- Thread starter
- #21
Wapo ndiyo hao wameteuliwa tayaliKwani Tanzania hakuna wanawake wenye sifa hizi ulizozitaja za uthubutu, ujasiri, availability,Usiri, na Mlengo wa kisiasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ndiyo hao wameteuliwa tayaliKwani Tanzania hakuna wanawake wenye sifa hizi ulizozitaja za uthubutu, ujasiri, availability,Usiri, na Mlengo wa kisiasa?
Uongozi hauna Jinsia... Hatuhitaji Mwanamke au Mwanaume aongoze majeshi ya ulinzi anyone can be as long as s/he will be available and able to serve...Kwa hiyo mleta mada unataka kusema wanawake, waislamu na watu kutoka Kaskazini wengi hawana uwezo wa kutosha ndio maana wamekosa nafasi katika baraza jipya!
Okay, sasa tujadili hili.
-Nini mantiki ya serikali ya CCM kuanzisha agenda ya 50/50 kijinsia miaka kadhaa iliyopita wakati mantiki haipo? Kwanini hiyo sera isifutwe kabisa?
-Kwanini haya mambo ya ubaguzi(jinsia, dini, kanda) yanajionyesha wazi wazi sasa na sio hapo kabla? Hivi Wanawake, watu wa kaskazini na waislamu uwezo wao kiutendaji umeshuka ghafla kipindi cha Magufuli tu mpaka wasipate teuzi?
Umeeleza bayana sana! Asipokuelewa Atakuwa na tatizo!Uongozi hauna Jinsia... Hatuhitaji Mwanamke au Mwanaume aongoze majeshi ya ulinzi as long as he will be available and able to serve...
Mimi nikiugua sihitaji Daktari Mwanaume au Mwanamke ninahitaji Daktari anayeweza na bora ndiye anitibu. Usitafsiri agenda 50/50 kama Charity..
Agenda 50/50 ni kuleta equal opportunities kwa wanawake na kuwajengea uwezo wa kuchagua na prosper kwenye chaguzi zao. Haimaanishi kila sehemu tutataka kuwe na 50/50
Ukija kwenye Udini Nakuona kama unataka shari tu.. Zanzibar is a full fledged state.. ina Maeneo mengi inapohitaji best minds to function.. almost all the best in Zanzibar get absorbed into the government..
Ukija Bara.. Elimu imekawia kwa Islam communities, ukiita Mainjinia 1000 hardly utapata 200 ni ni waislamu.. haimaanishi sio best ila the competition is high.. and as a leader you need the best to serve. If they don't make it kwenye mchujo its understandable.
Tuliwekeza mno kwenye Madrasa tukasahau elimu dunia ambayo unfortunately ndiyo inayohitajika kwenye utendaji wa kila siku.
Timu ikifungwa tunamlaumu kocha, kumbe timu imezingatia uwiano wa kidini na si uwezo wa mchezaji.Simba na Yanga uwiano wa kidini
Ni mawazo ya kijinga kweli
Hapa umedharaulika.Tumwache Rais afanye ili baadae ndipo tumlaum vizuri
Hivi kwenye kampeni zilizopita ulisikia mpinzani hata mmoja aliyelaum waziri badala ya Rais!?Hapa umedharaulika.
statement duni sana hii.
Ndugu yangu usijali haya ni mambo ya mpito. Kila kiongozi anakuwa na ajenda zake, hivyo tuwaache wafanye kazi ya kulitumikia taifa.Kwa hiyo mleta mada unataka kusema wanawake, waislamu na watu kutoka Kaskazini wengi hawana uwezo wa kutosha ndio maana wamekosa nafasi katika baraza jipya!
Okay, sasa tujadili hili.
-Nini mantiki ya serikali ya CCM kuanzisha agenda ya 50/50 kijinsia miaka kadhaa iliyopita wakati mantiki haipo? Kwanini hiyo sera isifutwe kabisa?
-Kwanini haya mambo ya ubaguzi(jinsia, dini, kanda) yanajionyesha wazi wazi sasa na sio hapo kabla? Hivi Wanawake, watu wa kaskazini na waislamu uwezo wao kiutendaji umeshuka ghafla kipindi cha Magufuli tu mpaka wasipate teuzi?
