Uwekezaji nyumba za kupanga

Uwekezaji nyumba za kupanga

Hapa sio vya kuchimbia tena....hapa ni jiko...yaan ww unaletewa dhahabu unaipima ubora wake unanunua! Kwahiyo hapa ni jiko na mzani wake...na mtungi ule mkubwa wa gesi,.haipungui 10m-15m! Na vibakuli vya kuchomea dhqhabu..kuna vibakuli.vyake maalumu maana kitu kinachomwa kwenye moto mkali!mara ya mwisho vibakuli bei ilikua 300k...hapo lazima uwe navyo si chini ya 6! Mzan wa kusoma purity ya dhahabu...mara ya mwisho ulikua btn 7-10m!hapa wanadai ya dubai ndo bora than china!
Sasa hii biashara lazima ujue hesabu! Hesabu zikikuchenga tunaambizanaga ....kuna zile kodi(mirahaba) ya serikali 7% usipoipigia hii mm.daily nakuletea mzigo maana ntapata faida nzuri mno daily....! So unawekq mtu walau wa form 6!
Yaan unaweza nunua mzigo wa 1m lakini makato yanafika hata 213,000! Sasa ww ukinipa yote 1m imekula kwako...Usipoikata hii ww utaning'inizwa mbeleni.itakula kwako!
Kakola kuna jiko walimuweka kilaza tulikula hela mno mno!
Hii shoga angu haina kuchafuka😋!hii hata ukibandika kucha haiswii😀!.uko ofisini na "dell" yako na kiyoyozi kikali kwa draw kuna kama 70m zinasubiri kuondoka🥰!tena na ulinzi wa mitutu kbs nje!
Siri ya hii biashara uwe na kauli nzuri...utapata wateja wanapanga folen kwako....! Na uwe loyal...mfano...mteja anakuletea dhahabu katoka nayo sehemu A, kila mchimbaj anajua area hii dhahabu zinasoma kuanzia asilimia 80_93%..ss wewe uje umshushe umwambie inasoma 75 hakika utamfukuza...ofcourse wanaibia hapo ila hakikisha hupishan naye saaana! Dhahabu ikisoma safi mfano 92% unauzia bei ya juu zaidi ya iloyosoma ya chini! Sasa wenye majiko wanachezea yale maji ya kupimia dhahabu...! Mtu anaamua kurudi na mzigo wake...!
Ah nna njaa mie !hope kidogo dogo utapata mwanga!
It seems muda wote watu wako na Handsome Cash mkononi na majiwe ya thamani Suala la ulinzi lipoje...kama Tigopesa tu anakula shaba huko SECURITY IPOJE.
 
Kuna jamaa anaitwa Danlok huwa ana formula yake anaita "Wealth triangle".
Yani inastage 3.
1. High income skill 2. Scalable business 3. High income investment.

Hilo swala la nyumba za kupangisha ni stage ya 3.
Yes, hii nzuri.
 
