Uwekezaji nyumba za kupanga

Uwekezaji nyumba za kupanga

Mwanzoni nilikuwa nafikiri kama wewe, baada ya kujenga vibanda kadhaa vya kupangisha nikapata wapangaji vyumba vyote.

Nimegundua nitahitaji miaka 20 hela niliyoiwekeza kurudi.

Nimeamua kubadili mawazo, nataka kufanya maboresho kadhaa nigeuze Lodge, nikifanya iwe Lodge nitahitaji miezi 24 hela yangu irudi kwa vyumba nilivyonavyo.

Hope akina Wangari Maathai watakuwa wateja wangu siku za usoni. Ngoja kodi za Wapangaji ziishe, niwape Notice
Lodge hata mie naifikiria sana kama retirement plan yangu baada ya kuhangaika sana ,

Tatizo wife !! Na ulokole wake , anazingua kweli na project za kutengeneza dhambi
 
Dhambi noo
 
Mimi nimefanikiwa kumwelewesha na amekubali, ameona atakuwa anakusanya pesa ndefu manake nimemwambia itakuwa yake na watoto.

Ila ni bonge la biashara ya kuaminika, Mungu akipenda nitajikita humo
 
Ngoja nipambane kumuelewesha mlokole
 
Anayewadanganya kuwa akiwa na 50M anaweza pata Dealership Licence ya Kununua Dhahabu anataka wapoteza
 
Labda kwa wazee mzee baba!
Biashara ya nyumba inalipa kwa Kodi za dar sasaivi,

Kuna sehemu nna chumba sebule ,chumba sebule *4 kwa mwezi nakula Kodi laki na nusu kwa miezi sita sita, sawa na 3600,000/= kwingine chumba choo ndani Kodi efu sabini, vipo vyumba nane, etc.

Kwa kifupi nyumba zinalipa,inategemea umejenga maeneo gani, nyumba ni biashara kwasasa//

Ukiwasikiliza wajinga wa humu ,hutojua faida iliyopo kwenye biashara ya nyumba
 
Mkuu
Nyumba zako unejenga dar sehemu gani? ,@ 10 plus millions kwa mwaka ni kipato kizuri sana , lakini pia ulitia kiasi gani kama mtaji wa kujenga nyumba hizo?
 
We endelea na kusubiria upewe hesabu mtu katumia kiasi kujenga,
Ukija kushtuka umri umeenda na bado upo kwenye nyumba za kupanga, ela za mafao ndio unaenda kujengea au ukanunue gari bovu likumalize kabisa kwa stroke,baada ya hapo unaenda kuwa mlinzi wa kulinda kwa virungu,

mkuu biashara ya nyumba haijawai kumuungusha mtu,

Kuna watu Town hapa wanakula bata kila siku kwa hela za kodi tu, na kwa Kodi za sikuizi ukiwa na nyumba kadhaa,usishangae kila mwaka unanunua ardhi kutokana na makusanyo ya Kodi,

kuna sehemu hapa dar chumba kimoja chenye choo ndani na jiko Kodi ni 100,000/= hadi 120000/=
 
Mbona unakuwa mkali badala ya kunielekeza ? Hiyo dar mimi nipo hapo na vijumba viwili vitatu , nashukuru mungu nimejaaliwa , halafu aliyekwambia nimeajiriwa nani?
Naomba nipe locations za kujenga nyumba za kodi hizo unazosemea hakika kweli zinalipa kimahesabu
 
Mbona unakuwa mkali badala ya kunielekeza ? Hiyo dar mimi nipo hapo , halafu aliyekwambia nimeajiriwa nani?
Naomba nipe locations za kujenga nyumba za kodi hizo unazosemea hakika kweli zinalipa kimahesabu
Ukute viwanja tu huko anakosemea nw vinakumbilia 20m
 
kwaiyo kiwanja ikiwa bei izo za milion 20 ndio hapafai kujenga nyumba ya kupangisha madam!!?

hapa dar Kuna maeneo uhitaji wa nyumba za kupangisha ni mkubwa sana, mfano kuanzia maeneo ya afrikana ,kinzudi kule salasala,maeneo ya mbuyuni kwenda hadi ununio, Tegeta, maeneo ya kwa nabii Frola, maeneo ya boko basihaya, ayo maeneo uhitaji wa nyumba za kupanga ni mkubwa, na uko ndio maeneo ambayo watu wamewekeza nyumba za kawaida ila Kodi zake ukikusanya maisha yanaenda, na bata kila day, na gari haishiwi mafuta, na huna stress

nyie wekezeni kwenye mayai ya kwale na sungura
 
20 mil ni bei ya kiwanja cha miguu 20 kwa 20 maeneo ya mbezi na kibamba, kwa sasa , pamoja na ujiio wa kituo cha mabasi cha magufuli pale mbezi luis bado ni ngumu kupata wastani wa kodi za 100000 kwa mwezi kwa master bedroom.

