Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungekuwa na akili kidogo ungejua kwamba hakuna serekali inayoondeshwa bila ya kufanya manunuzi..Ungekuwa na akili kidogo ungeshauri serikali iache kununua sio kufuta sheria ya manunuzi
Ekari 5I am a qualified land and landed property valuation surveyor/ land economist/proffesional valuer..
Atakae kuja na exactly figure ya ukubwa wa hilo eneo anitajie nifanye calculation na adjustments ili tupate fair market value/price ya hilo eneo walilonunua ppf,,thamani ya ardhi ya maeneo hayo inajulikana,,na attributes zinazoaffect value kwa ile neighborhood zinajulikana
Tukipata rough estimation za value/price basing on ukubwa wa eneo husika itakua vizuri zaidi kwetu kama great thinkers kuichambua mada
Nawasilisha
lukindo Tena hako kamjamaa kana uswahiba na wazee wa Msoga.Halafu ana wasanifu kutoa misaada ya shule Dar, ili aonekane kwenye TV kwamba ni mtu mwema wakati ndiye ringleader wa network za upigaji fedha ndefu za Serrikali.Ukishaona hako kajina kwenye nyanja ya ujenzi basi hata usiulize tena ufisadi, muda utasema ukweli!
Kwa taarifa yako Ssra walipeleka taarifa 2012 na mkwere alipoona dau ni jipu aliwajibika ni husda
Kiwanja ni kikubwa sana zamani kulikuwa na kampuni ya kufyatua matofali pale... Kwa eneo lile dola milion 8 siwezi kubisha
Unaelekea unaelewa japo, na watu kama nyie ndio mnapaswa kuingizwa kwenye makambi ili kuacha kusumbua sumbua shibe za watu huku mtaani!lukindo Tena hako kamjamaa kana uswahiba na wazee wa Msoga.Halafu ana wasanifu kutoa misaada ya shule Dar, ili aonekane kwenye TV kwamba ni mtu mwema wakati ndiye ringleader wa network za upigaji fedha ndefu za Serrikali.
Kama ni ekari 5, bei inaweza kuwa reasonable japo bado kuna ifisadi hapo...kwa hesabu za harakaharaka mauzo ni 17billion ukigawanya kwa sqm utaona wamepigwa kwa 140,000 per square meter...kwa maeneo ya mlimani city sishangai watu kigamboni kwenyewe tena interior sqm 1 unagongwa mpk 15000.....mimi kwa bei hiyo naweza nikakubaliana nao kama ni kweli ni ekari 5...vinginevyo naondoa shilingi
Last week tulikuwa ITV yaan hawa SSRA wanatetea ujinga tu!!kma kuna jipu lililoiva basi hawa SSRA maana hawajui kazi zao!Hicho chombo kinachoitwa SSRA nacho ni hovyo tuuuu! Ndo wanaotakiwa kuidhibiti mifuko hii. Tumewahi eleza kwamba wimbi la kujihusisha na miradi ya ujenzi ni njia mojhawapo ya kuiba pesa ya wanachama. Sekta ua ujenzi imejaa rushwa na ni ngumu kuifualiltia.
Hao wakurugenzi wa mifuko woote sasa ni waizi tuuu na wako makini kusimamia mifuko hii ijiingize kwenye ujenzi. watatafuta viwanja kwa rushwa, makandarasi kwa rushwa, ujenzi kwa rushwa, n.k lakini yote haya ni mabaki ya mstaafu rais.