Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfumo unaotumika Tanzania kwa ajili ya manunuzi ya Property ndio kichaa lkn sio biashara yenyewe.biashara kichaa iyo
Amesema 150M Mkuu So kwamahesabu fanya iyo 15M × 3 utakula 45M.Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya naku na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Akiwa na umri gani ajenge hivyo na akiwa na chanzo gani cha kipatopole mtoa mada, lazima upate maneno ya kejeli toka kwa watu ambao hawana hata kiwanja...
sasa fanya hivi!
jenga apartments, achana na nyumba kubwa za familia, jenga chumba,sebule,choo na jiko with balcony iwe na executive finishing then weka hadi samani humo ndani za kisasa,,,,,fanya kukodishia kwa mtindo wa kisasa wa appartments,...utaniambia baadae, NB sebule chini an chumba chuu ie kigorofa
Hata dar nyumba kama hizo zipo sehemu , toka mwaka 2011 hazijapata mtuKuna sehemu hapa moro nadhan zina miaka hazina wateja
Wapi kasema ni rahisi jikite na mzizi Biashara yoyote ina Calculation zake haimaanishi kuwa rahisi wewe ulivyosema unaweka 50M, hapa 30...kwani rahisi kama ulivyoandikaMimi nipo geita kwenye dhahabu hakuna wepesi huo asikuongepee mtu dhahabu sio lele mamá unakufa uku unatembeayoy
Sikutaka kwenda mbali sana mkuuAmesema 150M Mkuu So kwamahesabu fanya iyo 15M × 3 utakula 45M.
Hakuna kitu rahisi mkuu!...shida yenu mnaendaga kichwa kichwa...hapo tu..migodini kama una kaelimu kadogo tu hela inakufuata! Endelea kuzitumbua .ukipata leo 500k unataka umalize zote .webzako wanawekeza ww umebaki kuimba nyimbo kuwa kugumu🤨Mimi nipo geita kwenye dhahabu hakuna wepesi huo asikuongepee mtu dhahabu sio lele mamá unakufa uku unatembea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umevuka hata u motivation speaker we sijui tukuite nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani niwekeze 155m kwa kupata 33300 kwa siku!!!!!!hela ambayo muuza matikiti na pweza stand wanaingiza kwa siku.mxiiiiiuuuuuu
Hakuna aliyepinga kuwa Security Suala Timing umejenga ukiwa naIla kwangu nyumba ni security nzuri
Mambo ya kutegemea biashara,biashara zenyewe zinapanda na kushuka kila siku
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah weeKwa hapa Dar ni bora ujenge gest tu
Anaona hiyo pesa anayoingiza nyingi bila kujua alizoweka ni nyingi ×1000 zaidiHesabu zako uko sawa. Ila mwingine ndio anapiga hesabu awekeze 150m halafu apate 1.1m kwa mwezi anaona sio sawa. Just imagine mwaka mzima unasubiri 13.2m wakati umeweka 150m.
Hapa ndo sahihi na umefafanua vyema.Hii biashara ni muhimu kuangalia soko la walengwa.
1. Nyumba karibu na chuo Kikuu, weka chumba chenye kitanda, meza y kusomea, jiko na choo laki moja kwa mwezi.
2. Watumishi wa umma, vyumba viwili-vitatu vya kilala. Sebule choo na bafu.
3. integemeaq na eneo la kiwanja. Lakini kupangisha mashirika kwaajili ya maboss wao wanapenda nyumba nzima yenye master bedroom.
Teh teh fastlane businessHakuna aliyepinga kuwa Security Suala Timing umejenga ukiwa na
*Umri gani
*Uchumi gani
Mimi leo nikipata urisi wa 30M na umri wangu wa 20's nijenge nyumba ili kupata 200K kwa mwezi sifanyi huu upumbavu hiyo pesa itafanya FASTLANE BUSINESS mpaka kwenye LATE 30's hizo nyumba nitakuwanazo 10 mjini wewe ukiwa na 1 tu.
Kwanini hiki hukuandika juu kwenye uzi kabisa baada ya wadau kukusanua ndio unajua.Tunachukuliaje hii sio biashara ikutoe kimaisha uwe ushatoka ndio sasa unafanya hii biashara
Yea FASTLANETeh teh fastlane business
Ova
Hakika ukweli kabisaaah.Utasingizia wapangaji bure finishing zenyewe nyumba za kupanga vitu vya kichina. Hata utunze vipi miezi kadhaa vinang'oka vyenyewe. Ni wachache sana wanatumia high quality material nyumba za kupanga, tena wanadanganywa hii nyumba ya kupanga usiweke vitu vya gharama.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila malamba jaman kule kulivyo hapan kwa kweli, lakini kuna majumba mazuri na yao fresh aseeh, khaaaahNa mpangaji wa kulipa kodi za 300 to 500 k, kama ni mswahili, jua hatokaa sana , kelele za wanafamilia ,ndugu , na jamii kuwa anafuja pesa n.k , ikipita mwaka lazima ahamie kwenye kibanda chake cha chumba mbili mbezi malamba huko , na akiondoka lazima uingie gharama kukarabati , maana wanaondokaga hadi na swtich socket za ukutani.