Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Ukiona mtu mwenye akili ndogo anakutoa povu ujue wew ndio unaakili ndogo🀣🀣🀣🀣
Unahisi kwa Nigeria wao bajeti yao ilikuwa imeSTACK!?Unapoambiwa weather inaakaunti uelewe.Acha kuwa poyoyo wa mbogamboga
 
Kwa kilimo hiki hiki cha kutegemea mvua? au kuna irrigation scheme ngapi zimeanzishwa nchi hii?! Hivi kwanini mnatuona watanzania wajinga?
 
Kwa kilimo hiki hiki cha kutegemea mvua? au kuna irrigation scheme ngapi zimeanzishwa nchi hii?! Hivi kwanini mnatuona watanzania wajinga?
Mama anajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation yaani zaiidi scheme 29 countrywide
 
Kwahiyo Bashe anatisha
Arekebishe hali ya hewa basi maana alisahau mvua mwaka huu zimetuvuruga
 
Weka data hapa zinajengwa wapi hizo irrigarion schemes 29?
Karibu Kila Mkoa na zingine zimekamilika πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DGn665ptYKw/?igsh=dnE4dmdsZDRuYTQ=
View: https://www.instagram.com/reel/DGoHqE1O6vp/?igsh=MXZqd3BtYmRheGlneQ==
Juzi tuu hapo alikuwa kuzindua ujenzi wa bwawa kubwa la mkomazi Kwa Ajili ya irrigation πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DGe5zhGNt6n/?igsh=MXJwM2hieWhnMHN2ZA==
View: https://www.instagram.com/p/DGgdSxeOjZK/?igsh=ZWk4aG9jNWpvNGZj
Mwisho,Kwa taarifa Yako tuu hakuna Rais aloyewahi weka pesa nyingi kwenye Kilimo kama Samia.

Nyie endeleeni na ujinga wenu kwenye vijiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…