Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Upuuzi
 
Hayo matakataka yalitarajia Samia afeli yapate Cha kusema Sasa Kila yakigeuka mambo ni 🔥 🔥 so wamebakia na majungu 🤣🤣
Yaani waweza ukaona mtu na sharubu zake anapinga kitu bila sababu.
Yule Mama Samia kawafunga goli la kisigino.Mitano tena.
 
Hadi Sasa unabwabwaja hujataja dudi hata Moja la serikali ya Samia ambalo Mimi nanufaika.

Kwa kuwa huna hoja na hujitambui ndio maana unaishia kutoa mapovu na kutukana hovyo(ugonjwa wa akili)
Namba ndio zinaongea,Kuna wizi rundo la ufisadi ilifanyika awamu ya 5 ikiwemo kujilia pesa za mikopo ya Halmashauri,Wizi kwenye manunuzi ya Ndege,Bwawa la Umeme nk .

Tanesco Kuna wizi gani mbona hutaji? Hayo niliyotaja Mimi Yana ushahidi wa CAG.
Unauliza kuongezeka kwa vitendo vya rushwa awamu hii, hivi una akili kweli wewe? Hebu nenda kwenye almashauri vitengo vya ardhi hasa Dodoma na mwanza uone maafisa mipango miji wanavyopokea rushwa kama njugu na kudhulumu watu viwanja mpuuzi wewe.
Kwa hiyo hayo maeneo ukiyoenda wewe ndio ushahidi wa wizi? Uko vizuri huko upstairs kweli? Mirembe imeboreshwa Kwa Ajili ya wagonjwa wa akili kama wewe.
Mapapa nk kina nani ikiwa Hadi Mwendazake alishindwa kufunga hata hao dagaa achilia mbali mapapa.eg RC wa Mwanza alikuwa anaongoza genge la wezi wa mifugo akiwa DC hata Magufuli alipoambiwa hakuna alichomfanya. Mlikuwa mnawaonea Watumishi wa Umma maskini ambao hata salary mlishindwa Kuwaongezea
Leta ushahidi sio majungu ya kijinga
Porojo as usual 🤣🤣

Mama ameongeza makusanyo mara 2 in less than 4 years harafu alikuwepo mtu amekaa miaka 6 hakuna Cha maana amefanya,uliuliza utasikia alianzisha 😆😆

Tufanye kukopa ni vibaya,haya ukikopa ukajenga vituo vya Afya 650 vs 350 umesaidia watu au hapana?

Ukikopa ukanunua Vifaa Tiba Mikoa yote eg CT Scans vs 7 zilizokuwepo umesaidia watu au hapana?

Ukikopa ukapunguza vifo vya vichanga na Watoto Kwa 80% umesaidia watu au hapana?

Ukikopa ukajenga mashule Watoto wote wakaenda shule umewasaidia au hapana?

Hapa orodha ni ndefu hatutamaliza itoshe kusema ukiona unakopesheka manake unalipa,huwezi kopesha mtu anaeharibj uchumi dizaini ya Mwendazake
Nyie Wafuasi wa Mwendazake si mlikuwepo Kwa nini hamkwenda mkajivhotee mahela kwani hamtaki mapesa? Mbona mlikuwa mnawapora wafanyabiashara wakati mahela ya kuchota Bure Kwa Mabeberu yapo? 🤣🤣 Mtoto wa la 7 aweze harafu nyie Wazalendo mnashindwaje Sasa 😬😬
Miundombinu duni inatoka wapi tena wakati
-Kila Kituo Cha Afya kina Watumishi ambao hawakuwepo

