Uwekezaji nyumba za kupanga

Uwekezaji nyumba za kupanga

kama umeshinda kabisa jenga chumba choo na siting room hizi zipange kama tano bei kupanga laki na nusu jengo la kwaida tu la 40m hivi
Idea zako ni nzuri tu na unaweza kuja na ushuhuda pia , ila tatizo si kila mtu ana mtaji ulio nao ,
Kuweka 40nmil sehemu halafu uisahau sio kila mtu ana uwezo huo
 
Kuna Wanaokuja dm wanataka ufafanuzi zaidi sasa sijui ufafanuzi upi naomba labda muulizeumaswali hapa ili wengine wanisaidie kujibu
Kwanini haya usiwaambie huko DM? Yaani mtu aje DM kuomba ufafanuzi wa biashara ya nyumba za kupanga? Kuna technic gani zaidi ya kuwa na hela na kujenga nyumba na kuzipangisha? Location ndio ina determine kiwango cha Kodi. Na mfuko wako ndio uta determine location utakayoweza kujenga. It's not rocket science.
 
M.b.w.e.m.b.w.e
 
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.

Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya vyumba 3 ambayo bajeti fanya 50m alafu ya vyumba 2 hii weka bajeti 35m alafu za vyumba kimoja fanya mbili kwa 50m hapo mradi umekamilika unaanza kusubiri return.

Kati ya biashara ya kijinga kweli.... labda kwa watu ambao hawajui thamani ya hela na uwekezaji....

Nyumba ya kupanga ni sawa na Bank, ila yenyewe inaongezeka value, but kidogo, probably utakuja kufa na kuacha watoto wanauwana!
 
Hii biashara ni nzuri kwa watu ambao ni waajiriwa na hawana muda wa kusimamia anyside business.

Maana ukisema uwekeze sehem na ww uko tight na job nyingine wahuni wanakupiga tu, yaani hata ukiweka mke wako na yy atakupiga.

Wabongo hatuaminiki kabisa, bora ufanye this business yenye return ndogo na apprecaiton kubwa kuliko ufanye any other business halafu watu wawe wanakupiga tu.

Alternatively, ni ununue viwanja then uje uviuze after 5-10yrs. the rest uache kazi ufanye biashara
 
Hesabu zako uko sawa. Ila mwingine ndio anapiga hesabu awekeze 150m halafu apate 1.1m kwa mwezi anaona sio sawa. Just imagine mwaka mzima unasubiri 13.2m wakati umeweka 150m.
Ni Mara 100 achukue hizo 150M ununue bajaji utapata Bajaji kama 18 hivi ndani ya miaka 2 utakuwa umerudisha hela yako na faida kama 40M pia hizo bajaji utakuwa umebaki Nazo kama assets ambazo unaweza uza muda wowote,ambapo hata ukiziuza kwa bei ya hasara ya 3M@ utapa 54M plus 40M utakuwa na faida ya 94 M ndani ya miaka 2.
 
Duh biashara ya vyombo vya moto ina wenyewe.
 
Ni Mara 100 achukue hizo 150M ununue bajaji utapata Bajaji kama 18 hivi ndani ya miaka 2 utakuwa umerudisha hela yako na faida kama 40M pia hizo bajaji utakuwa umebaki Nazo kama assets ambazo unaweza uza muda wowote,ambapo hata ukiziuza kwa bei ya hasara ya 3M@ utapa 54M plus 40M utakuwa na faida ya 94 M ndani ya miaka 2.
😀😀 mibajaji ilivyojazana kitaa uongwze rundo 18?🤸‍♂️! Mayb
 
Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!

Kweli akili ni nywele!
Mkuu safari hii nibebe twende wote nikajifunze hiyo bizness
 
Biashara ya nyumba ni nzuri kwa kutunzia pesa na unaweza kutumia nyumba Kama dhamana ya kukopa benki pindi Mambo yakiwa kombo
 
Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!

Kweli akili ni nywele!
Easy like that?
 
Easy like that?
😀😀😀! Njoo geita uwaone wahindi wanavyopiga hela huku pemben wanakunywa gahawa mkuu..na wanyantuzu! Hakuna kitu rahisi maishani lakini hizi figures zipo...ningekuwa mwandishi wa habari ningewarekodi nikaitupia humu..bahati mbaya hawaniamini hata kidg wananiona mpelelezi😆!
Hizo fig zipo vinyantuzu vidogooo vinapiga hzo figures!
 
Wahindi na wanyantuzu kupiga pesa na figures siyo issue.Mimi mnyalukolo mwenzako nataka intro ya dili M50 iniingizie M15 kwa mwezi yaani nashika faida M60 kwa miezi minne baada ya matumizi yote na kodi za TRA na hongo za hapa na pale.Vipi kuhusu usalama haikutoki gharama yoyote bila koneksheni?Kwa hiyo kila mwezi ni lazima M15 faida au hakuna miezi yenye hasara?
 
Kuna miezi mibovu balaa...miez ya mvua...ukaukaji wa mawe huwa kizungumkuti! Miez ya mvua ndo unatumia kurelax! Kuanzia june had jan unakimbizana hatari!
Ndugu mnyalu hayo mengine yote hebu jipe hata 2months utembee uone...

Nb !usiende smart sana wanasemaga ni usalama wa Taifa...itakusumbua ingawa muda mwingine itakubeba...ngumu sana kukuibia kule jikoni! Laptop acha kbs😀😀huku wakikiona na laptop wanakuambia kbs umekuja.kutupeleleza😆
 
Chukua mf hapo umezijenga dodoma kodi kwa ujumla wake hii ya vyumba vitatu fanya laki 4 hizi vyumba kimoja laki 4 hii ingine laki 3 total 1.1m kwa mwezi mara 12 ni karibu 1320000 kwa mwaka
Acha theory issues kijana, kuna siku utasimama nje ya fensi unatusi nyumba yako ukiwaza jinsi ilivyokula hela ila iko mikononi mwa mdalali halaf wanakuja na wapangaji wanaangalia na kupita zao.

Iko hivi kama una 150m kisha ukaizika yote ba ukaanza kudunduruza kutafuta hiyo 150m na baadae uanze kumake faida ni kitu cha safari ya Misiri kwenda Kaanani.

Utafaidi sifa jamaa ana mijengo yake kama wabongo wengi mnavyopenda hiyo sifa.
 
Back
Top Bottom