HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti waliyotoa nikuwa wewe utakaye pewa hayo mashamba inabidi pia uwe unanunua mpunga kwa wakulima wa kijiji hicho maana hawana soko linalo eleweka hivyo wa nahitaji niwatafutie muwekezaji watatoa hekali hizo alime yeye but atakuwa pia ananunua mpunga toka kwao kipindi cha mavuno nawakaribisha wenye mitaji wanaoweza kuwekeza pia na uwezo wa kununua mpunga wa wanakijiji kila Mwaka karibu