Kila.kituo Cha Afya kina umeme na vifaa Tiba ambavyo Haikuwepo

Kila Kituo Cha Afya kina dawa sio kama awamu Ile hata chanjo hakuna

Vituo vya Afya takribani 600 vs 350 Huduma Hadi Vichochoroni harafu mpuuzi mmja unaandika pumba.
Kwa hiyo ndio umecomment nini sasa? Jaribu kushirikisha ubongo ukiwa unaandika, kwa maana nyingine hapa hao waislamu wanaochoma makanisa ni sawa tu kisa kuna wakristu wamewahi kufa wakigombania kukanyaga mafuta sio?
Ndio maana kumekuwa na mtindo wa kutumbisha Serikali za Wavaa kobazi pindi Rais akiwa wa upande huo na kuwanyanyasa watu wao pindi Rais akiwa mgalatia eg mashehe wa uamsho..
Wavaa kobazi sio tuu wanaletaga maisha Mazuri bali maisha ya amani na Raha.eg
-Watoto wanasoma Bure kuanzia chekechea Hadi university,Diploma wanapewa mikopo
-Wakulima Wana uhakika wa bei nzuri za mazao yao ndio maana wanaongeza uzalishaji sio kama wale wa kusomba korosho Kwa Jeshi 😄😄
-Ajira kede kede,Kwa Sasa mtaani Watoto wa maskini waliosoma wanamiminiwa Ajira,wataacha kuwa na maisha Mazuri?
-Watumishi wanapandishwa madaraja,kuongezeka salary,posho na kufutiwa Kodi kandamizi zilizowekwa na wahuni wa awamu Ile eg Wizi wa bodi ya mikopo.
-Biashara na uwekezaji unamimimika yaani mambo ni bambam hakuna habari ya vyuma kukaza
-Wakandarasi na wazabuni wananufaika Kwa miradi ya kumwaga sio ya kutafutiza kama awamu Ile.
Hilo swali jijibu mwenye, maana sioni mshabiano wowote wa kimantiki na bandiko langu hapa.
Huna hoja.
Wenye maarifa ndio hao Huwa wanavuruga uchumi harafu wasio na maarifa Wanaleta Neema? 🤣🤣
nyie majizi na mafisadi siku zote lazima mzipende tawala dhaifu, maana udhaifu wao ni faida kwenu... hakuna mzalendo wa kweli anayefurahishwa na uongozi dhaifu hata siku moja
Wazalendo na mashujaa ndio wale wanaopora hela za Wananchi au Kuna wengine? 😂😂
Wachapakazi, Wazalendo ndio wale ambao wanasababisha umaskini kishamiri au ikoje ?
Mambo gani sasa haya na mimi yananihusu nini?
Kwa nini yasikuhusu? Hiyo Neema hata Watoto wako wanaitaka.
Mama yako serikali yake inafuga mafisadi na yakishashiba yanawarushia makombo watu kama wewe kisha ndio mnaenda kuanzisha hivi viprojects na nyie mnaridhika.
Mafisadi kama kina nani hao? Nakumbuka Kuna mahakama ya kilichoitwa ya Mafisadi? Kuna fisasi hata mmja Aliwahi pandishwa lizimbani? Nitajie? 😆😆
Sasa hivi yuko dodoma na maelfu ya machawa ameshaanda maburungutu ya kutapanya ovyo kama kawaida yake.
Pesa anatafuta na anapata bwerere ulitaka Aishi Kwa kujikamua na kukopa stress Ili kitokee nini? Duniani tuko kuishi tena Kwa Raha sio karaha.
SERIOUSLY SHE'S THE WORST PRESIDENT THIS ROTTEN COUNTRY HAS EVER HAD
Tanzania ilipitia kipindi kigumu kuwahi tokea lakini Mungu akaamua mechi.

