TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 582
Aliyaogopa (pamoja na ukabila) pia kwa sababu yaNaomba kuuliza hivi ni kweli kuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huko nyuma aliwahi kupinga haya makabila
wasiwe Viongozi ( namaanisha ) Marais katika nchi hii kwa sababu kubwa kwamba wanaendekeza mno Ukabila na kwamba ni Wakabila wa Kutukuka?
- Wahaya
- Wachagga
- Wasukuma
- Wanyakyusa
Nitashukuru nikipata majibu kutoka kwa Wajuvi na wale Wazee wa zamani mliokuwepo na Mchonga kipindi hicho.
● kuwa na idadi ya watu wengi
● kuwa na watu wengi walioelimika
● kuwa na misimamo, kutokukubali kuburuzwa.