Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

  • Nzuri
Reactions: Tui
Yaani nipanick kwa data ambazo hata sina muda wa kuzisoma!😂
Ndio unadhihirisha ujinga wako.Ni punguani tu anapinga kile ambacho hajakisoma na kukielewa.
Dharau unazoonyesha dhidi ya wakulima ni ushahidi dhahiri kwamba huna lolote la maana.Wewe ni loser tu na ndio tabia za ulimbukeni kujitapa.Walio na pesa na asset za maana hawajitapi wanajulikana.Wewe ni kapuku tu unayepigwa na maisha ndio maana upo bitter.
 
Mkuu vipi ile dollar iliyoshuka thamani, saivi mzani unasemaje huko Tsh vs USD.

Kipindi dollar inashuka watu humu walisema sio juhudi za serikali bali USA imeshusha interest rate na mambo mengine kadha wa kadha hata ikipanda it's just fair kuipa lawama USA sio kizimkazi na serikali yake.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndio unadhihirisha ujinga wako.Ni punguani tu anapinga kile ambacho hajakisoma na kukielewa.
Dharau unazoonyesha dhidi ya wakulima ni ushahidi dhahiri kwamba huna lolote la maana.Wewe ni loser tu na ndio tabia za ulimbukeni kujitapa.Walio na pesa na asset za maana hawajitapi wanajulikana.Wewe ni kapuku tu unayepigwa na maisha ndio maana upo bitter.
Sijitapi bali ndio ukweli, kwangu hela ni za asili sio za kutafuta, ww ndio ulisema nina shida, nimekupa ukweli wangu. Hao wakulima siwaonyeshi dharau bali ni kada ya watu wenye maisha magumu, hadi utasikia kama maisha yamekushinda mjini, nenda kijijini kalime. Mimi sijaja mjini ukubwani kama ww kusaka maisha, nipo muda wote, na sina ugumu huo wa maisha.
 
Kumbe ndio maana huna akili maana hujui kutafuta.

Tunakupa Madini urutubishe ubongo wako urudie kuwa na akili 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1887788912895988067?t=0qws8ltyEZc5vWNDZ-YxJg&s=19
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sijitapi bali ndio ukweli, kwangu hela ni za asili sio za kutafuta, ww ndio ulisema nina shida, nimekupa ukweli wangu. Hao wakulima siwaonyeshi dharau bali ni kada ya watu wenye maisha magumu, hadi utasikia kama maisha yamekushinda mjini, nenda kijijini kalime. Mimi sijaja mjini ukubwani kama ww kusaka maisha, nipo muda wote, na sina ugumu huo wa maisha.
Danganya wajinga wenzako.Eti hela za asili sio za kutafuta.Una kisima cha mafuta?Matajiri MO Dewji Bakhresa na GSM walitafuta na bado wanaendelea kutafuta itakuwa wewe kapuku usie na mbele wala nyuma?Mjinga yeyote anaweza ku fake maisha hapa JF kwa hiyo sioni ajabu wewe kufanya wanachofanya wajinga wenzako. Shemeji yako kaja ukale?Huna chochote debe tupu.
 
Unadhani hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu haziathiri tabia na hulka ya mtu?

Nyerere
Mkapa
Magufuli

Vs
Mwinyi
JK
Samia

Wewe unaona ni awamu zipi watu Huwa wananufaika kimaisha na zipi wanaharibikiwa?
Wewe mjinga mkubwa nimeshawahi kukwambia humu mara kibao tu kwamba hakuna kipindi hii nchi inakuwaga ya ovyo kama kipindi ambacho raisi akiwa ni mvaa kobazi, ni jambo ambalo liko wazi waislamu hamjui kuongoza hii nchi mnachoweza kuongoza nyie labda misiskiti tu.

Nchii ikiwaga chini raisi muislamu huwa tunajionea ufisidi uliokithiri na matumizi ya ovyo ovyo ya pesa za walipa kodi, na hata serikali inakuwaga ni dhaifu sana.

Ni kwenye tawala za maraisi waislamu huwa tunashuhudia kukithiri kwa vitendo vya rushwa bila kukemewa, ongezeko kubwa la watumishi hewa, uzembe kwa watumishi wa serikali, ukiritimba uliokithiri na kuongezeka kwa matabaka baina ya walio nacho na wasio nacho sambamba na mambo mengine ya kipumbavu kama "Unanijua mimi ni nani"?.

Ni kwenye awamu za maraisi waislamu huwa tunaona inashindwa kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato na kuacha kodi nyingi ikipotea sababu ya udhaifu wa serikali, na badala yake inaanza kutegemea zaidi pesa za misaada kuendeshea miradi ya kimaendeleo.

Maraisi wanaoongoza kwa kukopa kopa ovyo bila kusimamia vyema hizo pesa za mikopo ni maraisi waislamu hasa Kikwete na Samia.

