Huo u hovyo Huwa ni upi hasa?
Utawezaje kuuona ikiwa wewe ni chawa uliyekubuhu ni mnufaika wa madudu ya serikali ya samia?... tatizo akili zako ziko matakoni ndio maana huoni madudu na juzi tu hapa Chalamila kamwambia mama mjazito akajifungulie kwake kisa hospitalin hakuna gloves za bura na wakati huo mama yako yuko bize na kununua kila goli 5m, ujinga mtupu...!!
Huo ufisadi uliokithiri ni upi hasa? Unaweza nitajia ? Ufisadi wa Trilioni 1.2 ulikuwa ni awamu ipi?
Kwa hili jibu lako basi unathibitisha kwamba huo ufisadi uliokithiri upo, maana njia moja wapo ya kukiri kosa ni kumtaja mtu mwingine ambaye amefanya kosa linalofanana na wewe...!! Na awamu hii pekee tu ufisadi uliofanyika tukianzia tanesco enzi za January makamba mpaka wizara ya fedha ni mkubwa kulioko huo ulioutaja..
Vitendo vya rushwa vilivyoongezeka ni vipi? Kama rushwa haikemewi Hawa wamechukuliwa hatua Kwa sababu zipi?
View attachment 3227720
Unauliza kuongezeka kwa vitendo vya rushwa awamu hii, hivi una akili kweli wewe? Hebu nenda kwenye almashauri vitengo vya ardhi hasa Dodoma na mwanza uone maafisa mipango miji wanavyopokea rushwa kama njugu na kudhulumu watu viwanja mpuuzi wewe.
Na hiyo report ya CAG imeondoka na watumishi gani kwanza? Isije ikawa ni vidagaa tu huku wale mafisadi mapapa wakiendelea kudunda tu serikalini, mfano kama wale waliongeza invoice ya mabilioni mpaka mama yako akapanic na kuwatukana "
stupid" aliwachukulia hatua gani?
Unaweza weka data za kuonesha ongezeko la hayo unayoyasema?
Mwenye macho aambiwi tazama, haina ya mimi kukuletea makablasha hapa kuonesha madudu ya serikali za wavaa kobazi kila mwenye akili timamu huwa anajionea serikali zao ufisadi unavyotamalaki na huku vyombo vya kuthibiti vinakuwaga vimelala kwanzia PCCB yenyewe.
Inawezekanaje ambao hawakusanyi Kodi kama unavyosema wanaweza kutekeleza utitiri wa miradi,maelfu ya ajira kinyume na wanaosimamia Kodi Kushindwa hayo?
Sasa hiyo miradi si huwa wanaendesha kwa pesa nyingi wanazoenda kukopo kopa ovyo huko nje?, hivi wangekuwa wanakusanya mapato ya kutosha kweli wangekuwa na haja ya kwenda kuomba omba mikopo huko nje huku wakiweka rehani rasilimali za taifa? Hizo ajira wanazitoa toa tu hili watoto wa maskini wazigombanie na kuwaadaha wapiga kura, na pia tatizo la ajira kwa taifa la watu 61m halikomeshwi kwa kutoa ajira 1600 za serikali na badala yake serikali makini inakuza entrepreneur industry na private sector ambapo ndio kunatengenezwa mamilioni ya ajira, sasa wewe huko hapa kumsifia mama ako kwa ajili ya hivyo viajira 1,600? Ambavyo kwanza zitatolewa kwa kujuana, akili na elimu yako ni duni sana.
Inawezekanaje wanaoongozwa kukopa hovyo wakawa wanaongoza Kwa makusanyo ya Kodi,miradi Mingi,Ajira, biashara nk?
Anachofanya Samia hata mtoto wa miaka 7 anaweza kufanya kwa kumwelekeza tu, kwani si ni kwenda tu huko kwa mabeberu ambao huwa wanazitolea macho rasilimali zetu na kuwaambia wakukopeshe matrilioni wakati huo ukiweka bond rasilimali za taifa pasipokujali athari za mkopo huo kwa vizazi vijavyo?? Kwani ni nani ambaye hawezi kuendesha miradi ikiwa kama pesa ni za kupewa tu kwenye mikopo mathalani tu rasilimali za kufidia mkopo huo zipo?? Hilo nalo linahitaji mtu awe genius kuliona?
