Uwekezaji wa Bond Vs Biashara za kawaida

Mtaji wa million 100 ukifanya biashara ni more profitable.Mzee wang Ana biashara yake moja mtaji imegharimu almost 70m Kwa wiki analaza mpka 2.5M (kwa mwezi 10m)ikipungua saan ni 1.5m anapiga (kwa mwezi 6m) ukitoa marupurup ya serikal kwa mwka ni kama 2m.-4m

Changamoto kubwa la stress kazi zikiwa haziend vizuri kutokana na matarajio yake.na chamoto anakutana nacho
Watu wanacho angalia ni uhakika wa mtaji wao,japo faida ni ndogo lakin mtaji uko pale pale. Bahati nzuri certificate ya bond unaweza kuitumia kuombea mkopo kama collateral.
 
Mdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?

Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya biashara
-Hulipi mfanyakazi Wala muda wako hautumiki
-Hakuna uwezekano wa kupoteza mtaji(mtaji kukataa)

Biashara
-Kodi TRA, LESENI
-Kodi ya Pango
-Muda, mfanyakazi
-Mtaji unaweza kukata/kuisha/kuibiwa n.k

Shusha comment yako Kati ya hayo mawili kipi Bora zaidi?
Kuna biashara unanunua kitu cha 1 M leo, kesho unauza kwa 1.1 hadi 1.3. Kwa bonds na funds zingine utasubiri mwaka mzima. Huko kunahitajika mtaji mkubwa zaidi na isiwe primary investment
 
Watu wanacho angalia ni uhakika wa mtaji wao,japo faida ni ndogo lakin mtaji uko pale pale. Bahati nzuri certificate ya bond unaweza kuitumia kuombea mkopo kama collateral.
Nimeshangaa saan ukiwekeza m 100 Kwa mwka unapata faida ya ya million 12,kweli ni ndogo
 
Mtaji wa million 100 ukifanya biashara ni more profitable.Mzee wang Ana biashara yake moja mtaji imegharimu almost 70m Kwa wiki analaza mpka 2.5M (kwa mwezi 10m)ikipungua saan ni 1.5m anapiga (kwa mwezi 6m) ukitoa marupurup ya serikal kwa mwka ni kama 2m.-4m

Changamoto kubwa la stress kazi zikiwa haziend vizuri kutokana na matarajio yake.na chamoto anakutana nacho
Biashara sio za watu lelemama kama haupo strong enough ku control busines challenges then bora mtu ukae pembeni

Big up kwa mzee
Mpe salamu huko aliko
 
Salamu zimefika , bora uvumilie challenge mwisho biashara ikishafunguka na ww unaweza ukatanua zaidi.
 
Mdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?

Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya biashara
-Hulipi mfanyakazi Wala muda wako hautumiki
-Hakuna uwezekano wa kupoteza mtaji(mtaji kukataa)

Biashara
-Kodi TRA, LESENI
-Kodi ya Pango
-Muda, mfanyakazi
-Mtaji unaweza kukata/kuisha/kuibiwa n.k

Shusha comment yako Kati ya hayo mawili kipi Bora zaidi?
Bonds zinafaa kwa mtu ambaye una pesa nyingi na huhitaji kuitumia pesa hiyo kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni, pengine labda kwa sababu huna muda wa kui-invest, au una plan ya kuitunza kwa ajili ya matumizi mengine kama vile kusomesha watoto kuanzia miaka mitano ijayo na kuendelea mbele

Otherwise hela yako unatakiwa uizungushe, regadless of the risks involved. Kikubwa zaidi unaweza ukanunua ardhi au nyumba ambavyo havina risk ya kupoteza hela na ambavyo huwa vinaongezeka thamani siku hadi siku, wiki hadi wiki, mwezi hadi mwezi, miaka na miaka...

Unaweza kuwekeza kwenye Bond iwapo tu huna muda wa kuizungusha hela yako au una malengo ya kuja kuitumia baadaye kwenye siku zijazo kwa ajili ya watu wengine ambao budget yao watu hao unayo tayari muda huu

Kwenye maisha, unatakiwa ukwepe problems ila usikwepe challenges. Ukikwepa challenges au changamoto kwa lugha nyingine, maana ya wewe kuishi inakuwa haipo

Challenges ukizikwepa, unazalisha matatizo zaidi kwa sababu tatizo huwa ni mtoto wa chnagamoto. Ukishindwa kutatua changamoto, unazalisha tatizo jipya na hivyo tatizo ni mtoto wa changamoto kwa maana kuwa chnagamoto siyo tatizo isipokuwa ni maisha
Changamoto ni maisha isipokuwa tatizo ni chnagamoto iliyokosa ufumbuzi
 
Mtaji wa million 100 ukifanya biashara ni more profitable.Mzee wang Ana biashara yake moja mtaji imegharimu almost 70m Kwa wiki analaza mpka 2.5M (kwa mwezi 10m)ikipungua saan ni 1.5m anapiga (kwa mwezi 6m) ukitoa marupurup ya serikal kwa mwka ni kama 2m.-4m

Changamoto kubwa la stress kazi zikiwa haziend vizuri kutokana na matarajio yake.na chamoto anakutana nacho
Biashara ipi mkuu
 
Back
Top Bottom