Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

Kibenje KK

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Posts
270
Reaction score
391
Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo

Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia maeneo ya chalinze heka 100 kila heka moja bei ni mil 1 eneo lipo umbali wa km 7

Na lipo lingine lipo hapo pingo chalinze km 2 bei mil 2 kwa kila heka zipo heka 10

Na lipo lingine lipo umbali wa heka 8 kila heka bei mil 1.5 umbali wa km 3 tu.

Karibu uwekeze 0762815104
 
Huna eneo lililogusana na Lami ya Moro road ?????
 
Back
Top Bottom