Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika


Sasa hapo mwananchi mkulima yuko wapi?

Hayo mashamba ni miradi inayolipiwa kupigia picha siyo uhalisia vijijini, yanaitwa shamba darasa kama ulikuwa hufahamu.

Mkulima gani kanufaika na nini?

Huu ni utapeli wa watawala wa ccm miaka yote.
 

Attachments

  • Screenshot_20250207-151247.jpg
    Screenshot_20250207-151247.jpg
    177.1 KB · Views: 2
Kwani Tanzania hatukupata drought na ikafiatiwa na mafuriko?
usifanye kichwa chako kigumu Boss,maeneo mengi yanayozalisha mahindi Nigeria yalipata mvua kiduchu na dry spell msimu huu.Tanzania maeneo yalipata dry spell msimu hasahasa ni maeneo ya mashariki ambako unajua kabisa hata si walimaji wa mahindi kihivyo.So labda Nature imewabeba.Ila usiseme kwa mikakati au kwamba kuna mbinu mama yako kafanya kuongeza uzalishaji!UONGO
 
Kwani Tanzania hatukupata drought na ikafiatiwa na mafuriko?
Vipi kuhusu dry spell?Kwa Nigeria maeneo yanayozalisha mahindi mengi yalipata below average rainfall..hebu niambie wapi Tanzania panapolimwa mahindi mvua imekuwa ya wasiwasi!?Sehemu pekee Tz zilizopata dry spell ni mashariki tu.Sasa Pwan mnalima mahindi kweli🤣🤣🤣🤣🤣
 
usifanye kichwa chako kigumu Boss,maeneo mengi yanayozalisha mahindi Nigeria yalipata mvua kiduchu na dry spell msimu huu.Tanzania maeneo yalipata dry spell msimu hasahasa ni maeneo ya mashariki ambako unajua kabisa hata si walimaji wa mahindi kihivyo.So labda Nature imewabeba.Ila usiseme kwa mikakati au kwamba kuna mbinu mama yako kafanya kuongeza uzalishaji!UONGO
Wacha upuuzi,80% ya Tanzania wanazalisha mahindi japo 50% yanatoka Nyanda za Juu Kusini, takwimu ndivyo Zina suggest.

Ukame na mafuriko uliathiri uzalishaji Kwa kiwango Cha zaidi ya 35%,hicho unachokiona kimezalishwa ilitakiwa iwe mara dufu yaani tuwakute South Africa.
 
Vipi kuhusu dry spell?Kwa Nigeria maeneo yanayozalisha mahindi mengi yalipata below average rainfall..hebu niambie wapi Tanzania panapolimwa mahindi mvua imekuwa ya wasiwasi!?Sehemu pekee Tz zilizopata dry spell ni mashariki tu.Sasa Pwan mnalima mahindi kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi kuhusu mafuriko? Mwaka Jana Kila kitu kilikuwa paralysed.

Usilazimishe takwimu zako
 
Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia.

1. Imetoa ruzuku ya mbolea na pembejeo Kwa miaka 3

2. Imeonheza Bajeti ya Kilimo mara dufu

3. Imejenga na inajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation

4. Imeajiri maelfu ya Wataalamu wa Kilimo kuanzia Maafisa Ugani Hadi wahandisi.

5. Imeongeza Bajeti ya Utafiti Kwa Wataalamu.

6. Imenunua Vitendea kazi wa Wataalamu wa Kilimo kuanzia magari,pikipiki,vipima udongo,vishwambi nk

7. Imefufua na kuimarisha Tume ya Umwagiliaji

8. Imetafutia masoko ya bidhaa mbalimbali za Kilimo wakulima

9. Inanunua mazao ya wakulima,eg NFRA &CPB ndio soko kuu la mahindi ya Wakulima

10. Imejenga na inaendelea na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao Ili walau iwe na uwezo wa kutunza tani mil.3 za nafaka.

11. Imeanzisha mradi wa BBT Kilimo,mifugo,Uvuvi,Madini nk.

12. Inatoa mbolea mbegu za mazao Bure eg Korosho,ngano ,Chikichi nk

13. Ameanzisha mfumo wa Mauzo ya mazao kimtandao Tanzania Merchandile Exchange "TMX" hakuna makanjanja tena au madalali.

14. Ameanzisha mnad wa Chai ndani ya Nchi,hakuna Kupeleka Mombasa

15. Tanzania Kwa Sasa ni namba 2 wa Kuzalisha tumbaku na Korosho Afrika

16. Ameimarisha bei za mazao yote

17. Ameongeza mtaji wa Benki ya Kilimo ,Sasa pesa zipo na wakulima wanakopa.kwa riba nafuu.

18. Amepunguza riba za mikopo kwenye Kilimo kutoka 18% Hadi 9%

19. Ameanzisha programu ya Kusambaza matrekta 10,000 Kwa wakulima "Mechanisation drive"

20. Amerejwsha maonesho ya Kilimo Nanenane Kwa kuyafanya ya Kimataifa na Kujenga Viwanja vya Maonesho vya Kimataifa Dodoma na Mbeya.

Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea

View: https://youtu.be/tqvtrPSCl0U?feature=shared

My Take
Nawakumbusha tuu Rais Samia ni Game Changer wa Uchumi wa 🇹🇿 na ataendelea kuweka na kuvunja rekodi zake mwenyewe.

Haters mnaitwa kutoa povu ila ndio hivyo Samia ameshindikana.


View: https://www.instagram.com/p/DFo2hQloxmP/?igsh=YzhyYnkzeXI0dDF5

Ile Ndoto ya Rais Samia ya Kufanya Tanzania kuwa Ghala la Chakula Cha kulisha Afrika inaenda kutimia. Waweza soma hapa pia Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

View: https://www.instagram.com/reel/DFU1P6riddR/?igsh=MTJmd3k0cTcyMDd0NA==

Hongereni sana. Mnao ng'ombe wa kutosha kuwalisha mahindi yote hayo?
 
Huo u hovyo Huwa ni upi hasa?
Utawezaje kuuona ikiwa wewe ni chawa uliyekubuhu ni mnufaika wa madudu ya serikali ya samia?... tatizo akili zako ziko matakoni ndio maana huoni madudu na juzi tu hapa Chalamila kamwambia mama mjazito akajifungulie kwake kisa hospitalin hakuna gloves za bura na wakati huo mama yako yuko bize na kununua kila goli 5m, ujinga mtupu...!!
Huo ufisadi uliokithiri ni upi hasa? Unaweza nitajia ? Ufisadi wa Trilioni 1.2 ulikuwa ni awamu ipi?
Kwa hili jibu lako basi unathibitisha kwamba huo ufisadi uliokithiri upo, maana njia moja wapo ya kukiri kosa ni kumtaja mtu mwingine ambaye amefanya kosa linalofanana na wewe...!! Na awamu hii pekee tu ufisadi uliofanyika tukianzia tanesco enzi za January makamba mpaka wizara ya fedha ni mkubwa kulioko huo ulioutaja..
Vitendo vya rushwa vilivyoongezeka ni vipi? Kama rushwa haikemewi Hawa wamechukuliwa hatua Kwa sababu zipi? View attachment 3227720
Unauliza kuongezeka kwa vitendo vya rushwa awamu hii, hivi una akili kweli wewe? Hebu nenda kwenye almashauri vitengo vya ardhi hasa Dodoma na mwanza uone maafisa mipango miji wanavyopokea rushwa kama njugu na kudhulumu watu viwanja mpuuzi wewe.