Hapa sio vya kuchimbia tena....hapa ni jiko...yaan ww unaletewa dhahabu unaipima ubora wake unanunua! Kwahiyo hapa ni jiko na mzani wake...na mtungi ule mkubwa wa gesi,.haipungui 10m-15m! Na vibakuli vya kuchomea dhqhabu..kuna vibakuli.vyake maalumu maana kitu kinachomwa kwenye moto mkali!mara ya mwisho vibakuli bei ilikua 300k...hapo lazima uwe navyo si chini ya 6! Mzan wa kusoma purity ya dhahabu...mara ya mwisho ulikua btn 7-10m!hapa wanadai ya dubai ndo bora than china!
Sasa hii biashara lazima ujue hesabu! Hesabu zikikuchenga tunaambizanaga ....kuna zile kodi(mirahaba) ya serikali 7% usipoipigia hii mm.daily nakuletea mzigo maana ntapata faida nzuri mno daily....! So unawekq mtu walau wa form 6!
Yaan unaweza nunua mzigo wa 1m lakini makato yanafika hata 213,000! Sasa ww ukinipa yote 1m imekula kwako...Usipoikata hii ww utaning'inizwa mbeleni.itakula kwako!
Kakola kuna jiko walimuweka kilaza tulikula hela mno mno!
Hii shoga angu haina kuchafuka😋!hii hata ukibandika kucha haiswii😀!.uko ofisini na "dell" yako na kiyoyozi kikali kwa draw kuna kama 70m zinasubiri kuondoka🥰!tena na ulinzi wa mitutu kbs nje!
Siri ya hii biashara uwe na kauli nzuri...utapata wateja wanapanga folen kwako....! Na uwe loyal...mfano...mteja anakuletea dhahabu katoka nayo sehemu A, kila mchimbaj anajua area hii dhahabu zinasoma kuanzia asilimia 80_93%..ss wewe uje umshushe umwambie inasoma 75 hakika utamfukuza...ofcourse wanaibia hapo ila hakikisha hupishan naye saaana! Dhahabu ikisoma safi mfano 92% unauzia bei ya juu zaidi ya iloyosoma ya chini! Sasa wenye majiko wanachezea yale maji ya kupimia dhahabu...! Mtu anaamua kurudi na mzigo wake...!
Ah nna njaa mie !hope kidogo dogo utapata mwanga!
Mkuu uko nondo sana kwenye hiyo industry
 
Hapa sio vya kuchimbia tena....hapa ni jiko...yaan ww unaletewa dhahabu unaipima ubora wake unanunua! Kwahiyo hapa ni jiko na mzani wake...na mtungi ule mkubwa wa gesi,.haipungui 10m-15m! Na vibakuli vya kuchomea dhqhabu..kuna vibakuli.vyake maalumu maana kitu kinachomwa kwenye moto mkali!mara ya mwisho vibakuli bei ilikua 300k...hapo lazima uwe navyo si chini ya 6! Mzan wa kusoma purity ya dhahabu...mara ya mwisho ulikua btn 7-10m!hapa wanadai ya dubai ndo bora than china!
Sasa hii biashara lazima ujue hesabu! Hesabu zikikuchenga tunaambizanaga ....kuna zile kodi(mirahaba) ya serikali 7% usipoipigia hii mm.daily nakuletea mzigo maana ntapata faida nzuri mno daily....! So unawekq mtu walau wa form 6!
Yaan unaweza nunua mzigo wa 1m lakini makato yanafika hata 213,000! Sasa ww ukinipa yote 1m imekula kwako...Usipoikata hii ww utaning'inizwa mbeleni.itakula kwako!
Kakola kuna jiko walimuweka kilaza tulikula hela mno mno!
Hii shoga angu haina kuchafuka[emoji39]!hii hata ukibandika kucha haiswii[emoji3]!.uko ofisini na "dell" yako na kiyoyozi kikali kwa draw kuna kama 70m zinasubiri kuondoka[emoji3059]!tena na ulinzi wa mitutu kbs nje!

Daah asante sana kwa ufafanuzi

Mweeh mweh kwenye hivo vifaa ndo balaa liko hapo[emoji848]

Very expensive indeed[emoji1745][emoji848]

Daah labda niwe mchuuzi, nanunua nauza

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
It seems muda wote watu wako na Handsome Cash mkononi na majiwe ya thamani Suala la ulinzi lipoje...kama Tigopesa tu anakula shaba huko SECURITY IPOJE.
Mimi sijawah sikia hata mlio wa risasi ..lakinj inasemekana kipindi cha mwendazake mambo yalitulia sana...enzi za jk watu wenye fweza walikua wanaamua kuvamia maapolo na kuvamia eneo na kuanza uchimbaji...ndo maana unaona magu aliwatetea sana wachimbaj wadogo...! Lakini usalama upo sana! Kanuni ni 1...ukiwa na mzigo mkubwa usishaue sana...! Kimya kimya
 
Mungu anisamehe tu. mwenye nyumba ananidai milioni na laki tatu. Nilihama sijamlipa na sina bado pesa halafu mtu anasema unangojea tu return.
Afadhali nimesha ijua I d yako Mkuu, KODI NIMEKUSAMEHE NJOO ULIPE MAJI NA UMEME TU
 
