ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.
Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya vyumba 3 ambayo bajeti fanya 50m alafu ya vyumba 2 hii weka bajeti 35m alafu za vyumba kimoja fanya mbili kwa 50m hapo mradi umekamilika unaanza kusubiri return.