Ngoja wote tujenge hizo nyumbaKumbe rahis hivi
Kwa hiyo amount aloisema nauhakika ni miaka hata 40 kupata return..maana wajukuu watakula jasho lako...labda ujenge then ukopee bank...si bora ufuge ming'ombe ya maziwa sasa!mungu anisamehe tu. mwenye nyumba ananodai milioni na laki tatu. nilihama sijamlipa na sina bado pesa. alafu mtu anasema unangojea tu return.
Kwa muda gani hao wauza matikiti wataingiza hiyo pesa? Biashara ya nyumba za kupangisha ni lifetime investment hata mjukuu wako atakuja enjoy benefitsYani niwekeze 155m kwa kupata 33300 kwa siku!!!!!!hela ambayo muuza matikiti na pweza stand wanaingiza kwa siku.mxiiiiiuuuuuu
Ni security nzuriKwa hiyo amount aloisema nauhakika ni miaka hata 40 kupata return..maana wajukuu watakula jasho lako...labda ujenge then ukopee bank...si bora ufuge ming'ombe ya maziwa sasa!
Utasubiri hiyo return maisha , na pesa haitarudi, by the time umekusanya robo ya pesa nyumba nazo zitakuwa zinahitaji ukarabati wa pesa ndefu na kuna uwezekano pia zikawa outdated.Léo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba Za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família
Iko hivi mfano unaenda dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho Utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya vyumba 3 ambayo bajeti fanya 50m alafu ya vyumba 2 hii weka bajeti 35m alafu Za vyumba kimoja fanya mbili kwa 50m hapo mradi Umekamilik a unaanza kusubiri return
Biashara ya nyumba za kupanga yafaa uwe na Roho ya shetani ndo utaipata hio amount.Ujaliliwa na mpango ana watoto na familia yake.Mkuu
Kwa mahesabu ya harakaharaka hapo ni umewekeza 155000000 kwa income ya 1000000 kwa mwezi sawa na 33000 kwa siku..hapo ni sawa kweli!!!!!!!!!!!!!Hujanishawishi bado.
Hii unaingiza maisha yako yoteYani niwekeze 155m kwa kupata 33300 kwa siku!!!!!!hela ambayo muuza matikiti na pweza stand wanaingiza kwa siku.mxiiiiiuuuuuu
Unapouliza kwa muda gani uulize pia kwa mtaji gani,maana kama anaingiza hiyo 333000 kwa mtaji wa 200000,akiwa na vibanda kumi kwa mtaji wa 2000000 ataingiza tsh ngapi?Kwa muda gani hao wauza matikiti wataingiza hiyo pesa? Biashara ya nyumba za kupangisha ni lifetime investment hata mjukuu wako atakuja enjoy benefits
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Labda kwa wazee mzee baba!Ni security nzuri
Ni long term business
Hata kama utakuwa umetumia 200mln kuinvest
Lakini unauhakika wa kuokota pesa
Ova
Kama bado hujazeeka, biashara ya nyumba ni kwa ajili ya kusomeshea watoto na kufanya service gari/magari tu.Biashara ya nyumba za kupanga yafaa uwe na Roho ya shetani ndo utaipata hio amount.Ujaliliwa na mpango ana watoto na familia yake.
Biashara ya nyumba za kupanga inakusaidia uchelewe kufa baada ya kustaafu na sio capital gain ya kukuzia biashara.Hii yafaa stress free people watu wasiotaka pressure za biashara.