Uwekezaji huu wa Diamond Platnumz, kamwe hatafulia kama wengi wanavyodhani

Una shauri wewe kama nani....!? Unajipendekeza pendekeza tu
Mtu mwenye matatizo ya kiakili utamjua tu. Kichwani inasemekana nyie mashabiki wa kile chama mfu mmejaza minyoo na vinyesi ndiyo maana mnatumia makalio kufikiria. Njooni CCM tuwape maziwa ili kuondoa sumu za chandomo
 
watu hawawekezi instagram
lady jay dee
AY
mwana fa
ungejua uwekezaji wanaomiliki
wala usingeanzishaa hii thread mchwara maana unahesabu mpaka views kuwa ni utajiri
ila huyu aliyegundua insta huyu
 
mr nice ni mfano wa wasanii waliofulia
 

nani kakwambia ukiwa na nyuma na studio hauwezi kufilisika?? ajipangeee
 
Dr.Dre hajawahi kuporomoka hata siku moja man.....Kitakachomuokoa Diamond ni studio hata akiporomoka ataendelea kupata pesavkupitia migongo ya wasanii wengine!
 
watu hawawekezi instagram
lady jay dee
AY
mwana fa
ungejua uwekezaji wanaomiliki
wala usingeanzishaa hii thread mchwara maana unahesabu mpaka views kuwa ni utajiri
ila huyu aliyegundua insta huyu

Hujielewi kabisa, kaa mbali na mada yangu. We hujui kuna wasanii wanalipwa kutokana na views. Unajua Ronaldo analipwa ngapi kwa akipost twitter?

 
Nyumba ya South Africa iko kwa jina lake?
uwekezaji wa brand ya hawara sio guaranteed..
siku mkimwagana hupati hata senti....hawara sio mke
Point zako ndio zilizopelekea kupata Uongoz jf Dats gud

waiter zungusha [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
[emoji23][emoji23]Team kodo mnapanic
 
Zitaingiza kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…