-Leo hii husikii tena vyuma kukaza,
-Leo hii husikii tena majumba kuuza hovyo
-Leo hii husikii tena mtu kuporwa pesa
-Leo hii husikii tena kwamba Serikali Haina hela za kuajiri
-Wala Leo hii husikii tena Kauli za Kejeli wale washenzi wa vieteli.
-Leo hii Nchi Ina Neema tela 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFxjQY6NFEM/?igsh=aHNvdnhwanBweXli
 
Yaani waweza ukaona mtu na sharubu zake anapinga kitu bila sababu.
Yule Mama Samia kawafunga goli la kisigino.Mitano tena.
Yamejaa chuki ila Sasa Mungu alivyo wa ajabu kama walivyoshindwa kupindua meza awamu Ile ndivyo watashindwa Hadi waingie Kaburini na Samia atawazika.
 
Sasa wataachaje kukimbilia ikiwa mambo Yao yanaenda?

Hawa wanaolima na kupata hela watakimbia wapi? Kwa yule mharibifu wa Maisha? 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDjeKRuu-q1/?igsh=bTcxaWppczRoYzcz
Ungekuwa wewe ungekimbilia wapi? Kwenye tumaini na uhakika au.kile.kwa waleta ufukara?
 
Takataka kama wewe huwezi jua kitu Kwa sababu una akili za kuku.

Ikasome maana ya food security

Na Ikasome.export value ya mahindi
Kwa dunia ya Sasa na Trend ya uchumi watu wanaenda na vitu vya biashara
Commercial iteams,
Mahindi hana msaada wowote kwa hili taifa kama hujajua hilo.

Rank ya Top 5 agri products zinazoiingizia nchi pesa ya kigeni mahindi haipo.

Zimbabwe alikua mlimaji mkubwa wa mahindi yamempeleka wapi, she ia still down to hell.

Nyie watoto sijui mlienda shule kujifunza uchawa?
 
Unaongea takataka ulizojaza kichwani kwako.🚮🚮

Dunia ya commercial na njaa?

Russia,Ukraine,Vietnam ,USA hao ni top global exporters wa mazao wewe unaongea pumba gani?

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1887870810058018937?t=MAoJDTPLpgQAk-Nt3MKggA&s=19
 

Kwanza tumia Lugha nzuri mdogo wangu. Lugha mbovu naiweza vizuri ila naweka kadi zangu chini.

Tz ana export mahindi wapi zaidi ya nchi hizi jirani ,anapata nini?

Talking about Russia Ukraine hao wanalima mazao ya biashara yenye Tija,Ngano na hops na barley.

Leo hii sisi tunanunua Barley toka zambia? What a shame

Think big usifikiri hapa karibuu
 
Huko ndiko tunaelekea.Kwani lazima ukauze Argentina Ili ihesabike umeuza Nje? Mbona una akili finyu sana? Kuna haja gani ya kwenda mbali wakati majirani Bado wanahitaji na hatujaweza kuwazibia pengo.lao.kiasi Cha kuagiza Ukraine na Brazil?

View: https://www.instagram.com/reel/DFrxSO-huYH/?igsh=NmdvZGJwM3k0aThp
View: https://www.instagram.com/reel/DFxZohNIgDY/?igsh=MWNzOWp6NzltcDJ6Zg==
Ajenda 10/30 inatutaka tujitosheleze Kwa ngano Kwa 80% na safari ya huko inaendelea as follows

View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1884117842670542990?t=xzEUuFisevIfnlD7PVnzaA&s=19
View: https://www.instagram.com/reel/DE60FjzomQf/?igsh=N3U5M2hicWxxM2V2
 
Hadi Sasa unabwabwaja hujataja dudi hata Moja la serikali ya Samia ambalo Mimi nanufaika.

