Ungeliuliza kuwa Je, huu mchakato wa uwekezaji ulianzaje? Basi ungepata majibu ya maswali yako.
Hii ni kwasababu asilimia zaidi ya 80+ ya nyinyi Vijana hamujui huu mchakato ulianzaje bali munarukia tu juujuu baada ya kusikia stori za 20B kutoka kwa Utopolo.
Jengine ni kwamba Mzee Said Salim Bakhressa A.K.A BAKHRESSA hajishughulishi na Maswala ya Mpira wala si Mshabiki wa Mpira na wala haimiliki Timu ya AZAM kama Watu wanavyoamini, Anayemiliki Timu ya AZAM ni Mtoto wa BAKHRESSA. Hivyo Sheria za FIFA haziruhusu Mtu mmoja kumiliki Timu 2, hivyo huyu Mtoto wa Bakhressa anayemiliki Azam haruhusiwi kumiliki 49% share za Simba, sasa kutokana na kutokujua sheria hii ya umiliki wa Timu na kutokujua huu Mchakato ulianzaje ndiyo umebeba Mawazo ya Utopolo, Kitenge, Edo na Oscar kusema eti Simba ilimpotezea ama kumkataa Bakhressa! Kwa akili hizi Utakataa na wewe ukiitwa Utopolo?