Ngoja nimsikilize anaweza kuwa na location cheap na popular kwa vyumba kama hivyo hapa mjini.
 
Mbona unakuwa mkali badala ya kunielekeza ? Hiyo dar mimi nipo hapo na vijumba viwili vitatu , nashukuru mungu nimejaaliwa , halafu aliyekwambia nimeajiriwa nani?
Naomba nipe locations za kujenga nyumba za kodi hizo unazosemea hakika kweli zinalipa kimahesabu
mkuu bakia na kile unachokiamini,
We kawekeza kwenye Mradi wa mayai ya kwale na sungura.
 
20 mil ni bei ya kiwanja cha miguu 20 kwa 20 maeneo ya mbezi na kibamba, kwa sasa , pamoja na ujiio wa kituo cha mabasi cha magufuli pale mbezi luis bado ni ngumu kupata wastani wa kodi za 100000 kwa mwezi kwa master bedroom.

Ngoja nimsikilize anaweza kuwa na location cheap na popular kwa vyumba kama hivyo hapa mjini.
Kwamba ni ngumu kupangisha chumba cha master bedroom kwa laki moja??????
halafu nani kakuambia Mimi nazungumzia maeneo ya huko kibamba ulipopanga boss,

Uko vyumba Kodi zake si za kawaida tu Kama mbagala
 
Utasubiri hiyo return maisha , na pesa haitarudi, by the time umekusanya robo ya pesa nyumba nazo zitakuwa zinahitaji ukarabati wa pesa ndefu na kuna uwezekano pia zikawa outdated.

Nyumba kama nyumba ni sehemu tu ya kutunzia pesa ambazo ungezifuja baa na kula bata ,sio investment ya kurudisha pesa
Hahaha akili yangu nilikua hajua unamwambia achukue scania 1 chap ...
 
kwaiyo kiwanja ikiwa bei izo za milion 20 ndio hapafai kujenga nyumba ya kupangisha madam!!?

hapa dar Kuna maeneo uhitaji wa nyumba za kupangisha ni mkubwa sana, mfano kuanzia maeneo ya afrikana ,kinzudi kule salasala,maeneo ya mbuyuni kwenda hadi ununio, Tegeta, maeneo ya kwa nabii Frola, maeneo ya boko basihaya, ayo maeneo uhitaji wa nyumba za kupanga ni mkubwa, na uko ndio maeneo ambayo watu wamewekeza nyumba za kawaida ila Kodi zake ukikusanya maisha yanaenda, na bata kila day, na gari haishiwi mafuta, na huna stress

nyie wekezeni kwenye mayai ya kwale na sungura
Nauliza bei ya kiwanja kwa sababu ni moja ya basic cost zinazo determine faida au hasara ya nyumba zako.
Unless una pesa zisizo na hesabu , kibiashara kila item ni unit cost na lazima ujumlishe costs zote unapotaka kupiga hesabu za faida .

Ukisha nunua kiwanja kwa mil 20 halafu ukaweka na property pale juu ya mil 60 , halafu unijie hesabu zako za kodi ya milioni 10 kwa mwaka nitakuona hujui hesabu

By the way katika mahesabu yako wala sioni sehemu ya kodi unazolipa , which means unainjoi faida bila kulipa kodi , Tra wakija kulikazia eneo hilo ndo utanielewa namaanisha nini
 
Hahaha akili yangu nilikua hajua unamwambia achukue scania 1 chap ...
Haha , hamna mkuu , namdadisi niingie huko ila info anazonipa hazi add up,
Mtu anakwambia nyumba za kuoangisha zinalipa so and so halafu hakwambii ni wapi huo mradi una shine.
Unaweza kuta amejenga kwenye kiwanja cha urithi masaki huko , akaniweka busy na yasiyowezekana.
 
Back
Top Bottom