Na kuhusu hali za kimaisha kwa watu, hakuna kipindi ambacho wanainchi wa hali ya chini huwa wanateseka sana kama kipindi ambacho nchi inakuwa imeshikwa na nyie mashekhe, maana utawala wenu huwa unawanufaisha elite citizens tu ambao ni wachache sana nchi hii na ndio hayo mafisadi, wakwepa kodi, wahujumu uchumi na machawa.. .. ndio maana huwa mnakuja na idea za kijinga sana za kukuza pato la taifa kama vile kuanzisha matozo yasiokuwa na kichwa wala miguu licha nchii kuwa na rasilimali kabao.

Ni kwenye tawala za nyie wavaa kobazi tuliwahi kushudia makanisa yakichomwa moto licha ya kwamba huwa mnajinasibu eti dini yenu ni ya amani.

Kwa ufupisho ni kwamba nyie waislamu nafasi ya uraisi hamuiwezi wala hamfai kukaa pale juu... na ndio maana kwenye tawala zenu raisi huwa anasifiwa na machawa,mafisadi pamoja na watumishi wazembe kwa sababu ni wanafiki na wananufaika na udhaifu wa serikali.

Nyie mnachojua ni kutumia kodi za wanainchi kuishi maisha ya anasa tu huku mkiwahadaa wanainchi kwa maendeleo kiduchu mnaowaletea.
 
Wewe mjinga mkubwa nimeshawahi kukwambia humu mara kibao tu kwamba hakuna kipindi hii nchi inakuwaga ya ovyo kama kipindi ambacho raisi akiwa ni mvaa kobazi, ni jambo ambalo liko wazi waislamu hamjui kuongoza hii nchi mnachoweza kuongoza nyie labda misiskiti tu.
Huo u hovyo Huwa ni upi hasa?
Nchii ikiwaga chini raisi muislamu huwa tunajionea ufisidi uliokithiri na matumizi ya ovyo ovyo ya pesa za walipa kodi, na hata serikali inakuwaga ni dhaifu sana.
Huo ufisadi uliokithiri ni upi hasa? Unaweza nitajia ? Ufisadi wa Trilioni 1.2 ulikuwa ni awamu ipi?
Ni kwenye tawala za maraisi waislamu huwa tunashuhudia kukithiri kwa vitendo vya rushwa bila kukemewa, ongezeko kubwa la watumishi hewa, uzembe kwa watumishi wa serikali, ukiritimba uliokithiri na kuongezeka kwa matabaka baina ya walio nacho na wasio nacho sambamba na mambo mengine ya kipumbavu kama "Unanijua mimi na nani"?.
Vitendo vya rushwa vilivyoongezeka ni vipi? Kama rushwa haikemewi Hawa wamechukuliwa hatua Kwa sababu zipi?
Screenshot_20250206-222721.jpg

Unaweza weka data za kuonesha ongezeko la hayo unayoyasema?
Ni kwenye awamu za maraisi waislamu huwa tunaona inashundwa kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato na kuacha kodi nyingi ikipotea sababu ya udhaifu wa serikali, na badala yake inaanza kutegemea zaidi pesa za misaada kuendeshea miradi ya kimaendeleo.
Inawezekanaje ambao hawakusanyi Kodi kama unavyosema wanaweza kutekeleza utitiri wa miradi,maelfu ya ajira kinyume na wanaosimamia Kodi Kushindwa hayo?

View: https://x.com/swahilitimes/status/1887752402415084030?t=InuXerrOId2ql1YUfvvG4A&s=19
Maraisi wanaongoza kwa kukopa kopa ovyo bila kusimamia vyema hizo pesa za mikopo ni maraisi waislamu hasa Kikwete na Samia.
Inawezekanaje wanaoongozwa kukopa hovyo wakawa wanaongoza Kwa makusanyo ya Kodi,miradi Mingi,Ajira, biashara nk?
Na kuhusu hali za kimaisha kwa watu, hakuna kipindi ambacho wanainchi wa hali ya chini huwa wanateseka sana kama kipindi ambacho nchi inakuwa imeshikwa na nyie mashekhe, maana utawala wenu huwa unawanufaisha elite citizens tu ambao ni backache sana nchi hii na ndio hayo mafisadi, wakwepa kodi, wahujumu uchumi na machawa.. na ndio maana huwa mnakuja na idea za kijinga sana za kukuza pato la taifa kama vile kuanzisha matozo yasiokuwa na kichwa wala miguu licha nchii kuwa na rasilimali kabao.
Alaa yaani watu wa chini wanateseka sana wakati huo huo ndio kipindi wakulima wanakuwa na uhakika wa.kuiza mazao,wanapunguziwa utitiri wa Kodi, Watoto wao wanapata Ajira, biashara zao zinaenda,nk? Hizo shida vipi?
Ni kwenye tawala za nyie wavaa kobazi tuliwahi kushudia makanisa yakichomwa moto licha ya kwamba huwa mnajinasibu eti dini yetu ni ya amani.
Alaa ila Tawala za Wagapatia watu wakiuwawa Kwa kugombea maji ya upako nk sawa 🤣🤣
Kwa ufupisho ni kwamba nyie waislamu nafasi ya uraisi hamuiwezi wala hamfai kukaa pale juu... na ndio maana kwenye tawala zenu raisi huwa anasifiwa na machawa,mafisadi pamoja na watumishi wazembe kwa sababu ni wanafiki na wananufaika na udhaifu wa serikali.
Nyie mnachojua ni kutumia kodi za wanainchi kuishi maisha ya anasa tu huku mkiwahadaa wanainchi kwa maendeleo kiduchu mnaowaletea na kutaka muimbwe

Kwa ufupi ambao hawawezi nafasi ya Urais Wanaleta maisha Mazuri na Maendeleo ila wale wanaoweza vyuma vinakaza.