Kwa kuwa huna hoja na hujitambui ndio maana unaishia kutoa mapovu na kutukana hovyo(ugonjwa wa akili)
Nimeshawambia akili zako ziko matakoni utawezaje kuona madudu na vipaumbele vya kipuuzi alivyonavyo bibi yako kiziwi, ni mpumbavu pekee tu ambaye anaweza kutoa 700m na kulipia kila goli 5m kwa watu ambao tayari wana mishaara yao kama wacheza mpira, wakati huo taifa analoliongoza ni maskini kiasi kwamba mahosipitalini hakuna hata gloves... ni upumbavu pekee tu kama wewe ndio huwezi kuona incompetence ya kiongozi kama huyu.
Namba ndio zinaongea,Kuna wizi rundo la ufisadi ilifanyika awamu ya 5 ikiwemo kujilia pesa za mikopo ya Halmashauri,Wizi kwenye manunuzi ya Ndege,Bwawa la Umeme nk .
Na wewe taja huo wizi wa mikopo ya almashauri kwenye awamu ya tano na kwenye hayo manunuzi ya kwenye bwawa la umeme, yaani unakaa na walamba makombo wenzio huko mnalishana ujinga kuhusu awamu ya tano kisha ndio mnakuja kuandika bila uthibitisho wowote kwenye mijadala kama hii.
Tanesco Kuna wizi gani mbona hutaji? Hayo niliyotaja Mimi Yana ushahidi wa CAG.
Tanesco chini ya dalali wa majenereta January makamba tumeona jinsi ilivyoendeshwa kihuni na kutoa huduma mbovu kwa wanainchi, halafu Leo hii wewe unauliza ufisadi tanesco? Tupe ushaidi wa CAG wa huo ufisadi wa almashauri kwenye awamu ya tano.
Kwa hiyo hayo maeneo ukiyoenda wewe ndio ushahidi wa wizi? Uko vizuri huko upstairs kweli? Mirembe imeboreshwa Kwa Ajili ya wagonjwa wa akili kama wewe.
Kwa hiyo ulitaka na mimi niwe mwendowazimu kama wewe kwamba source yako ya taarifa ni page za taasisi za serikali ambazo ni obvious zinaendeshwa na machawa sio? Kuhusu upstairs niko vizuri sana kuliko watu wote waliopo kwenye ukoo wako... njoo nikuoneshe almashauri ambayo kuna Watumishi wawili wamekufa tangu 2022 lakini mishaara yao bado inaendelea kutoka na inapigwa na mafisadi kama wewe, kama wewe ni wa kwenda mirembe basi wewe unatakiwa upelekwe kwenye zoo la simba wakali wenye njaa ukawe kitoweo Chao, maana aina ya binadamu kama wewe ni kirusi kwenye taifa hili na hamfai kuendelea kuishi.
Mapapa nk kina nani ikiwa Hadi Mwendazake alishindwa kufunga hata hao dagaa achilia mbali mapapa.
mwendazake alikuwa anawaadabisha wezi na wahujumu uchumi bila kuwaonea aibu hata wale ambao walikuwa wamemuweka mfukoni kikwete nafikiri unajua kilichowakuta akina Rugemalila.
eg RC wa Mwanza alikuwa anaongoza genge la wezi wa mifugo akiwa DC hata Magufuli alipoambiwa hakuna alichomfanya.
Haya leta uthibitisho wa hiki unachokisema kama kama sio dhiaka za kijinga na vijistori vya kutunga, na pia huko huko mwanza RC alikutwa na kesi ya ubakaji kesi nzito kuliko hata ya ufisadi ila mama yako chura kiziwi kashindwa hata kumkemea achililia mbali kumfukuza...!! Kwa maana nyingine serikali ya mama yako inafuga wabakaji japo yeye ni mwanamke.
Mlikuwa mnawaonea Watumishi wa Umma maskini ambao hata salary mlishindwa Kuwaongezea
Hao ni Watumishi wazembe walikuwa hawaonewi bali walikuwa wanapewa kinachowastahili, hakuna kiongozi thabiti anayelea wazembe na wabadhirifu serikalini, ni mama yako Samia tu ndio analea huu upumbavu kwa sababu hajui kuongoza nchi, na ndio hao hao Watumishi wazembe wanakesha wanamuimba "mama".."mama" unafikiri hawana mama majumbani mwao.
Leta ushahidi sio majungu ya kijinga

