Hivi na zimamoto nao wanasoma hapo CCP?Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao. NI Kama akili zao haziko sawa kisaikolojia.
Wengi wana childhood traumas, inferiority complex,Cold blooded murders, Racketeers, mentally retarded with low cunning.
Jaribu ku draw mstari wa mazoea sana. SHIRIKIANA NAO PALE TU PALIPO NA ULAZIMA.
Maslahi ya Nchi hapo ni NOO!Mtu yoyote wa vyombo vya usalama siku zote ataangalia maslahi yake na nchi
Mkuu,Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao. NI Kama akili zao haziko sawa kisaikolojia.
Wengi wana childhood traumas, inferiority complex,Cold blooded murders, Racketeers, mentally retarded with low cunning.
Jaribu ku draw mstari wa mazoea sana. SHIRIKIANA NAO PALE TU PALIPO NA ULAZIMA.
Kaeleza hapo,Madhara ya mazoea na askari ni yapi?
Duh! Hatari sanaKaeleza hapo,
Askari wanasemekana kuwa ni double faced devils. Kukuuza ni sekunde
AiseeEpukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao. NI Kama akili zao haziko sawa kisaikolojia.
Wengi wana childhood traumas, inferiority complex,Cold blooded murders, Racketeers, mentally retarded with low cunning.
Jaribu ku draw mstari wa mazoea sana. SHIRIKIANA NAO PALE TU PALIPO NA ULAZIMA.
Aisee , wenyewe kwa wenyewe wanasnichiana πππππKuna askari aliniambia haamini askari, nilibaki nimeduwaa
Nyie masnich,halafu mkiwa hampo na uniform mnajichekesha kifalafalaAtupo ivyo kaka tunaishi na watu vizuri
Atakuwa polisi huyo huwa hawaaminiani sana hata makazi huwa wanafichanaKuna askari aliniambia haamini askari, nilibaki nimeduwaa