Hapana siwezi ingia , nimeshawishika tu na maelezo yako
Imenichukua karibu miaka 12 ku master biashara niliyonayo , at mid 40 sitaki kuanza kitu kipya ambacho najua hadi nipate uzoefu ni miaka kadhaa itapita
Thats good! Ila mm naogopa sana kuwa na biashara1
 
Hapa sio vya kuchimbia tena....hapa ni jiko...yaan ww unaletewa dhahabu unaipima ubora wake unanunua! Kwahiyo hapa ni jiko na mzani wake...na mtungi ule mkubwa wa gesi,.haipungui 10m-15m! Na vibakuli vya kuchomea dhqhabu..kuna vibakuli.vyake maalumu maana kitu kinachomwa kwenye moto mkali!mara ya mwisho vibakuli bei ilikua 300k...hapo lazima uwe navyo si chini ya 6! Mzan wa kusoma purity ya dhahabu...mara ya mwisho ulikua btn 7-10m!hapa wanadai ya dubai ndo bora than china!
Sasa hii biashara lazima ujue hesabu! Hesabu zikikuchenga tunaambizanaga ....kuna zile kodi(mirahaba) ya serikali 7% usipoipigia hii mm.daily nakuletea mzigo maana ntapata faida nzuri mno daily....! So unawekq mtu walau wa form 6!
Yaan unaweza nunua mzigo wa 1m lakini makato yanafika hata 213,000! Sasa ww ukinipa yote 1m imekula kwako...Usipoikata hii ww utaning'inizwa mbeleni.itakula kwako!
Kakola kuna jiko walimuweka kilaza tulikula hela mno mno!
Hii shoga angu haina kuchafuka[emoji39]!hii hata ukibandika kucha haiswii[emoji3]!.uko ofisini na "dell" yako na kiyoyozi kikali kwa draw kuna kama 70m zinasubiri kuondoka[emoji3059]!tena na ulinzi wa mitutu kbs nje!
Siri ya hii biashara uwe na kauli nzuri...utapata wateja wanapanga folen kwako....! Na uwe loyal...mfano...mteja anakuletea dhahabu katoka nayo sehemu A, kila mchimbaj anajua area hii dhahabu zinasoma kuanzia asilimia 80_93%..ss wewe uje umshushe umwambie inasoma 75 hakika utamfukuza...ofcourse wanaibia hapo ila hakikisha hupishan naye saaana! Dhahabu ikisoma safi mfano 92% unauzia bei ya juu zaidi ya iloyosoma ya chini! Sasa wenye majiko wanachezea yale maji ya kupimia dhahabu...! Mtu anaamua kurudi na mzigo wake...!
Ah nna njaa mie !hope kidogo dogo utapata mwanga!
Umefunguka sana, aseeeh uko vizuri mno.
 
Kumbe unadhani niko hapa ili kumvuta mtu aje kwa mgongo wangu?.? Unakosea...tena umenikosea mno! Humu kuna zaidi ya watu 10 walitaka niwashike mkono nikawapotezea.na wenyewe wanajua ...ajitokeze mtu hapa aseme kama tulishakubaliana aje machimboni kupitia mimi...daily nasema nenda kwanza migodini ukasome mchezo unavyoenda...! Narudia sijawah na sitawah kumpokea mtu kwa mgongo wangu..never...! Mwenzako nilisoma mchezo 3mths nikajitupa kukimbiza mwalo nk nk!na nilianguka pia...hakuna biashara isiyo na changamoto... Siko hapa kumvuta mtu mzee !
Mimi sio muumini wa kuanza na mamilion..nisome kote....!aise umenishangaza balaa! Atokee mtu humu aseme mm wangari nilishakutana naye kwa ishu za dhahabu, kila mtu ajifie kivyake mkuu..akitaka ushauri anytime ntampa!
Mwenzako naandika haya huku nakunywa tu uji hapa mkuu relax!
Hujanielewa dada angu Maathai...niko +ve nawew. Nilichomaanisha kwa ufupi ni kwamba...mtu sahihi anaeweza pata faida kwa biashara kama hyo for a start ni mtu kama wew ambae uko kwenye hyo game mda...ila mtu fresh from streets/kidimbwi ambae ana kahela kake akiingia huko itakula kwake ....labda wew uwe mentor wake...sabab hyo biashara watu wanaeza dhania ni rahis tuu kama biashara ya nguo or wateva ila hapana hyo biashara ni ngumu..ina hitaj endurance ya hal ya juu...