Porojo as usual 🤣🤣

Mama ameongeza makusanyo mara 2 in less than 4 years harafu alikuwepo mtu amekaa miaka 6 hakuna Cha maana amefanya,uliuliza utasikia alianzisha 😆😆
Makusanyo yapi bwana huyo mama yako kayaongeza? Kwa mbinu au akili gani aliyonayo kufanya mapato yaongezeke? Huyo si anapelekewa taarifa za kupikwa tu na hao watumishi wa TRA ambao wengi ni wala rushwa wakubwa, usiniletee data kutoka kwenye page ya TRA maana najua ni uongo mtupu... kama makusanyo yangekuwa makubwa tusingeona akikazana kutembeza bakuli huko kwa waarabu na mabeberu na kulikuza deni la taifa almost two times kulinganisha na alivyolikuta, ni wajinga wa huko kijijini kwenu ndio wataamini hizi taarifa eti Samia kaongeza makusanyo ya kodi na wakati wafanya biashara wakwepa kodi wanaifurahia hii awamu yake.
Tufanye kukopa ni vibaya,haya ukikopa ukajenga vituo vya Afya 650 vs 350 umesaidia watu au hapana?
Umeshasema makusanyo yameongezeka, sasa unaangaika na mamikopo ya nini kama sio ukichaa huo? Si mmeongeza mapato sasa kivipi tena deni la taifa nalo limeongezeka kwa speed ya rocket? Tafsiri yake wewe ni muongo haujaongeza makusanyo yoyote badala yake makusanyo yako aidha yameshuka au yako pale pale na unatumia pesa za misaada kufanya hayo mambo ya kimaendeleo.
Huu wote ni udhaifu na ukosefu wa maarifa, yaani badala ya kuivunia ni jinsi gani ulivyotumia rasilimali na pesa za jasho lako kujenga nyumba nzuri ya kuishi wewe na wanao, wewe unajivunia jinsi ulivyotumia hela ya mkopo kujenga nyumba nzuri huku ukiweka rehani mashamba ambayo ndio yanakupa uhakika wa kula wewe na wanao.. ni mjinga na mtu asiyekuwa na akili hata kidogo kama nyie machawa ndio mtajivunia hili.
Hapa orodha ni ndefu hatutamaliza itoshe kusema ukiona unakopesheka manake unalipa,huwezi kopesha mtu anaeharibj uchumi dizaini ya Mwendazake
Mwendazake was the best and will always be the best second to Nyerere, hakutaka kuwa mlamba makalio ya wazungu kama hawa wavaa kobazi..

