Uwekezaji: PPF yaendeleza eneo la ekari 5 jijini Dar

Aisee hii mifuko ni shida kuanzia Lapf,nssf,pspf na ppf kuna ufisadi wa hali ya juu sana,haswaa ktk hii sekta ya ujenzi. Nami siamini kama uwekezaji ktk majengo una tija kwa haya mashirika,
 
Ungekuwa na akili kidogo ungeshauri serikali iache kununua sio kufuta sheria ya manunuzi
ungekuwa na akili kidogo ungejua kwamba hakuna serekali inayoondeshwa bila ya kufanya manunuzi..
 
Pamoja na uwekezaji mkubwa kila kukicha bado wanachama hawanufaiki chochote na miradi hii.

Pensheni mbuzi halafu ya kusotea.
 
Ekari 5
 
Ukishaona hako kajina kwenye nyanja ya ujenzi basi hata usiulize tena ufisadi, muda utasema ukweli!
lukindo Tena hako kamjamaa kana uswahiba na wazee wa Msoga.Halafu ana wasanifu kutoa misaada ya shule Dar, ili aonekane kwenye TV kwamba ni mtu mwema wakati ndiye ringleader wa network za upigaji fedha ndefu za Serrikali.
 
Kwa taarifa yako Ssra walipeleka taarifa 2012 na mkwere alipoona dau ni jipu aliwajibika ni husda

Una maana aliwajibu kwamba ni wivu??? Je huu siyo wakati wa kukumbushia mambo ya nyuma kama walivyofanya kwa wakwepa kodi?

Tatizo lake jamaa nasikia alikuwa anawapa madaraka na kuwaruhusu kuiba! Alikuwa akiwachochea eti shauri yenu mimi naondoka.
 
Kiwanja ni kikubwa sana zamani kulikuwa na kampuni ya kufyatua matofali pale... Kwa eneo lile dola milion 8 siwezi kubisha

Dola milioni 8! Halafu unasema huwezi kubisha! Utakuwa na kasoro ya maumbile: Hiyo ni zaidi ya Bilioni 17, ni zaidi ya euro milioni 7. Bei hii ni ya kipuuzi kabisa kwa mazingira ya Tz. Nimeangalia property prices za mji kama Brussels ambao ni most expensive kwa Central Europe, utaona wazi kwa mfano eneo la 168 sq m linauzwa kwa 290,000 euro. Kwa maana nyingine eneo lenye ukubwa wa ekari 5 (~20,235 sq.m) lingeuzwa kwa karibia milioni 35 euro.

Brussels ni maisha makubwa mara 17 zaidi ya Dar, kwa kutumia minimum wages level. Sasa huoni kwamba manunuzi ya aina hiyo ni ya kipuuzi?
 
lukindo Tena hako kamjamaa kana uswahiba na wazee wa Msoga.Halafu ana wasanifu kutoa misaada ya shule Dar, ili aonekane kwenye TV kwamba ni mtu mwema wakati ndiye ringleader wa network za upigaji fedha ndefu za Serrikali.
Unaelekea unaelewa japo, na watu kama nyie ndio mnapaswa kuingizwa kwenye makambi ili kuacha kusumbua sumbua shibe za watu huku mtaani!
 
Kama ni ekari 5, bei inaweza kuwa reasonable japo bado kuna ifisadi hapo...kwa hesabu za harakaharaka mauzo ni 17billion ukigawanya kwa sqm utaona wamepigwa kwa 140,000 per square meter...kwa maeneo ya mlimani city sishangai watu kigamboni kwenyewe tena interior sqm 1 unagongwa mpk 15000.....mimi kwa bei hiyo naweza nikakubaliana nao kama ni kweli ni ekari 5...vinginevyo naondoa shilingi
 


Hesabu yako umeipiga vipi mkuu??hiyo 140,000tshs sq metres umeipataje?
Unajua ekari moja ni sawa na mita za mraba ngapi?
 
Last week tulikuwa ITV yaan hawa SSRA wanatetea ujinga tu!!kma kuna jipu lililoiva basi hawa SSRA maana hawajui kazi zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…