Uwekezaji huu wa Diamond Platnumz, kamwe hatafulia kama wengi wanavyodhani

Uwekezaji huu wa Diamond Platnumz, kamwe hatafulia kama wengi wanavyodhani

Nimemiss team za humu JF, naona kimya sana sijui Darassa au!!
 
Ni sawa kabisa ila hapo kwenye kumiliki:-

1) Nyumba za kutosha- ni nyumba ngapi anazo?

2) Studio na kampuni za kupiga picha zipo Bongo au South Afrika?

3) Mama yake diamond na Tiffah wanamiliki brands zipi?
 
Acha ulofaaa.so akfuliaaa ama laa we utapata nn?; nna mashaka kama una m bank! Unafatiliaje uwwekazw mwanaume mwenzio
 
Back
Top Bottom