Alaa yaani watu wa chini wanateseka sana wakati huo huo ndio kipindi wakulima wanakuwa na uhakika wa.kuiza mazao,wanapunguziwa utitiri wa Kodi, Watoto wao wanapata Ajira, biashara zao zinaenda,nk? Hizo shida vipi?
Watu wa chini kwanzia hao wakulima wanateseka tena sana, maana wakienda hospital wanakutana na huduma mbovu kutokana miundo mbinu duni na watumishi wasiokuwa na waled wala nidhamu, kwako wewe mtu akishapata kaajira tu kakampa uhakika wa kula basi maisha kayamaliza na haitaji zaidi ya hapo? Pole sana kwa ufinyu wa fikra ulionao.
Alaa ila Tawala za Wagapatia watu wakiuwawa Kwa kugombea maji ya upako nk sawa 🤣🤣
Kwa hiyo ndio umecomment nini sasa? Jaribu kushirikisha ubongo ukiwa unaandika, kwa maana nyingine hapa hao waislamu wanaochoma makanisa ni sawa tu kisa kuna wakristu wamewahi kufa wakigombania kukanyaga mafuta sio?
Kwa ufupi ambao hawawezi nafasi ya Urais Wanaleta maisha Mazuri na Maendeleo ila wale wanaoweza vyuma vinakaza.
Hao unao waona wanakuletea maisha Mazuri maisha hayo mazuri wanayaleta kwa watu wa aina yako
machawa, mafisadi na wakwepa kodi ambao ni asilimia ndogo sana ya watanzania ila suala la Maendeleo kwa ujumla hawawezi, maana pesa za kufanya maendelea huwa hawajui kuzisimamia na badala yake wanawaachia watumishi mafisadi wanazigawana na kiasi kidogo sana ndio kinaenda kwenye hiyo miradi ya maeneo yenyewe.
Hivi Ukiwa mzima utachagua kuishi maisha ya kijima au kuishi ukistawi?
Hilo swali jijibu mwenye, maana sioni mshabiano wowote wa kimantiki na bandiko langu hapa.
Mwisho Mimi sio Mtu wa dini zenu za Wazungu na Waarabu ila kwa.kuwa ndio mnatuongiza napendelea Zaidi Waislamu Kwa sababu tunanawiri.kiuchumi yaani ukifanya kazi inakulipa.
lazima upendelee zaidi tawala za waislamu maana ni watu dhaifu kiuongozi na hawana maarifa ya kuongoza halaiki za watu na huwa wanaiacha nchi inakuwa shamba la bibi, wao wanachojua ni kujiangalia wao na syndicates zao kujitajirisha sababu ni watu wabinafsi sana, mfano kama sasa hakuna mtu aliyekuwa anamjua Abdul miaka 5 iliyopita ila unajua mambo anayoyafanya huyo Abdul sasa hivi?
nyie majizi na mafisadi siku zote lazima mzipende tawala dhaifu, maana udhaifu wao ni faida kwenu... hakuna mzalendo wa kweli anayefurahishwa na uongozi dhaifu hata siku moja
sio.kule Kwa Wakristo wanakuwaga kama.mashetani wa kuharibiwa watu maisha .
kwa nyie mafisadi, majizi na wazembe lazima muione hii nchi ni jehanamu ndogo na kuishi kama mashetani ikiwa chini ya viongozi shupavu, wazalendo na wachapakazi wasiopenda kutolerate upuuzi wa aina yoyote wa kikristu.. na of course bila uwepo wao pengine hii nchi hata uhuru ungechelewa au usingepatikana kabisa.
Mambo gani sasa haya na mimi yananihusu nini?
Mama yako serikali yake inafuga mafisadi na yakishashiba yanawarushia makombo watu kama wewe kisha ndio mnaenda kuanzisha hivi viprojects na nyie mnaridhika.
Sasa hivi yuko dodoma na maelfu ya machawa ameshaanda maburungutu ya kutapanya ovyo kama kawaida yake.
SERIOUSLY SHE'S THE WORST PRESIDENT THIS ROTTEN COUNTRY HAS EVER HAD