Umesahau upikaji wa Data tuliambiwa tuko kwenye uchumi wa kati wakati tulichoona ni ongezeko la Wamachinga kwenye maeneo ya hifadhi za BarabaraKwa hiyo akinunua ukurasa ananunua Hadi figures yaani au?
-Quantity produced ananunua
-Exports value ya BOT ananunua
Kwani Machinga wakiongezeka wanazuia Nchi kuwa uchumi wa kati?Umesahau upikaji wa Data tuliambiwa tuko kwenye uchumi wa kati wakati tulichoona ni ongezeko la Wamachinga kwenye maeneo ya hifadhi za Barabara
Wananchi hata milo miwili ni shida au hata mmoja.
Just try to read between the lines. All facts are crystal clear stipulated.Uwekezaji Gani uliofanyika? Acha ukasuku.
Wananchi wanadanganywa sana na hii serikali ya ccm kama kungekuwa na democracy tungewapndoa hawa fasta tukawachagua akina Lissu wapige kazi kwa UWAZI na UKWELI.Kwani Machinga wakiongezeka wanazuia Nchi kuwa uchumi wa kati?
Data zipikwe Ili iwaje? Juzi wakati Mpina anajadilo data za deni la Taifa zenyewe hazikupikwa?
Kwani hujasoma mada si nimeeleza hapo au unajitoa ufahamu?Uwekezaji Gani uliofanyika? Acha ukasuku.
Hayo matakataka yalitarajia Samia afeli yapate Cha kusema Sasa Kila yakigeuka mambo ni π₯ π₯ so wamebakia na majungu π€£π€£Just try to read between the lines. All facts are crystal clear stipulated.
Uchumi wa kwenye makaratasi,wakati wananchi wanasota.Kwani Machinga wakiongezeka wanazuia Nchi kuwa uchumi wa kati?
Hatujawahi kufaidika na serekali binafsi, wazazi wangu, mimi hata watoto wangu, na sijawaandalia watoto wangu kwenda kutegemea kazi za kujinyenyekeza, maana wana miradi ya kuendesha maisha yao.Walikuwa majizi ya serikalini wakaishia kulea mtu asiye na akili ya kutafuta ila ulalamishi wa Serikali wakati anakula vya urithi wa wizi.
Uchumi wa makaratasi unaweza fanya mambo makubwa kama ya kutoa Ajira? ππUchumi wa kwenye makaratasi.
Kama bei zinashuka si wangeacha kulima.kibiashara wawe wanalima kujikimu?Wakulima wa hayo mahindi wanauza kwa bei gani? Uzalishaji wetu kadiri mahindi yanapoongezeka bei nazo hushuka hivyo ongezeko linawanufaisha madali na middle man kama yangekua na tija tungeona impact yake kama kwenye workshop hadi USD iliporomoka bei hivyo tusijivunie kuongeza uzalishaji ambao hauwanufaishi wakulima
Bado hujasema porojo na kazi ya kujipendekeza inaendelea pande za Singida ππHakuna hata kitu uneandika hapa, umejaza porojo na kujipendekezwa kwingi uonekane na wewe unasema kazi alizofanya raisi.. kwenye kilimo serikali hakuna kitu inefanya amini hilo. Ipo siku utakuwa na akili.
Hiyo miradi inayokula hela mara kumi ya uhalisia ndio unaisifu?Uchumi wa makaratasi unaweza fanya mambo makubwa kama ya kutoa Ajira? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DFw1WvetS1z/?igsh=MTh6NGh0cjBqdmx3Nw==
Kwa hiyo wanaolima hapa ni hao wa maogisini wanatoa takwimu si ndio? ππHuwa inafurahisha watawala walioko maofisini ndio huwa wanashangilia mafanikio, kwasababu wao tu ndio huyaona hayo mafanikio sio wananchi masikini.
Mafanikio haya na takwimu hizi wanaziona na kuzisema watawala matajiri kwasababu wao ndio wanufaika.
Kule vijijini au mtaani hayo mahindi hayaonekani, huo unga ndio kila siku unapanda bei, sasa hayo manufaa yako wapi au huwa watawala wanagawana wao?
Nenda ground kwa wakulima wazalishaji wakubwa wa mahindi ni Rukwa,Ruvuma,Njombe,Mbeya,Iringa nenda katazame taswira za wakulima NFRA inachukua muda gani kuwalipa let's be fair to farmers wamekua tabaka ambalo hakuna anaewazungumzia ila wamekua wakutumika kwa watu kujipatia political milageKama bei zinashuka si wangeacha kulima.kibiashara wawe wanalima kujikimu?
Unaongea nadharia ya wapi hiyo?
Kwani utajiri wa mhusika na miradi ya serikali vinahusianaje?Hiyo miradi inayokula hela mara kumi ya uhalisia ndio unaisifu?
Au unataka tumwage utajiri wa wahusika?!
Waziri anaingia choka mbaya ghafla anamiliki utajiri wa ajabu na kuwaandika ndugu jamaa na Mashemeji.
Hata ingechukua miaka 2 kiwalipa,hoja ni kama mahindi hayana bei si wangeacha kilima Kibiashara?Nenda ground kwa wakulima wazalishaji wakubwa wa mahindi ni Rukwa,Ruvuma,Njombe,Mbeya,Iringa nenda katazame taswira za wakulima NFRA inachukua muda gani kuwalipa let's be fair to farmers wamekua tabaka ambalo hakuna anaewazungumzia ila wamekua wakutumika kwa watu kujipatia political milage