Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kujenga kusikieni...jikoni kwangu nilimleta fundi yaan zile vurugu nizotaka aweke jikoni iliangukia kwenye 5m!...Mafurushi ya Mchanga
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujenga kusikieni...jikoni kwangu nilimleta fundi yaan zile vurugu nizotaka aweke jikoni iliangukia kwenye 5m!...Mafurushi ya Mchanga
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Wangari na Jikolake Tv ShowKujenga kusikieni...jikoni kwangu nilimleta fundi yaan zile vurugu nizotaka aweke jikoni iliangukia kwenye 5m!...
๐๐๐! Sina hata passion na matv show mm..kwanza nna muda wa kuchek matv sasaWangari na Jikolake Tv Show
Yah..cha muhimu ni kucheza na principle za kuanzisha biashara.usiskip hata moja..kama research fanya..ndomana wajanja wanaanzia sokon..yaan unaingia mtaan unaangalia hapa kinahitajika nin unaweka..kuna dada mmoja yuko pale goba centre mi nanunuaga samak wabich kwake ...anauza yule dada had kuna siku nilimwambia ndugu yangu nifundishe hii biashara namii nitafte chocho langu niweke centre kama yako hvyo hvyo...na mzigo wa kuanzia ninunue kwako akasema sawa haina shida...yule dada ukienda pale watu wanajazana had unashangaa..halaf ana samak wale ma giant...samak mref kuliko freezer..kichwa kama ndoo...ni ku point location na uhitaj tu...mim skuhiz nna mbinu zangu za ku spot maeneo ya biashara ambayo nmeona ina work saanaaa.Nadhani tusikariri tu mpesa au tgops au maduka ya nguo ..hata samaki wabichi return yake ni kubwa tu...almost 50/50!
Samaki hata whtsap unauza huku umekaa sebulen kwako...! Kucheza na soko vzr tu...!Yah..cha muhimu ni kucheza na principle za kuanzisha biashara.usiskip hata moja..kama research fanya..ndomana wajanja wanaanzia sokon..yaan unaingia mtaan unaangalia hapa kinahitajika nin unaweka..kuna dada mmoja yuko pale goba centre mi nanunuaga samak wabich kwake ...anauza yule dada had kuna siku nilimwambia ndugu yangu nifundishe hii biashara namii nitafte chocho langu niweke centre kama yako hvyo hvyo...na mzigo wa kuanzia ninunue kwako akasema sawa haina shida...yule dada ukienda pale watu wanajazana had unashangaa..halaf ana samak wale ma giant...samak mref kuliko freezer..kichwa kama ndoo...ni ku point location na uhitaj tu...mim skuhiz nna mbinu zangu za ku spot maeneo ya biashara ambayo nmeona ina work saanaaa.
vijana hao, achananao madam!,TASK FORCE mimi leonkazi yangu kukutag tu njoo usome hapa
Ukitaka ujenge bila stress....kama mdadisi ..hakikisha mambo haya unayafahamKujenga kusikieni...jikoni kwangu nilimleta fundi yaan zile vurugu nizotaka aweke jikoni iliangukia kwenye 5m!...
Ukitaka ujenge bila stress....kama mdadisi ..hakikisha mambo haya unayafaham
1.hatua za ujenz..yaan unaanza phase ya kwanza kama msingi then unapandisha had lenta then unaenda maliza unapaua..hzo phase hapo kila moja ina gharama zake..fund mwingne anaweza kwambia mi msing had lenta kumaliza kias flan mfano kwa Dar hyo hatua kwa nyumba za kawaida tu vyumba vi3 .raman kawaida.mafund weng wanachkua 1.5m n less...kwa sis wazoef tunawapa had 1.2m au 1.1m..ukienda kupaua na kuendelea kila moja ina hatua zake na bei zake so ukizijua hzo hatua na bei zake fund hakusumbui.
