mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nyumba za 300k-500k kodi ya mwaka 3m-5m mpangaji akitoka ukarabati unakula hela yote ya mwaka!Mimi naiona hii iko sawa na ina usalama zaidi
Namanisha katika kila ya miezi 3,6,12 una uhakika wa kuingiza
Ila hizo biashara zingine kila siku una risk
Najuaa boss wangu we unataka papo kwa papo😂😂
Ova
pole mtoa mada, lazima upate maneno ya kejeli toka kwa watu ambao hawana hata kiwanja...
sasa fanya hivi!
jenga apartments, achana na nyumba kubwa za familia, jenga chumba,sebule,choo na jiko with balcony iwe na executive finishing then weka hadi samani humo ndani za kisasa,,,,,fanya kukodishia kwa mtindo wa kisasa wa appartments,...utaniambia baadae, NB sebule chini an chumba chuu ie kigorofa
Ya kukuchelewesha usife njaaB
Kama bado hujazeeka,biashara ya nyumba ni kwa ajili ya kusomeshea watoto na kufanya service gari/magari tu.
Kabla mpangaji hajaingia una msainisha pia mkataba wa kama akiharibu vitu ndani ya nyumba mfano mabomba,vitasa etcHizi nyumba za 300k-500k kodi ya mwaka 3m-5m mpangaji akitoka ukarabati unakula hela yote ya mwaka!
All the best kaka!Nikaribie wapi? Im way older than you. Nafikiria kustaafu now na mipango yangu ni kama hii ya mleta mada, ila sio kijana damu changa uchukue 200m ukazifukie chini usubiri 500,000 kwa mwezi.
Utasingizia wapangaji bure finishing zenyewe nyumba za kupanga vitu vya kichina. Hata utunze vipi miezi kadhaa vinang'oka vyenyewe. Ni wachache sana wanatumia high quality material nyumba za kupanga, tena wanadanganywa hii nyumba ya kupanga usiweke vitu vya gharama.Kabla mpangaji hajaingia una msainisha pia mkataba wa kama akiharibu vitu ndani ya nyumba mfano mabomba,vitasa etc
Kuna uharibifu fulani ni wamakusudi
Ova
Hamna boss...kama ni hivyo nisingeipenda pia ishu ya kupanda miti ni muumini sana wa kuwekeza return uipate baada ya muda mrefu .!.Mimi naiona hii iko sawa na ina usalama zaidi
Namanisha katika kila ya miezi 3,6,12 una uhakika wa kuingiza
Ila hizo biashara zingine kila siku una risk
Najuaa boss wangu we unataka papo kwa papo😂😂
Ova
Na mpangaji wa kulipa kodi za 300 to 500 k, kama ni mswahili, jua hatokaa sana , kelele za wanafamilia ,ndugu , na jamii kuwa anafuja pesa n.k , ikipita mwaka lazima ahamie kwenye kibanda chake cha chumba mbili mbezi malamba huko , na akiondoka lazima uingie gharama kukarabati , maana wanaondokaga hadi na swtich socket za ukutani.Hizi nyumba za 300k-500k kodi ya mwaka 3m-5m mpangaji akitoka ukarabati unakula hela yote ya mwaka!
Hata na laki 3 dada unaenda .unakua kota wakununua kwa wale wenye mawe machache..mfano point2,3,5 7,8,9,1gm...!Uzuri waujenzi hii milioni 50 unaikusanya taratibu, ukipata milioni 3 unanunua matofali. Huwezi kwenda Chunya na milioni tatu.
Ila kwangu nyumba ni security nzuriUtasingizia wapangaji bure finishing zenyewe nyumba za kupanga vitu vya kichina. Hata utunze vipi miezi kadhaa vinang'oka vyenyewe. Ni wachache sana wanatumia high quality material nyumba za kupanga, tena wanadanganywa hii nyumba ya kupanga usiweke vitu vya gharama.
Kuna sehemu hapa moro nadhan zina miaka hazina watejaSidhani kama kuna mtu ana mkejeli, ni facts tu tunaambizana , halafu kiwanja sio big deal, watu wanavyo kadhaa vilivyojengwa na visivyojengwa ....
Labda nije kwenye idea yako , hiyo nyumba ya chumba kimoje balcony jiko na sebule , inategemeana na umeijenga wapi na mji gani , Usione watu wanakula Dollars na nyumba za Airbnb ukadhani ni rahIsi kuwa na nyumba za namna hiyo anywhere, , kuna maeneo nyumba za kodi nzuri nzuri zinakaa na maeneo hayo sio ya bei rahisi kuyanunua.
Good retirement plan.Ila kwangu nyumba ni security nzuri
Mambo ya kutegemea biashara,biashara zenyewe zinapanda na kushuka kila siku
Ova
Acha tu ndio maana watu wanalalamika wanakuta nyumba za kupanga ziko hovyo.Na mpangaji wa kulipa kodi za 300 to 500 k, kama ni mswahili, jua hatokaa sana , kelele za wanafamilia ,ndugu , na jamii kuwa anafuja pesa n.k , ikipita mwaka lazima ahamie kwenye kibanda chake cha chumba mbili mbezi malamba huko , na akiondoka lazima uingie gharama kukarabati , maana wanaondokaga hadi na swtich socket za ukutani.
Hesabu zako uko sawa. Ila mwingine ndio anapiga hesabu awekeze 150m halafu apate 1.1m kwa mwezi anaona sio sawa. Just imagine mwaka mzima unasubiri 13.2m wakati umeweka 150m.Chukua mf hapo umezijenga dodoma kodi kwa ujumla wake hii ya vyumba vitatu fanya laki 4 hizi vyumba kimoja laki 4 hii ingine laki 3 total 1.1m kwa mwezi mara 12 ni karibu 1320000 kwa mwaka