Shukurani mkuu Kamukhm. Dah... kweli elimu haina mwisho.Mkuu umesema vema kabisa. Na ni kweli tupu. Wakati mwingine usitumie neno "UHUWIANO" maana sio kiswahili.. tumia Uhusiano au Uwiano hayo ndio maneno sahihi ya kiswahili sanifu. Nikutakie Asubuhi Njema Mkuu.
Kwa hiyo tusubiri avuruge ndo alaumiwe au aambiwe ukweli ili akiharibu ajihukumu?Hivi kwenye kampeni zilizopita ulisikia mpinzani hata mmoja aliyelaum waziri badala ya Rais!?
Lawama zote si alipewa Rais? Sasa kwanini unampangia mawaziri tofauti na wenye uwezo anaowaamini?
Sasa kama ishu ni uwezo na wapo wanawake wenye uwezo kuna ubaya gani kuteua wanawake wenye uwezo asilimia 50% na wanaume wenye uwezo asilimia 50% ili kuunda baraza la mawaziri la asilimia mia?Wapo ndiyo hao wameteuliwa tayali
Jiwe hovyo kabisa na ataendelea kutumia nguvu nyingi sana aonekane anafanya cha maana lakini mwisho ataaibika vibaya.Nazidi kuwasihi Watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke!
Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana!
Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi usiku na mchana!
Wanaume wenye uwezo mkubwa wapo wengi mlitaka waachwe ili wakateuliwe wanawake kisa wapaka poda!
Baadhi za hoja ukizitafakali ni za kipuuzi sana!
MMESAHAU KWAMBA MAENDELEO YASIPOFIKIWA LAWAMA ZOTE MNAMPA RAIS!
RAIS NI KAMA KOCHA WA TIMU! MSIMPANGIE TIMU! maana mwisho wa siku timu ikifungwa MTAMFURUSHA!
Kwa kuacha kuteuwa wanawake wengi au kina Shyrose hamridhikagi! Awamu hii mtulie kwanzaJiwe hovyo kabisa na ataendelea kutumia nguvu nyingi sana aonekane anafanya cha maana lakini mwisho ataaibika vibaya.
Kabisa
16.7 percentWaislamu 7 wakristo 42
Enz za kikwete mbona mlipiga kelele.Haya mambo yanatutesa sana, kwenye baraza la mawaziri tunataka uwiano wa kidini, kwenye timu ya taifa uwiano wa kidini, kwenye ajira uwiano wa kidini, kwanamna hii hatuwezi fika popote.
Jiwe hakuona weupe wa kuwapo vyeoNazidi kuwasihi Watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke!
Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana!
Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi usiku na mchana!
Wanaume wenye uwezo mkubwa wapo wengi mlitaka waachwe ili wakateuliwe wanawake kisa wapaka poda!
Baadhi za hoja ukizitafakali ni za kipuuzi sana!
MMESAHAU KWAMBA MAENDELEO YASIPOFIKIWA LAWAMA ZOTE MNAMPA RAIS!
RAIS NI KAMA KOCHA WA TIMU! MSIMPANGIE TIMU! maana mwisho wa siku timu ikifungwa MTAMFURUSHA!
Hapo umenena,hakuna haja ya kubalance jinsia au dini,,tunaangalia uwezo wa kuwa kiongoziNazidi kuwasihi Watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke!
Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana!
Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi usiku na mchana!
Wanaume wenye uwezo mkubwa wapo wengi mlitaka waachwe ili wakateuliwe wanawake kisa wapaka poda!
Baadhi za hoja ukizitafakali ni za kipuuzi sana!
MMESAHAU KWAMBA MAENDELEO YASIPOFIKIWA LAWAMA ZOTE MNAMPA RAIS!
RAIS NI KAMA KOCHA WA TIMU! MSIMPANGIE TIMU! maana mwisho wa siku timu ikifungwa MTAMFURUSHA!
Jambo lolote likianza kuleta udini, ukanda, ukabila, siliungi mkono.Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app