Uwekezaji huu wa Diamond Platnumz, kamwe hatafulia kama wengi wanavyodhani

Benki ana Bilioni 5.

Lakini awe muangalifu.Walifulia akina Whitney Houston na MICHAEL Jackson sembuse Diamond wa Mbagala.

Hayati Notorioua B.I.G alishawahi kuimba ;"More Money More Problemz".
Michael Jackson alifulia?

Kama hujui kitu bora ungeulizia kwanza!
 
Aiseee!!![emoji35][emoji32]... Madame Rita kaletewa kodi ya tshs bln moja. Hivi wanategemea atailipaje?
 
Hujielewi kabisa, kaa mbali na mada yangu. We hujui kuna wasanii wanalipwa kutokana na views. Unajua Ronaldo analipwa ngapi kwa akipost twitter?

View attachment 405606
real msanii kama diamond anapiga pesa nyingi sana youtube etc... kuna ma-pimbi hawajui kila ukiangalia video yake youtube anapiga pesa... kila mwisho wa mwezi anapokea dollar za kutosha kupitia bank/western union za youtube ... ie kwa yale matangazo yanayotokea..
 
watu hawawekezi instagram
lady jay dee
AY
mwana fa
ungejua uwekezaji wanaomiliki
wala usingeanzishaa hii thread mchwara maana unahesabu mpaka views kuwa ni utajiri
ila huyu aliyegundua insta huyu
Mkuu...
Kipi sahihi kwako kwa wasanii wetu..?
Kuficha MAFANIKIO yao..!?
Au kuonyesha MAFANIKIO yao..!?
Kwangu nafikiri ni sahihi sana kwa hawa wasanii kuonesha sanaa inawalipaje..!
 
real msanii kama diamond anapiga pesa nyingi sana youtube etc... kuna ma-pimbi hawajui kila ukiangalia video yake youtube anapiga pesa... kila mwisho wa mwezi anapokea dollar za kutosha kupitia bank/western union za youtube ... ie kwa yale matangazo yanayotokea..
Tatizo mtu kama huyu na ubishi wake unampuuzia, hajui kuwa followers alio nao Diamond Instagram ni utajiri tosha huo ndio maana makampuni yamepanga foleni...
 
Back
Top Bottom