HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti waliyotoa nikuwa wewe utakaye pewa hayo mashamba inabidi pia uwe unanunua mpunga kwa wakulima wa kijiji hicho maana hawana soko linalo eleweka hivyo wa nahitaji niwatafutie muwekezaji watatoa hekali hizo alime yeye but atakuwa pia ananunua mpunga toka kwao kipindi cha mavuno nawakaribisha wenye mitaji wanaoweza kuwekeza pia na uwezo wa kununua mpunga wa wanakijiji kila Mwaka karibu
Kuna mfereji unaopeleka Maji mashambaniHayo mashamba yana mifereji ya umwagiliaji kwaajili ya kumwagilia mpunga wa kupandwa au ni mashamba ya mipunga ya kumwaga huku ukisubiri mvua inyeshe?
Mkoani huko mbeya taarifa zingine nitazitoa private kwa sababu maalumuKijiji gani na wilaya gani mkuu ungeweka taarifa muhimu ili kama ni mtu anaeza tafuta wenzie au wadau wakawekeza Taarifa sahihi ni muhimu sana
Sawa mkuu kumbe shamba lipo vizuri.Kuna mfereji unaopeleka Maji mashambani
Kangomba [emoji3] [emoji3]Mkoani huko mbeya taarifa zingine nitazitoa private kwa sababu maalumu
Yani kijij tu kiwe na ukubwa wa hekari 1000 za mashamba yako tu? Bado na wakulima wengine plus maeneo ya makazi.?
Yani serikali ya kijij ndo wakupe utafute muwekezaji JF π‘π‘π‘
Naulisa tu wakuu mfano gunia 10 za mpunga unaweza kupata kiasi gani cha mchele?,na wastani wa gunia 1 la mchele bei yake ikoje?
Lakini kisheria kijiji hakina mamlaka ya kutoa ekari zaidi ya 50.Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti waliyotoa nikuwa wewe utakaye pewa hayo mashamba inabidi pia uwe unanunua mpunga kwa wakulima wa kijiji hicho maana hawana soko linalo eleweka hivyo wa nahitaji niwatafutie muwekezaji watatoa hekali hizo alime yeye but atakuwa pia ananunua mpunga toka kwao kipindi cha mavuno nawakaribisha wenye mitaji wanaoweza kuwekeza pia na uwezo wa kununua mpunga wa wanakijiji kila Mwaka karibu