Na pia ni upumbavu mkubwa saba kukosa mshipa wa aibu eti unasema kabisa unakopesheka kwa nchi yenye rasilimali lukuki kama hii, eti tunakopesheka... seriously? Ndio maana nasema nyie machawa na mama yenu Samia inapaswa tuwasahau kabisa baada ya mwezi October maana nyie ni virus kwenye taifa hili, mkiendelea kuwepo utashangaa 2027 deni la taifa limefika 140trillion halafu bado mnaendelea kukopa tu.
Heri kupora pesa za wahujumu uchumi ambazo wamezipata in mysterious way kuliko kuwakamua wanainchi wako hata kile kidogo walichonacho kwa kuwanzishia matozo yasiokuwa na kichwa wala miguu... mama yenu anafuga wezi, wahujumu uchumi na ndio wanaomfurahia wakati huo moyoni waking'ong'a kwa ujinga na udhaifu wake.
Hebu Acha kuniambia upumbavu hapa fala wewe, nenda kamdangnye bibi yako huko isongobyego... eti kila kituo cha afya kina vifaa tiba, serious? Kama hapa dar tu penyewe tumeambiwa juzi na Rac gloves za kumzalishia mama mjamzito hamna aende akajifungulie nyumbani halafu wewe mla makombo unatwambia eti kila kitu cha afya kina vifaa tiba? Hii ni dar tu sipati picha huko vijijini itakuwaje, hizo huduma hadi Vichochoroni ni huko kwenu au kizimkaz? Anglia na mtu wa kumdanganya kinabo wewe.
Ndio maana kumekuwa na mtindo wa kutumbisha Serikali za Wavaa kobazi pindi Rais akiwa wa upande huo na kuwanyanyasa watu wao pindi Rais akiwa mgalatia eg mashehe wa uamsho..
Hao wavaa kobazi kama kuna magumu wanayopitiaga chini yetu basi wanastahili maana hata wao wenyewe huwa hawatujali kabisa mabaya tunaofanyiwa kwenye tawala zao, mfano kama sasa hivi hatujasahau mauaji ya Padri kule Mbeya.
Eti ajira kede kede ajira gani hizo za kuwatosha watu waliopo mitaani mbuzi wewe? Mwambie mama ako kama yeye yuko smart ate genre private sector iwe na uwezo wa kuajiri watanzania milioni moja kila mwaka hapo ndio tutamuona Ana akili, na sio kutoa viajira 2,000 vya serikali kisha watoto wa maskini waanze kuzigombania, sasa kama anatoa ajira 17,000 halafu wanazigombania hizo ajira wako 200,000 unajivunia nini sasa? Akili zako ni ndogo sana Fala wewe sidhani kama umefika hata kidato cha sita.
Unapiga debe kama wale wamama wa pwani ambao kila weekend wako kwenye shughuli, nao huwa ni wapayukaji tu kama wewe...
Huna hoja.
utawezaje kuona hoja zako na wakati akili zako ziko matakoni na tumboni, hakuna chawa mwenye akili.
Wenye maarifa ndio hao Huwa wanavuruga uchumi harafu wasio na maarifa Wanaleta Neema? 🤣🤣
Huwa wanavuruga uchumi uliokaliwa na mafisadi na kuleta mlinganyo kwa wanainchi wote... Hao wavaa kobazi wanaleta neema kwa mafisadi na syndicates zao sababu ni dhaifu, na ni watu dhaifu kama wewe ndio huwa mnawafagilia.
hata ningekuwa mimi kama wanainchi wenyewe ndio mazombi kama wewe ambayo hayana uchungu na taifa lao ukiyaruhusu kuiba tu na kufanya ufisadi yanakusujudia, ningeishi maisha ya anasa na kula raha kadri nitakavyo kisha baada ya hapo nikarudi zangu kwetu na kuwaachia madeni mlipe wenyewe.

eti "pesa anatafuta na anapata bwerere" upumbavu kabisa
Tanzania ilipitia kipindi kigumu kuwahi tokea lakini Mungu akaamua mechi.
Mungu wa mafisadi au Mungu yupi huyo? Anyway hata mwaka huu hautamaliza huyo Mungu wako atatuondolea hichi kirusi na wewe mwenyewe,
Ulishajiuliza ni kwanin mama ako mnaomsifia na kumuona wa maana ni nyie machawa tu na watumishi wa serikali? Huku uraiani watu hawamuelewi kabisa licha ya kutandaza mabango kila kona mkimsifia?? Kwa sababu uwepo wake pale juu ni cancer katika taifa hili, ulishaona wapi raisi unawanyang'anya wanainchi wako makazi yao ya asili na kisha kuwakabidhi wageni halafu utegemee hao hao wanainchi wakupende?.. yeye mwenyewe kwanza anajijua tu hapendwi na raia na ndio maana anajitahidi kuwekeza kwa nyie machawa, na hata siku akiondoka atasahaulika wala hakuna atakayemuongelea sana kama tu ilivyo kwa Mwinyi, maana ni raisi wa ovyo kuwahi kutokea kwenye taifa hili na uraisi wake wa kuokota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…