Uwekezaji tunaupenda sana, ila kwanini wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye miradi iliyoiva?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?

Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.

TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.

Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.

Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.

Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
 
Tungependa wawekezaji wawekeze kwanye maji safi na salama kwuwafikia wananchi mijini no vijijini. Wapewe kwa Kanda. Kuwe na Mamlaka za Maji Kanda ya Magharibi, Mashariki, Kusini, Kaskazini na Kanda ya kati.

Wasambaze mabomba na kupump maji. Asiye lipia maji akatiwe.
 
hao hawaji kuwekeza bali wanakuja kuvuna mipesa baada ya mafisadi wetu kuchora ramani maana hawa mafisi wetu hawawezi kuingia front wenyewe hivyo kutumia makampuni ya nje kwa gia ya uwekezaji kama kichaka cha kuficha uwepo wao hivyo wanakula mustarehe nyuma ya pazia hayo ni madili ya watu.!
 
Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?

Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.

TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.

Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.

Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.

Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
Huo ni ushahidi kuwa wawekezaji ni watanzania wenzetu wanatumia wajanja wachache wanakuja hapa nchini, lakini nyuma ya pazia sio makampuni wala nini, bali ni watanzania wenzetu wanachora mpango mzima.
 
Yas sasa hivi tunataka muwekezaji ajenge miradi ya umeme wa nyukilia.... na kama anapenda sana umeme basi azalishe magari ya umeme.

Tunajengaje kila kitu tokea chini halafu ikifika juu ndio tunatafuta mwekezaji🤯.

Miradi ipo mingi tu awekeze hata kwenye nishati za biofuel za pombe hiviiiiii
 
Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?

Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.

TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.

Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.

Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.

Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
Kwanini mnaivisha lakini mnashindwa kupakua, (you can not deliver good services at desired time)
 
Ungekuwa unaelewa maana ya Kingani za viwanda au kile Huwa wanafanya EPZA usingeuliza hili swali.

By the way sio kweli kwamba Kila Mwekezaji anakuja kwenye mradi ulioiva.

Mwisho Ili Mwekezaji aje lazima umpe taarifa za awali za uhakika wa yeye kurudisha pesa atakazoweka.

Kama vipi na wewe karibu kuwekeza uone.
 
Tungependa wawekezaji wawekeze kwanye maji safi na salama kwuwafikia wananchi mijini no vijijini. Wapewe kwa Kanda. Kule na Mamlaka za Maji Kanda ya Magharibi, Mashariki, Kusini, Kaskazini na Kanda ya kati.

Wasambaze mabomba na kupump maji. Asiye lipid maji akatiwe.
Yaani wauze maji?....🙄🙄
 
Ungekuwa unaelewa maana ya Kingani za viwanda au kile Huwa wanafanya EPZA usingeuliza hili swali.

By the way sio kweli kwamba Kila Mwekezaji anakuja kwenye mradi ulioiva.

Mwisho Ili Mwekezaji aje lazima umpe taarifa za awali za uhakika wa yeye kurudisha pesa atakazoweka.

Kama vipi na wewe karibu kuwekeza uone.
Umefafanua au umeongeza ubishi?
 
Back
Top Bottom