Na hiyo report ya CAG imeondoka na watumishi gani kwanza? Isije ikawa ni vidagaa tu huku wale mafisadi mapapa wakiendelea kudunda tu serikalini, mfano kama wale waliongeza invoice ya mabilioni mpaka mama yako akapanic na kuwatukana "stupid" aliwachukulia hatua gani?
Unaweza weka data za kuonesha ongezeko la hayo unayoyasema?
Mwenye macho aambiwi tazama, haina ya mimi kukuletea makablasha hapa kuonesha madudu ya serikali za wavaa kobazi kila mwenye akili timamu huwa anajionea serikali zao ufisadi unavyotamalaki na huku vyombo vya kuthibiti vinakuwaga vimelala kwanzia PCCB yenyewe.
Inawezekanaje ambao hawakusanyi Kodi kama unavyosema wanaweza kutekeleza utitiri wa miradi,maelfu ya ajira kinyume na wanaosimamia Kodi Kushindwa hayo?
Sasa hiyo miradi si huwa wanaendesha kwa pesa nyingi wanazoenda kukopo kopa ovyo huko nje?, hivi wangekuwa wanakusanya mapato ya kutosha kweli wangekuwa na haja ya kwenda kuomba omba mikopo huko nje huku wakiweka rehani rasilimali za taifa? Hizo ajira wanazitoa toa tu hili watoto wa maskini wazigombanie na kuwaadaha wapiga kura, na pia tatizo la ajira kwa taifa la watu 61m halikomeshwi kwa kutoa ajira 1600 za serikali na badala yake serikali makini inakuza entrepreneur industry na private sector ambapo ndio kunatengenezwa mamilioni ya ajira, sasa wewe huko hapa kumsifia mama ako kwa ajili ya hivyo viajira 1,600? Ambavyo kwanza zitatolewa kwa kujuana, akili na elimu yako ni duni sana.
Inawezekanaje wanaoongozwa kukopa hovyo wakawa wanaongoza Kwa makusanyo ya Kodi,miradi Mingi,Ajira, biashara nk?
Anachofanya Samia hata mtoto wa miaka 7 anaweza kufanya kwa kumwelekeza tu, kwani si ni kwenda tu huko kwa mabeberu ambao huwa wanazitolea macho rasilimali zetu na kuwaambia wakukopeshe matrilioni wakati huo ukiweka bond rasilimali za taifa pasipokujali athari za mkopo huo kwa vizazi vijavyo?? Kwani ni nani ambaye hawezi kuendesha miradi ikiwa kama pesa ni za kupewa tu kwenye mikopo mathalani tu rasilimali za kufidia mkopo huo zipo?? Hilo nalo linahitaji mtu awe genius kuliona?
Alaa yaani watu wa chini wanateseka sana wakati huo huo ndio kipindi wakulima wanakuwa na uhakika wa.kuiza mazao,wanapunguziwa utitiri wa Kodi, Watoto wao wanapata Ajira, biashara zao zinaenda,nk? Hizo shida vipi?
Watu wa chini kwanzia hao wakulima wanateseka tena sana, maana wakienda hospital wanakutana na huduma mbovu kutokana miundo mbinu duni na watumishi wasiokuwa na waled wala nidhamu, kwako wewe mtu akishapata kaajira tu kakampa uhakika wa kula basi maisha kayamaliza na haitaji zaidi ya hapo? Pole sana kwa ufinyu wa fikra ulionao.
Alaa ila Tawala za Wagapatia watu wakiuwawa Kwa kugombea maji ya upako nk sawa 🤣🤣
Kwa hiyo ndio umecomment nini sasa? Jaribu kushirikisha ubongo ukiwa unaandika, kwa maana nyingine hapa hao waislamu wanaochoma makanisa ni sawa tu kisa kuna wakristu wamewahi kufa wakigombania kukanyaga mafuta sio?
Kwa ufupi ambao hawawezi nafasi ya Urais Wanaleta maisha Mazuri na Maendeleo ila wale wanaoweza vyuma vinakaza.
Hao unao waona wanakuletea maisha Mazuri maisha hayo mazuri wanayaleta kwa watu wa aina yako machawa, mafisadi na wakwepa kodi ambao ni asilimia ndogo sana ya watanzania ila suala la Maendeleo kwa ujumla hawawezi, maana pesa za kufanya maendelea huwa hawajui kuzisimamia na badala yake wanawaachia watumishi mafisadi wanazigawana na kiasi kidogo sana ndio kinaenda kwenye hiyo miradi ya maeneo yenyewe.
Hivi Ukiwa mzima utachagua kuishi maisha ya kijima au kuishi ukistawi?
Hilo swali jijibu mwenye, maana sioni mshabiano wowote wa kimantiki na bandiko langu hapa.
Mwisho Mimi sio Mtu wa dini zenu za Wazungu na Waarabu ila kwa.kuwa ndio mnatuongiza napendelea Zaidi Waislamu Kwa sababu tunanawiri.kiuchumi yaani ukifanya kazi inakulipa.
lazima upendelee zaidi tawala za waislamu maana ni watu dhaifu kiuongozi na hawana maarifa ya kuongoza halaiki za watu na huwa wanaiacha nchi inakuwa shamba la bibi, wao wanachojua ni kujiangalia wao na syndicates zao kujitajirisha sababu ni watu wabinafsi sana, mfano kama sasa hakuna mtu aliyekuwa anamjua Abdul miaka 5 iliyopita ila unajua mambo anayoyafanya huyo Abdul sasa hivi?

nyie majizi na mafisadi siku zote lazima mzipende tawala dhaifu, maana udhaifu wao ni faida kwenu... hakuna mzalendo wa kweli anayefurahishwa na uongozi dhaifu hata siku moja
sio.kule Kwa Wakristo wanakuwaga kama.mashetani wa kuharibiwa watu maisha .
kwa nyie mafisadi, majizi na wazembe lazima muione hii nchi ni jehanamu ndogo na kuishi kama mashetani ikiwa chini ya viongozi shupavu, wazalendo na wachapakazi wasiopenda kutolerate upuuzi wa aina yoyote wa kikristu.. na of course bila uwepo wao pengine hii nchi hata uhuru ungechelewa au usingepatikana kabisa.

Mambo gani sasa haya na mimi yananihusu nini?

Mama yako serikali yake inafuga mafisadi na yakishashiba yanawarushia makombo watu kama wewe kisha ndio mnaenda kuanzisha hivi viprojects na nyie mnaridhika.

Sasa hivi yuko dodoma na maelfu ya machawa ameshaanda maburungutu ya kutapanya ovyo kama kawaida yake.

SERIOUSLY SHE'S THE WORST PRESIDENT THIS ROTTEN COUNTRY HAS EVER HAD
 
Wananchi wanadanganywa sana na hii serikali ya ccm kama kungekuwa na democracy tungewapndoa hawa fasta tukawachagua akina Lissu wapige kazi kwa UWAZI na UKWELI.
Magazeti ya serikali kama Uhuru na mwanainchi eti siku moja yaandika Samia kimbilio la watanzania wa hali ya chini na wengi wamtaka aongezewe muda kwenye uongozi wake..

Nilighafirika sana kusoma hicho kichwa cha habari.

Hii serikali imejazaa machawa kibao na majizi na yanamdanganya sana Samia wakati huku mitaani hali tofauti na uhalisia.
 
Back
Top Bottom