haki anazikwa na Watu saba tu hadi tisa kama ambao walimzika Jose kisha baadae Wakongo wakawa wanaenda pale Kaburini wanakojoa na hadi wengine Kunya pale juu huku wakilivunja vunja Kaburi lake na kumlaani.

Tujifunze na yaliyokwisha tokea na kamwe tuache kujifanya sisi ni Vichwa ngumu na Paul Makonda ajue kuwa Maisha ni kama Matokeo ya mpira ambapo leo unaweza ukawa unashinda sana lakini kuna wakati nawe utakuwa unafungwa mno na kuambulia sare nyingi na hata kupelekea kushuka daraja na kupotea kabisa Kimafanikio.

Kila la kheri.
Na vile anajidai kumjua sana Mungu ilhali akiwatendea ubaya watu wa Mungu ndo anazidi kujipatiliza.
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho, na sote huwa tunaomba mwisho mwema..........Jk tulihisi atakua na mwisho mbaya sasa walo wengi wanamuombea heri. Ni muda tu kwa yeyote!
 
Back
Top Bottom