Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Hii muvi angeipata Kitale ingekua msupa sana..
 
Ukishaona wanapost huku wamezuia watu kucomment jua kuna walakini hapo
 
'Rf~ttz
 
Na nyie mmezidi unyonge.
Huyo aliyekujibu boss hayupo inatakiwa utoke nae mpaka kwao.
Akakae kwako mpaka boss wake arudi
 
Mkuu mpaka sasa bado kimya.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nikikumbuka ishu ya jamaa aliyemfanyia umafia wakili halafu nikicheki na huu mkwara, naona kabisa kuna mtu anaelekea kuzimu
Kuna mtu humu Jf aliwahi kumchimba mkwara jaji flani hivi, heeh baada ya siku kadhaa huyo jaji akafarik aiseee.
 
nawaza ka wewe ni mpigaji halafu unakutana na mjanja zaidi ako anakupiga na cha juuu hahaaaa
 
Sometimes tunatakiwa kujifunza...

Mbona Bongo kuna kampuni nyingi tu ambazo ni well established? NHC hiyo ni ile iliyo close na Mnara wa Askari (Old Timers wanaifahamu kama ilipokuwa NBC Foreign Branch) au ni ile iliyo close to TTCL ambayo hapo hapo kuna SBT Japan ambayo ni well established car dealer company?

Siku hizi haya mambo sijui ofisi yetu ipo mahali fulani hayatoshi kukujengea confidence bila kujiridhisha na profile yao kwa sababu hivi sasa kuna shared office. Unafika kwenye ofisi, unakuta kuna meza labda 3 au 4, ukiingia kichwa kichwa unadhani ni ofisi ya maana na kudhani wote hao ni ofisi moja yenye wafanyakazi wengi kumbe wamekutana tu hapo na kila mmoja na mishe zake!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…