Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

"...alisema tutaisoma namba.." Ngoja tuisome basi..
 

Naomba kuuliza hivi ni kweli kuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huko nyuma aliwahi kupinga haya makabila
  1. Wahaya
  2. Wachagga
  3. Wasukuma
  4. Wanyakyusa
wasiwe Viongozi ( namaanisha ) Marais katika nchi hii kwa sababu kubwa kwamba wanaendekeza mno Ukabila na kwamba ni Wakabila wa Kutukuka?

Nitashukuru nikipata majibu kutoka kwa Wajuvi na wale Wazee wa zamani mliokuwepo na Mchonga kipindi hicho.
 
Umenikumbusha,diallo pia aliwahi kumiliki kampuni ya ndege,leo kafilisika,kafulia,kawa masikini wa kutupwa,kweli maisha yanakimbia,kwa kasi ya Ussain Bolt!!

Ukipenda sana Mbunye tena za Watoto wadogo / Vibinti vya Vyuoni SAUT, CBE na UDSM lazima tu utafilisika utake usitake.
 
Source please au wewe ni kwa namna ulipata hiyo story.

Otherwise naiterm story yako fit for Nyumbuz wenzio.
Kwahiyo Makonda anatumia watakatisha pesa kumlipa Dialo?
 
Nguvu Ya Mamba Mumai Kumuchanga Unaburuta Tu!!!

Nguvu Ya Bashite Ni Sasa Hivi
 
Nimeamini vyombo vya habari vina nguvu sn. Yan huyu jamaa kusema "SORRY" ameshindwa?? Sasa anatumia mamilioni kusaidia watu kulipwa mishahara, wkt neno sorry lilitosha kabisa kumfanya aonekane muungwana..!! Daaah...!!

Dear Lord, nipe akili nyingi na maarifa, kuliko kunipa uongozi na majivuno kiburi na hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…