Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michael Jackson alifulia?Benki ana Bilioni 5.
Lakini awe muangalifu.Walifulia akina Whitney Houston na MICHAEL Jackson sembuse Diamond wa Mbagala.
Hayati Notorioua B.I.G alishawahi kuimba ;"More Money More Problemz".
[emoji23][emoji23]Team kodo mnapanic
Michael Jackson alifulia?Benki ana Bilioni 5.
Lakini awe muangalifu.Walifulia akina Whitney Houston na MICHAEL Jackson sembuse Diamond wa Mbagala.
Hayati Notorioua B.I.G alishawahi kuimba ;"More Money More Problemz".
Hakuna ambaye hafanyi yake, huyu ni celebrity so kuzungumziwa ni jambo la kawaida.Nasie tutafute vyakwetu......kujadili maendeleo ya watu kutatuchelewesha kufanya yetu wadau
Michael Jackson alifulia?
Kama hujui kitu bora ungeulizia kwanza!
Aiseee!!![emoji35][emoji32]... Madame Rita kaletewa kodi ya tshs bln moja. Hivi wanategemea atailipaje?Benki ana Bilioni 5.
Lakini awe muangalifu.Walifulia akina Whitney Houston na MICHAEL Jackson sembuse Diamond wa Mbagala.
Hayati Notorioua B.I.G alishawahi kuimba ;"More Money More Problemz".
real msanii kama diamond anapiga pesa nyingi sana youtube etc... kuna ma-pimbi hawajui kila ukiangalia video yake youtube anapiga pesa... kila mwisho wa mwezi anapokea dollar za kutosha kupitia bank/western union za youtube ... ie kwa yale matangazo yanayotokea..Hujielewi kabisa, kaa mbali na mada yangu. We hujui kuna wasanii wanalipwa kutokana na views. Unajua Ronaldo analipwa ngapi kwa akipost twitter?
View attachment 405606
Naitwa Mudawote ni kisiki cha mpingo kwa wale mashabiki wa chama mfu chandomo!
Kimenuka aseeAiseee!!![emoji35][emoji32]... Madame Rita kaletewa kodi ya tshs bln moja. Hivi wanategemea atailipaje?
Mkuu...watu hawawekezi instagram
lady jay dee
AY
mwana fa
ungejua uwekezaji wanaomiliki
wala usingeanzishaa hii thread mchwara maana unahesabu mpaka views kuwa ni utajiri
ila huyu aliyegundua insta huyu
umesikika kisiki cha chuma sio mpingo mbona unajishusha mama..Naitwa Mudawote ni kisiki cha mpingo kwa wale mashabiki wa chama mfu chandomo!
Ni wadogo wadogo ndiyo maana mpingo unawatoshau
umesikika kisiki cha chuma sio mpingo mbona unajishusha mama..
mbona mnakua malimbukeni wa vitu vidogo nyumba kitu gani bwana acheni ujinga
sawa mama aka kisiki cha mpingo umesomeka mamaNi wadogo wadogo ndiyo maana mpingo unawatosha
Tatizo mtu kama huyu na ubishi wake unampuuzia, hajui kuwa followers alio nao Diamond Instagram ni utajiri tosha huo ndio maana makampuni yamepanga foleni...real msanii kama diamond anapiga pesa nyingi sana youtube etc... kuna ma-pimbi hawajui kila ukiangalia video yake youtube anapiga pesa... kila mwisho wa mwezi anapokea dollar za kutosha kupitia bank/western union za youtube ... ie kwa yale matangazo yanayotokea..