Nyumba ya milioni sabini halafu mbona ni ya kawaida sana,, Tena iyo unakula Laki Tano kwa mwezi sio laki tatu,
Unajenga nyumba moja, ila ya kukaa familia mbili upande mmoja familia nyingine ,na upande mwingine familia nyingine.
upande mmoja inakuwa na vyumba viwili, kimoja ni master bedroom, sitting room, dinning room, kitchen,
Na upande mwingine pia ivyo.
aisee nyumba za kupangisha zinalipa sana,, unajikuta Kama unakula mshahara wa mbunge kwa mwezi ukiwanazo nyumba kadhaa.
ukisikiliza much know wa humu jamiiforums,,wallah utaishia kukaa nyumba za kupanga, au La utapoteza pesa zako kwa biashara za kipuuzi