Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Una akili ndogo sana ,Toka 2021 Bajeti ya Kilimo imekuwa inaongezeka Hadi kufikia hapo ilipo.

Sikuelewi tunachotaka wewe ni nini? Haya tufanye Iko hivyo unavyotaka,ndio imezuia Nigeria kupitwa?

Wewe una akili finyu sana,miaka yote hakujuwa na weather? Umeambiwa hapo matumizi ya mbolea yametoka tani chini ya 300k 2021 na kufikia zaidi ya tani 800k Bado unaongea ujinga.
Ukiona mtu mwenye akili ndogo anakutoa povu ujue wew ndio unaakili ndogo🤣🤣🤣🤣
Unahisi kwa Nigeria wao bajeti yao ilikuwa imeSTACK!?Unapoambiwa weather inaakaunti uelewe.Acha kuwa poyoyo wa mbogamboga
 
Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia.

View: https://youtu.be/0A4FNDoizJI?feature=shared

1. Imetoa ruzuku ya mbolea na pembejeo Kwa miaka 3

2. Imeonheza Bajeti ya Kilimo mara dufu

3. Imejenga na inajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation

4. Imeajiri maelfu ya Wataalamu wa Kilimo kuanzia Maafisa Ugani Hadi wahandisi.

5. Imeongeza Bajeti ya Utafiti Kwa Wataalamu.

6. Imenunua Vitendea kazi wa Wataalamu wa Kilimo kuanzia magari,pikipiki,vipima udongo,vishwambi nk

7. Imefufua na kuimarisha Tume ya Umwagiliaji

8. Imetafutia masoko ya bidhaa mbalimbali za Kilimo wakulima

9. Inanunua mazao ya wakulima,eg NFRA &CPB ndio soko kuu la mahindi ya Wakulima

10. Imejenga na inaendelea na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao Ili walau iwe na uwezo wa kutunza tani mil.3 za nafaka.

11. Imeanzisha mradi wa BBT Kilimo,mifugo,Uvuvi,Madini nk.

12. Inatoa mbolea mbegu za mazao Bure eg Korosho,ngano ,Chikichi nk

13. Ameanzisha mfumo wa Mauzo ya mazao kimtandao Tanzania Merchandile Exchange "TMX" hakuna makanjanja tena au madalali.

14. Ameanzisha mnad wa Chai ndani ya Nchi,hakuna Kupeleka Mombasa

15. Tanzania Kwa Sasa ni namba 2 wa Kuzalisha tumbaku na Korosho Afrika

16. Ameimarisha bei za mazao yote

17. Ameongeza mtaji wa Benki ya Kilimo ,Sasa pesa zipo na wakulima wanakopa.kwa riba nafuu.

18. Amepunguza riba za mikopo kwenye Kilimo kutoka 18% Hadi 9%

19. Ameanzisha programu ya Kusambaza matrekta 10,000 Kwa wakulima "Mechanisation drive"

20. Amerejwsha maonesho ya Kilimo Nanenane Kwa kuyafanya ya Kimataifa na Kujenga Viwanja vya Maonesho vya Kimataifa Dodoma na Mbeya.

Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea

View: https://youtu.be/tqvtrPSCl0U?feature=shared

My Take
Nawakumbusha tuu Rais Samia ni Game Changer wa Uchumi wa 🇹🇿 na ataendelea kuweka na kuvunja rekodi zake mwenyewe.

Haters mnaitwa kutoa povu ila ndio hivyo Samia ameshindikana.

View: https://www.instagram.com/p/DFo2hQloxmP/?igsh=YzhyYnkzeXI0dDF5

Ile Ndoto ya Rais Samia ya Kufanya Tanzania kuwa Ghala la Chakula Cha kulisha Afrika inaenda kutimia. Waweza soma hapa pia Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

View: https://www.instagram.com/reel/DFU1P6riddR/?igsh=MTJmd3k0cTcyMDd0NA==

Kwa kilimo hiki hiki cha kutegemea mvua? au kuna irrigation scheme ngapi zimeanzishwa nchi hii?! Hivi kwanini mnatuona watanzania wajinga?
 
Mama anajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation yaani zaiidi scheme 29 countrywide
 
Kwahiyo Bashe anatisha
Arekebishe hali ya hewa basi maana alisahau mvua mwaka huu zimetuvuruga
 
Weka data hapa zinajengwa wapi hizo irrigarion schemes 29?
Karibu Kila Mkoa na zingine zimekamilika 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGn665ptYKw/?igsh=dnE4dmdsZDRuYTQ=

View: https://www.instagram.com/reel/DGoHqE1O6vp/?igsh=MXZqd3BtYmRheGlneQ==

Juzi tuu hapo alikuwa kuzindua ujenzi wa bwawa kubwa la mkomazi Kwa Ajili ya irrigation 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGe5zhGNt6n/?igsh=MXJwM2hieWhnMHN2ZA==

View: https://www.instagram.com/p/DGgdSxeOjZK/?igsh=ZWk4aG9jNWpvNGZj

Mwisho,Kwa taarifa Yako tuu hakuna Rais aloyewahi weka pesa nyingi kwenye Kilimo kama Samia.

Nyie endeleeni na ujinga wenu kwenye vijiwe.
 
Back
Top Bottom