Uwaziri siyo jinsia; haiwezekani kisa Jinsia tuwe na Mawaziri wabovu. Ili tusonge mbele tunataka viongozi makini bila kujali dini wala jinsia

Uwaziri siyo jinsia; haiwezekani kisa Jinsia tuwe na Mawaziri wabovu. Ili tusonge mbele tunataka viongozi makini bila kujali dini wala jinsia

Mbona hajaongelea habari ya 50/50 jeshini,

kina mama nao wakapasue matofali kichwani
 
Uongozi hauna Jinsia... Hatuhitaji Mwanamke au Mwanaume aongoze majeshi ya ulinzi anyone can be as long as s/he will be available and able to serve...

Mimi nikiugua sihitaji Daktari Mwanaume au Mwanamke ninahitaji Daktari anayeweza na bora ndiye anitibu. Usitafsiri agenda 50/50 kama Charity..
Great Thinker a.k.a Genious among very few in JF...

umemaliza, umegongelea, umekaza,asie elewa apite vile...

Napenda point zishushwe namna hii,Point zenye mashiko na kueleweka 👊
 
Back
Top Bottom