So wala usfkirie vibaya ndugu yangu kwamba niko -ve.
 
Ilinitisha pale juu umesema ntawaliza....!peace
 
Mwanzoni nilikuwa nafikiri kama wewe, baada ya kujenga vibanda kadhaa vya kupangisha nikapata wapangaji vyumba vyote.

Nimegundua nitahitaji miaka 20 hela niliyoiwekeza kurudi.

Nimeamua kubadili mawazo, nataka kufanya maboresho kadhaa nigeuze Lodge, nikifanya iwe Lodge nitahitaji miezi 24 hela yangu irudi kwa vyumba nilivyonavyo.

Hope akina Wangari Maathai watakuwa wateja wangu siku za usoni. Ngoja kodi za Wapangaji ziishe, niwape Notice
 
Ilinitisha pale juu umesema ntawaliza....!peace
Oohh .kiswahili kigumu ndugu yangu. Nilimaanisha watalia kwa hasara wanayoweza ipata sabab si biashara ya kukurupuka..inahitaj muda wa kuijua b4 hujaweka pesa...yaan mtu akakae kabisa mgodini ajifunze vyoote ndo afanye tena taratib taratib huku akiskilizia .akikomaa aongeze mtaj

Mimi bwana nilipomaliza chuo nikaingia huko..nilipewa kamtaj na mzee..aisee...sitak hata kumbuka.nilisota msoto wa kufa mtu.kama kuna mtu alikua na camera anirekod maisha niliyoish kule anaweza hisi huyu chokoraa wa wap.mtu akiniangalia uson anasema we mbona unaonekana mtoto wa kishua tatzo nin hku.rud nyumban uanze upya..mi nishachkua hela home sifa nyingii na nilivyonajua kumpanga mtu home wananiamin sanaa..sasa ile aibu ya kurud home bila hata 100 ndo ilikua inanitesa.nakumbuka had nilifatwa maporin huko mzee katumiwa picha mwanae nalala chini kwenye kigodoro cha ulim wa mbwa nmekonda kama nin..hopping sku1 nipate mali nirud na niachane nayo kabisaa.nilipoteza miaka miwil kule..demu wangu aliniacha. Yan i lost everthng..sema sbaab nilikua jeur na niliogopa aibu ya kwamba wew si unajifanya unajua haya hela umepewa na huna hata 100.niishie hapa.ila nilikuja bahatisha nikapata kama 9m..nilitoka sikurud tena had leo hii..nikionaga watu wanachanganyikiwa na Laizer vile nasema hiiiiiii..hamjui msoto wa huko ndugu zangu
 
Misoto ya laizer na huku kwetu kuna utofauti...mm naweza nunua mifuko ya mawe najua kbs hapa napata kias gan ..!

Mm nimelalia hilo godoro almost 2yrs had nikapona mgongo!..
Hakuna mishe isio na risk....nataman kukaa huku forever sema kunachosha

Karibu Kinywaji mkuu
 
Kinywaji tupia picha kule uzi wa vyakula
 
Misoto ya laizer na huku kwetu kuna utofauti...mm naweza nunua mifuko ya mawe najua kbs hapa napata kias gan ..!

Mm nimelalia hilo godoro almost 2yrs had nikapona mgongo!..
Hakuna mishe isio na risk....nataman kukaa huku forever sema kunachosha

Karibu Kinywaji mkuu
Asante mkuu..mi niko zangu St peters hapa narud home..kuna ubarid flan dar unahamasisha kula nyama za kuchoma zamotoo au mdudu na salad flan na ka lazy beer flan...ngoja nipite njia ya chin huku shopers maeneo ya kat hapo siwez kosa kona ya kitimoto.
 
Back
Top Bottom