t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Na hii ndo tabia halisi ya watu wenye pesa zisizo rasmi, hawazionei uchunguAnaona hiyo pesa anayoingiza nyingi bila kujua alizoweka ni nyingi ×1000 zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii ndo tabia halisi ya watu wenye pesa zisizo rasmi, hawazionei uchunguAnaona hiyo pesa anayoingiza nyingi bila kujua alizoweka ni nyingi ×1000 zaidi
Ila kweli biashara ya madini mmmh ni tabu tupu, mie baba angu mdogo kaanza tangu 2008, lakini amekuja kutoka mwaka juzi ndo tumeanza kuona ewaaaah sasa mambo mukideeh.Mimi nipo geita kwenye dhahabu hakuna wepesi huo asikuongepee mtu dhahabu sio lele mamá unakufa uku unatembea
AppoloIla kweli biashara ya madini mmmh ni tabu tupu, mie baba angu mdogo kaanza tangu 2008, lakini amekuja kutoka mwaka juzi ndo tumeanza kuona ewaaaah sasa mambo mukideeh.
Ishu sio kuyumba..ishu kukaa nyumba bila kukuletea hela !kwa muda mrefu!Hata dar nyumba kama hizo zipo sehemu , toka mwaka 2011 hazijapata mtu
Na mwenye nazo yupo wala hajayumba
NaelewaIshu sio kuyumba..ishu kukaa nyumba bila kukuletea hela !kwa muda mrefu!
Kwa wapangaji wa kibongo hata kama utamsainisha mkataba wa namna gani atakuachia lijumba lako na defects (uharibufu) kibao na hutakuwa na cha kumfanya zaidi ya kusonya na kuumia roho. Labda umwekee ulinzi masaa 24! 😀 😀 😀Kabla mpangaji hajaingia una msainisha pia mkataba wa kama akiharibu vitu ndani ya nyumba mfano mabomba,vitasa etc
Kuna uharibifu fulani ni wamakusudi
Ova
Hii kuna watu wamelifanya na Faida inaonekana..Mimi nina ref na hili wadau ndio nikaona niwadondoshee hii fursa kama mtu una uwezo huo lakini kama hauna kawekeze kwenye mambo mengine kama anavyosema mdau chunya na geita kwenye dhahabu alafu uje kutupa mrejesho ila atakayefanya hii atanikumbuka
Matako ya fisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umevuka hata u motivation speaker we sijui tukuite nani
Yaani wewe dada natamani nikuone unipe maujanjaHiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Hii biashara ni nzuri ila kiongozi kwa hio pesa uliyoweka hapo kwa mwezi wewe unataka upate shilingi ngapi maana inaweza kuja kuchukua muda mrefu zaidi mpaka kuja kuirudishaLeo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.
Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya vyumba 3 ambayo bajeti fanya 50m alafu ya vyumba 2 hii weka bajeti 35m alafu za vyumba kimoja fanya mbili kwa 50m hapo mradi umekamilika unaanza kusubiri return.
Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Yaani wewe dada natamani nikuone unipe maujanja
Enzi za jk iliwatajirisha watu mzee baba..kumbuka...ila sio kipindi hikiKuna biashara ukiziwaza unaona kwa mazingira yetu bado hazina uhakika, Real Estate kwa Tanzania bado sana haijafikia kiwango cha kulipa