Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini, hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani?? Na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa?? Una nakala yako ya malipo??

Kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu, baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa, nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma, tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao, kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju, nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi.

Nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa, alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho, wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Hii muvi angeipata Kitale ingekua msupa sana..
 
Ukishaona wanapost huku wamezuia watu kucomment jua kuna walakini hapo
 
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini, hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani?? Na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa?? Una nakala yako ya malipo??

Kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu, baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa, nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma, tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao, kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju, nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi.

Nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa, alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho, wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
'Rf~ttz
 
Na nyie mmezidi unyonge.
Huyo aliyekujibu boss hayupo inatakiwa utoke nae mpaka kwao.
Akakae kwako mpaka boss wake arudi
 
Samahani mkuu eleza hapa anachotakiwa kufanya, sio mumvutie huko PM mkamning'inize tena, no offense.

Mimi habari zangu mtazisoma kwenye gazeti la jumatatu wiki ijayo maana nitakachofanya hakitakua siri. Mil 5 na laki 4 ni pesa nyingi sana kwangu. Si mnaelewa vile moto umetumika kuresolve mambo mengi recently ee.. basi moto utasolve na langu.

Mkisikia tu habari za kufanana na kariakoo, karume, mapipa, cask (Mwanza), soko la katoro, ukumbi wa bunge Afrika kusini, msijiulize mengi.
Mkuu mpaka sasa bado kimya.
 
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini, hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani?? Na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa?? Una nakala yako ya malipo??

Kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu, baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa, nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma, tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao, kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju, nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi.

Nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa, alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho, wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nikikumbuka ishu ya jamaa aliyemfanyia umafia wakili halafu nikicheki na huu mkwara, naona kabisa kuna mtu anaelekea kuzimu
Kuna mtu humu Jf aliwahi kumchimba mkwara jaji flani hivi, heeh baada ya siku kadhaa huyo jaji akafarik aiseee.
 
nawaza ka wewe ni mpigaji halafu unakutana na mjanja zaidi ako anakupiga na cha juuu hahaaaa
 
Sometimes tunatakiwa kujifunza...

Mbona Bongo kuna kampuni nyingi tu ambazo ni well established? NHC hiyo ni ile iliyo close na Mnara wa Askari (Old Timers wanaifahamu kama ilipokuwa NBC Foreign Branch) au ni ile iliyo close to TTCL ambayo hapo hapo kuna SBT Japan ambayo ni well established car dealer company?

Siku hizi haya mambo sijui ofisi yetu ipo mahali fulani hayatoshi kukujengea confidence bila kujiridhisha na profile yao kwa sababu hivi sasa kuna shared office. Unafika kwenye ofisi, unakuta kuna meza labda 3 au 4, ukiingia kichwa kichwa unadhani ni ofisi ya maana na kudhani wote hao ni ofisi moja yenye wafanyakazi wengi kumbe wamekutana tu hapo na kila mmoja na mishe zake!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom