Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mzee mwenzangu nini tena? Mjadala hapa ni nyumba za kupangisha vs biashara zingine...je uzike 60m every month upokee 300k au bora hiyo hela ukaipeleka kwenye mambo mengine?Aya binti, baki na unachokiamini,
tunasubiria wewe uje kujenga hekalu lako uwe unalipia na Kodi,
hata sisi pia tulikuwa na ujuaji Kama wewe, enzi izo Rafki yako akijenga", unamuambia Mimi siwezi kujenga kibanda Kama iko, nataka nije kujenga bongeee la sefucontina nikiwa na pesa ya pamoja,tena wiki tu nahamia"!
Mfano hai ambao naupractice hii 60m mfano wewe unipe mimi😀...uhakika wa kupata 5-10m as faida kwa mwezi ni mkubwa sana...na sio mishe za dhahabu ni mishe zingine kbs..je ww kwa mwaka utakua umekusanya ngap?3.6m! Imagine!