Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hapo ni kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataTumekopa matrilioni kuwekeza katika TANESCO HALAFU TUNAMUITA ADANI AJE ASAMBAZE UMEME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataTumekopa matrilioni kuwekeza katika TANESCO HALAFU TUNAMUITA ADANI AJE ASAMBAZE UMEME
Ukiangalia kwa undani Hao ni wapigajiBwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?
Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.
TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.
Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.
Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.
Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA
Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
Unanikumbusha wabunge kupitisha sera ambazo hazina muelekeo, (uncertainty policies), bila kujali madhara ya hapo baadae ,(the aftermath), yote kwa yote wa kulaumiwa ni jamii yetu ya bora liende yaani kanyaga twende, ukihoji kuhusu tozo unaambiwa kama hutaki kulipa tozo nenda burundi, cha ajabu jamii hii ikiambiwa hivyo inafyata mkia, yaani kimyaaa!Principles za uwekezaji zinaonyesha mwekezaji haendi kwenye greenfield projects kwa nchi zisizotabirika siasa na sera zake au zinazobadilikabadilika, akija rais kichaa anafumua mabilioni yaliyowekezwa hovyo tu. Wanaweka sehemu itakayolipa pesa yao fasta
Yawezekana Ridhwani ndio kawekeza KIAUkiangalia kwa undani Hao ni wapigaji
Michongo ya maokoto.Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?
Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.
TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.
Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.
Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.
Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA
Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
Acha utani basi mkuuDaah kmk yaan mtt wa kiume unaniita dada yako. Hii nimemind *****😀
Ni utapeli tupu hakuna la maanaHao sio wawekezaji ni sawa na wapangaji kwenye nyumba Yako uliyoijenga Kwa gharama zako .....
Hii awamu ni upepo wa AbdulYawezekana Ridhwani ndio kawekeza KIA
Hapana, ila ni bora yabaki kwenye umiliki wa taasisi za UmmaKwani sasa hivi unayapata bure?
Kuna faida gani yakiwa kwenye mamlaka za umma na watu wana taabika?Hapana, ila ni bora yabaki kwenye umiliki wa taasisi za Umma
Watu wanataabika sababu ya ufinyu wa bajeti ya maji kulinganisha na mahitaji na mambo mengine mengi tu.Kuna faida gani yakiwa kwenye mamlaka za umma na watu wana taabika?
Siyo kila kitu uwe unajibu na wewe wakati mwingine ukae kimyaUngekuwa unaelewa maana ya Kingani za viwanda au kile Huwa wanafanya EPZA usingeuliza hili swali.
By the way sio kweli kwamba Kila Mwekezaji anakuja kwenye mradi ulioiva.
Mwisho Ili Mwekezaji aje lazima umpe taarifa za awali za uhakika wa yeye kurudisha pesa atakazoweka.
Kama vipi na wewe karibu kuwekeza uone.
Na tungepanua wigo wa wala rushwa kwenye tibakila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha.
Ukiona unahitaji mwekezaji tambua kuwa uendeshaji wako upo duni. Kuna hatua za kimaendeleo tunatakiwa kufikiria kuzipiga ili tuwe na haki ya kufanya wenyewe hiyo miradi baada ya uwekezaji kuwa umeshakamilika.Bwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?
Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.
TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.
Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.
Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.
Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA
Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
Naunga mkono hoja mkuuBwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?
Bandari ya Dar es salaam imemeza mabilioni ya pesa za mkopo na fedha za ruzuku ili ipanuliwe. Upanuzi unaenda kukamilika tu mwekezaji huyo.
Nasikia hasira.
TEMESA kwa miaka 5 iliyopita imemeza mabilioni ya pesa kutengeneza vivuko leo hii vivuko vinatafuta mwekezaji. Hili mbona kituko.
Kuna taasisi nyingi ambazo zinapumulia mipira wawekezaji wakawekeze pesa huko ili kuleta maana halisi ya NENO mwekezaji.
Hii tren iliyokula matrilioni ambayo yangepelekwa yote wizara ya elimu wanafunzi wa msingi na sekondari wangeweza kupata chakula bora cha mchana na walimu wangelipwa overtime allowance kama watumishi wengine.
Soma Pia: Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA
Imagine shule ya serikali ambayo ina miundombinu yote kijana anamaliza form 4 hajui kuwa Songea si mkoa bali ni wilaya tu. Mtafute kijana wa kidato cha tatu shule ya serikali akuelezee ugonjwa wa malaria kinafaubaga aisee utaishia kusikitika.
hizo ni pesa za miradi hua znakua kwa dola sio tsh, mzunguko wa tsh umeshindwa kuzalisha hio pesa ndo maaana wamekopa, ukisema uzipeleke sjui kulipa overtime kwa miradi 2 uliosema nyerere na sgr basi tsh ingekua saaahv inapumulia mashineBwawa la Nyerere limetumia matrilioni ya fedha ambazo kama zingeingizwa kwenye afya kila mtaa sasa Ungekuwa na kituo cha afya na watumishi wa kutosha. Kwanini mwekezaji hakuja kabla ya miundombinu ya bwawa la Nyerere kuanza au kukamilika?