2.ujue kuplan manunuz ya material na ujue machocho ya bei za jumla...kkoo mi nna kona zangu hzo ukienda bei unashangaa..ma gypum.sjui tiles.ma sink ya choon etc .vifaa vya umeme unaingia mtaa wa gogo pale..sjui takataka gan..vifaa vya bomba etc..nauziwa bei ya jumla kama naenda uza namim..sasa ukizijua hzo kona..unajenga nyumba nzur mtu akiiangalia anasema hii nyumba 60m..kumbe ni 45m or even less
Samaki ni biashara nzuri, Kuna mshkaji wangu anaifanya, anasambaza kwenye mahoteli na ana meza pale barabara ya kwendea kwa mkuu wa majeshi Waitara,Samaki hata whtsap unauza huku umekaa sebulen kwako...! Kucheza na soko vzr tu...!
Thats all!
Njoo sasa tupige hela๐คญSamaki ni biashara nzuri, Kuna mshkaji wangu anaifanya, anasambaza kwenye mahoteli na ana meza pale barabara ya kwendea kwa mkuu wa majeshi Waitara,
jamaa anapiga hela Kama masihara
ntakuja best, najipanga nipate chombo ya kuvua kabisa, samaki wana hela sana,ni vile watu hawajafahamu tuNjoo sasa tupige hela๐คญ
Wenzio jukwaa la ujenzi kule wanajenga nyumba nzima 7m wewe jiko tu 5m ๐๐Kujenga kusikieni...jikoni kwangu nilimleta fundi yaan zile vurugu nizotaka aweke jikoni iliangukia kwenye 5m!...
Wee...wapi huko? Jiko langu ni kubwa...nilitaka vitu vingi hata hvyo...!mbwembwe za kisasa .Wenzio jukwaa la ujenzi kule wanajenga nyumba nzima 7m wewe jiko tu 5m ๐๐
Hongera.Wee...wapi huko? Jiko langu ni kubwa...nilitaka vitu vingi hata hvyo...!mbwembwe za kisasa .
Unadhani limekamilika? Yaan jiko unaniambia 5m ? ..si bora ninunue kiwanja kahama tu huko? Hahahaha...Hongera.
Kumbe umeambiwa? Nilifikiri ndio gharama umetumia kujenga hilo jiko.Unadhani limekamilika? Yaan jiko unaniambia 5m ? ..si bora ninunue kiwanja kahama tu huko? Hahahaha...
Ni hivi..nilitaka kuweka decorations jikoni kwangu nikamwita fundi akapga hesabu kila kitu 5m! Nikaghairi...nikawek nilichowezaKumbe umeambiwa? Nilifikiri ndio gharama umetumia kujenga hilo jiko.
Hata mie nilitaka kusangaa wala si kushangaa! Ukidecorate jiko hukosi 30M maana marble na makabati ya mininga etc ni ghali ajabu. Nyumba za kupangisha ni upuuzi mtupu.Ni hivi..nilitaka kuweka decorations jikoni kwangu nikamwita fundi akapga hesabu kila kitu 5m! Nikaghairi...nikawek nilichoweza
Huku nakoishi kuna mchwa balaa..so hatutumii mbao..unajengelea kwa cement!.Hata mie nilitaka kusangaa wala si kushangaa! Ukidecorate jiko hukosi 30M maana marble na makabati ya mininga etc ni ghali ajabu. Nyumba za kupangisha ni upuuzi mtupu.
Natoa mfano, Zile nyumba za Dodoma NHC Iyumbu zilikuwa zinauzwa 70M; kuna ndugu yangu alikuwa mpangaji hapo analipa 300,000/= kwa mwezi.
Hivyo ukichukua 70M ukigawa kwa 300K ni miezi miezi 233.3333 kurudisha pesa yake. Ukigawa kwa 12 ni miaka 19.444. Hivyo ili hela yako irudi itachukua miaka tuseme 20.
Kwenye miaka 20 hiyo kuna repair ambayo kama wapangaji ni watunzaji ni kila miaka 5 lazima ufanye repair ambayo ni 5% ya gharama za ujenzi. Mpaka hapo, je utakubalina nami kuwa kujenga nyumba ya kupanga ni upuuzi!