Uwekezaji wa DP-World ni USD 250 milioni ni mdogo kuliko "kishika uchumba" cha Barrick USD 300 milioni

Tech- know how unayo isema tuliipoteza kuanzia mwaka 1985 !!

Inawezekana, ila kwa nini hatubadiliki?? Tunasubiri kizazi cha ngapi? Anyway kwa sasa tusaidiwe tu angalau hata kama hatufaidiki direct basi huduma ziwe efficient. South Africa bila kaburu isingekua ilipo, wamechukua ANC washaanza kwenda mkondo uleule wa ndugu zao! Bahati nzuri serious industries bado wameshikilia makaburu so itachelewa kutufikia. Leo hii tazama miradi yote ya mabilioni inavyokufa baada ya kukamika wakianza tu waswahili kuendesha.

Tazama BRT, AirTanzania, TRC, Tazara, UDA, KAMATA, URAFIKI, MWATEX etc, ina maana kizazi kinachoishia kilikuwa na tech-know how kuliko cha sasa? Leo hii tumeshindwa hata kuboresha usafiri wa Dar tu pamoja na mabilioni yaliyowekezwa! Tunaweza nini?? Zamani angalau tulikuwa tunajivunia kina Fibert Bayi, Juma Ikangaa, Gidamis Shahanga etc, wakienda kukimbia, leo hii hata riadha hatuwezi wandugu! Acha michezo mingine complex - kufukuza upepo tu tumekwama tutaweza complex systems kama za modern port??? Tusijidanganye wandugu!
 
Kwakweli !
Sasa solution ni nini tufanye and how do we start ??!!
 
Lini mlitangaza nafasi wakaacha kuomba watu wenye uwezo? Precision Air inaendeshwa na Mchina? tatizo ni kuwekana kwa udini, uchawa na undugu, hizi nafasi zingekuwa zinatangazwa tungepata watu sahihi ambao wanauwezo mzuri sababu wataeleza sababu za kuomba nafasi, uwezo wao na uzoefu. Kwanini akina Mengi, Mo. GSM wameweza kuendesha kampuni zao na zinafanya vizuri? tuache mawazo mgando tuna uwezo sn sema hatujapewa hizo nafasi na hatutaki kupewa tunataka public interview
 
Kwakweli !
Sasa solution ni nini tufanye and how do we start ??!!

Kuliko kuwapa hawa maafisa walafi wa kibongo ambao walishajua hata wakiharibu hatuna technical know-how ya kuwawajibisha ni bora kabisa tubinafsishe kila kitu kinachokula mabilioni ya umma, waje wawekezaji watufunze kwanza, tukipata technical know-how kwa maumivu huenda tutapata akili, japo waliowapa watarudi tena kuwaomba rushwa then wakishakula chao wanakosa tena ujasiri wa kuwawajibisha basi tubaki tu na vicious cycle mpya, angalau mgeni hakombi kama wale ndugu zetu walioinflate bei ya ndege ya mizigo kwa asilimia kubwa namna ile! Na hadi leo wanakula tu cha juu chao, hatuna namna ya kuwawajibisha! Sijui tukoje yani, So pathetic...

Ukiona watu wanalalamikia national resources wa kibongo usijdanganye kwamba wa uchungu nazo NO! Wanaona wivu tu zamu zao hazijafika! Hata hapa...
 
Sahihi !
 
Kwamba sisi hatuna akili za ku-operate?

..kama hatuna Wataalamu tulitakiwa tukodishe management company waje waajiriwa kwa mikataba maalum.

..kama tunaleta muwekezaji basi awe muwekezaji atakayewekeza kwa kiwango ambacho sisi hatuna uwezo nacho.

..Je, uwekezaji wa Dpw wa usd 250 mil utaiwezesha bandari yetu kuwa kubwa na bora kuliko bandari zote ktk ukanda wetu?
 
Usiwe na wasiwasi, hicho ni kianzio tuu!, umuhimu wa DPW na Bandari zetu sio just capital injection, ni technical know how za how to operate more efficiently and more profitably ambapo sisi wenyewe hatuwezi hata kama hizo fedha tunazo.
P

Hii ndo akili ya Paschal ndugu zangu, halafu nikisema ni mtu wa hovyo mnanilaumu.
 
..kama hatuna Wataalamu tulitakiwa tukodishe management company waje waajiriwa kwa mikataba maalum.

..kama tunaleta muwekezaji basi awe muwekezaji atakayewekeza kwa kiwango ambacho sisi hatuna uwezo nacho.

..Je, uwekezaji wa Dpw wa usd 250 mil utaiwezesha bandari yetu kuwa kubwa na bora kuliko bandari zote ktk ukanda wetu?
Mkuu JokaKuu haina haja ya kukodi watu hao hao walioanza mchakato wa kuuza hiyo bandari na kwenda arabuni kufanya mapatano ya uuzwaji katika kivuli cha kukodishwa, walisomeshwa ng'ambo miaka hiyo na sio kusoma tu wamefanya kazi na kuishi wengine miaka kadhaa ili wapate uzoefu ndio wakarudi.

Uchache wa wasomi ulifanya serikali uwapeleke watu nje na ndio hao leo wamegeuka madalali wakisema hatuwezi kuendesha bandari wakati walisoma na kuishi katika nchi zilizopiga hatua kwenye usafiri wa maji kuliko hata hao waarabu.
 
..miaka ya zamani kulikuwa kuna kitu kinaitwa TECHNICAL ASSISTANCE sidhani kama siku hizi inafanyika.

..walikuwa wanakuja wataalamu haswa kutoka nchi za jumuiya ya madola wanatusaidia kuendesha kampuni au shirika la umma baadae mzalendo anachukua nafasi hiyo.

..Kumbukumbu ya karibu ni wakati tunaanzisha TANROADS ambapo ceo wa kwanza alitoka nje ya nchi.
 
Miaka hiyo tuliwahi kupata wataalam wenye standard za juu toka, Japan, Hungary, USSR , USA, Canada , Romania na nchi nyingi tu ambazo pia watu walienda kusoma huko.
 
..kama hatuna Wataalamu tulitakiwa tukodishe management company waje waajiriwa kwa mikataba maalum.

..kama tunaleta muwekezaji basi awe muwekezaji atakayewekeza kwa kiwango ambacho sisi hatuna uwezo nacho.

..Je, uwekezaji wa Dpw wa usd 250 mil utaiwezesha bandari yetu kuwa kubwa na bora kuliko bandari zote ktk ukanda wetu?
Huyu ni Rostam Azizi
 
Soma vizuri link, hawaekezi bandari yote, bandari ya Dar, ina berth 12, wanawekeza 4 berths, tofautisha na kuwekeza na kuchukuwa. Kwa mfano aliyekodisha frem ya duka, amewekeza kwa mwenye nyumba, sio amechukua frem ni mali yake. Watanzania sio kila kitu tunapinga bila kutumia akili.
Unafkiri hawajui? Basinni jeuri tu na kwamba anaefanya hawampendi
 
Back
Top Bottom