RASHID ATHUMAN MSIRI
Member
- Apr 24, 2024
- 9
- 7
Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu husika mbaka sokoni kumfikia mlaji wa mwisho wa sanaa ambaye ni shabiki.
Upvote
0