Uwekezaji wa kilimo cha mpunga karibuni

Uwekezaji wa kilimo cha mpunga karibuni

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,417
Reaction score
6,149
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti waliyotoa nikuwa wewe utakaye pewa hayo mashamba inabidi pia uwe unanunua mpunga kwa wakulima wa kijiji hicho maana hawana soko linalo eleweka hivyo wa nahitaji niwatafutie muwekezaji watatoa hekali hizo alime yeye but atakuwa pia ananunua mpunga toka kwao kipindi cha mavuno nawakaribisha wenye mitaji wanaoweza kuwekeza pia na uwezo wa kununua mpunga wa wanakijiji kila Mwaka karibu
 
Kijiji gani na wilaya gani mkuu ungeweka taarifa muhimu ili kama ni mtu anaeza tafuta wenzie au wadau wakawekeza Taarifa sahihi ni muhimu sana
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti waliyotoa nikuwa wewe utakaye pewa hayo mashamba inabidi pia uwe unanunua mpunga kwa wakulima wa kijiji hicho maana hawana soko linalo eleweka hivyo wa nahitaji niwatafutie muwekezaji watatoa hekali hizo alime yeye but atakuwa pia ananunua mpunga toka kwao kipindi cha mavuno nawakaribisha wenye mitaji wanaoweza kuwekeza pia na uwezo wa kununua mpunga wa wanakijiji kila Mwaka karibu
 
Hayo mashamba yana mifereji ya umwagiliaji kwaajili ya kumwagilia mpunga wa kupandwa au ni mashamba ya mipunga ya kumwaga huku ukisubiri mvua inyeshe?
 
Yani kijij tu kiwe na ukubwa wa hekari 1000 za mashamba yako tu? Bado na wakulima wengine plus maeneo ya makazi.?
Yani serikali ya kijij ndo wakupe utafute muwekezaji JF 😡😡😡
 
Naulisa tu wakuu mfano gunia 10 za mpunga unaweza kupata kiasi gani cha mchele?,na wastani wa gunia 1 la mchele bei yake ikoje?
 
Wakuuu natafuta mpunga mbegu za kienyeji aina ya KAHOGO, na PICHOLI. Kwa ajili ya mbegu. Mwenye aina tajwa hapo juu aje PM. Mbegu hizi miaka ya nyuma zilikuwa zinapatikana mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoa wa Mwanza.
 
Yani kijij tu kiwe na ukubwa wa hekari 1000 za mashamba yako tu? Bado na wakulima wengine plus maeneo ya makazi.?
Yani serikali ya kijij ndo wakupe utafute muwekezaji JF 😡😡😡

Watu manabishaga nini??? Serikali inaweza kutoa mbuga wewe ulime unavyotaka ila kwa masharti kadhaa, hata usishangae, ujue hapo ofisi ya Mkurugenzi imeingiza fedha nyingi tu
 
Wakuu habari za jioni nmepata hekari 1000 ambazo zipo kwajili ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hizo zimetolewa na serikali ya kijiji kwenye wilaya maarufu ya kilimo cha mpunga mashariti waliyotoa nikuwa wewe utakaye pewa hayo mashamba inabidi pia uwe unanunua mpunga kwa wakulima wa kijiji hicho maana hawana soko linalo eleweka hivyo wa nahitaji niwatafutie muwekezaji watatoa hekali hizo alime yeye but atakuwa pia ananunua mpunga toka kwao kipindi cha mavuno nawakaribisha wenye mitaji wanaoweza kuwekeza pia na uwezo wa kununua mpunga wa wanakijiji kila Mwaka karibu
Lakini kisheria kijiji hakina mamlaka ya kutoa ekari zaidi ya 50.
 
Back
Top Bottom