Hivi Ukiwa mzima utachagua kuishi maisha ya kijima au kuishi ukistawi?

Mwisho Mimi sio Mtu wa dini zenu za Wazungu na Waarabu ila kwa.kuwa ndio mnatuongiza napendelea Zaidi Waislamu Kwa sababu tunanawiri.kiuchumi yaani ukifanya kazi inakulipa.sio.kule Kwa Wakristo wanakuwaga kama.mashetani wa kuharibiwa watu maisha .

Ona haya mambo 👇👇

View: https://youtu.be/CT9JTGPtDwY?feature=shared
 
Kwa taarifa yako wazazi wangu walikuwa vizuri kimapato, ila mafanikio yangu ni mapambano yangu binafsi na sio vya urithi. Hivyo vya urithi navisimamia tu maana ni haki yangu na ndugu zangu.
Walikuwa majizi ya serikalini wakaishia kulea mtu asiye na akili ya kutafuta ila ulalamishi wa Serikali wakati anakula vya urithi wa wizi.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia.

1. Imetoa ruzuku ya mbolea na pembejeo Kwa miaka 3

2. Imeonheza Bajeti ya Kilimo mara dufu

3. Imejenga na inajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation

4. Imeajiri maelfu ya Wataalamu wa Kilimo kuanzia Maafisa Ugani Hadi wahandisi.

5. Imeongeza Bajeti ya Utafiti Kwa Wataalamu.

6. Imenunua Vitendea kazi wa Wataalamu wa Kilimo kuanzia magari,pikipiki,vipima udongo,vishwambi nk

7. Imefufua na kuimarisha Tume ya Umwagiliaji

8. Imetafutia masoko ya bidhaa mbalimbali za Kilimo wakulima

9. Inanunua mazao ya wakulima,eg NFRA &CPB ndio soko kuu la mahindi ya Wakulima

10. Imejenga na inaendelea na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao Ili walau iwe na uwezo wa kutunza tani mil.3 za nafaka.

11. Imeanzisha mradi wa BBT Kilimo,mifugo,Uvuvi,Madini nk.

12. Inatoa mbolea mbegu za mazao Bure eg Korosho,ngano ,Chikichi nk

13. Ameanzisha mfumo wa Mauzo ya mazao kimtandao Tanzania Merchandile Exchange "TMX" hakuna makanjanja tena au madalali.

14. Ameanzisha mnad wa Chai ndani ya Nchi,hakuna Kupeleka Mombasa

15. Tanzania Kwa Sasa ni namba 2 wa Kuzalisha tumbaku na Korosho Afrika

16. Ameimarisha bei za mazao yote

17. Ameongeza mtaji wa Benki ya Kilimo ,Sasa pesa zipo na wakulima wanakopa.kwa riba nafuu.

18. Amepunguza riba za mikopo kwenye Kilimo kutoka 18% Hadi 9%

19. Ameanzisha programu ya Kusambaza matrekta 10,000 Kwa wakulima "Mechanisation drive"

20. Amerejwsha maonesho ya Kilimo Nanenane Kwa kuyafanya ya Kimataifa na Kujenga Viwanja vya Maonesho vya Kimataifa Dodoma na Mbeya.

Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea

View: https://youtu.be/tqvtrPSCl0U?feature=shared

My Take
Nawakumbusha tuu Rais Samia ni Game Changer wa Uchumi wa 🇹🇿 na ataendelea kuweka na kuvunja rekodi zake mwenyewe.

Haters mnaitwa kutoa povu ila ndio hivyo Samia ameshindikana.

View: https://www.instagram.com/p/DFo2hQloxmP/?igsh=YzhyYnkzeXI0dDF5

Ile Ndogo ya Rais Samia ya Kufanya Tanzania kuwa Ghala la Chakula Cha kulisha Afrika inaenda kutimia. Waweza soma hapa pia Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

View: https://www.instagram.com/reel/DFU1P6riddR/?igsh=MTJmd3k0cTcyMDd0NA==

let us be real mambo mengine ni kujivisha sifa za kujidanganya!!Nchi zilizochini ya jangwa la sahara nying msimu huu zimeEXPERIENCE ukame wa hatar mpaka umoja wa mataifa kutahadharidha janga.Nchi kama Zambia na zingine zimepata ukame wa hatar sisi tumebahatika kupata mvua.Hyo ndio sabab baaasi hayo mengine mnajidanganya tu.
 
Mkuu mmepenya namba mbili kwasabab hii hapa chini.🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20250207-144115.jpg
    Screenshot_20250207-144115.jpg
    175.2 KB · Views: 2
Porojo za mwaka wa uchaguzi, Bashe ananunua ukurasa kwenye magazeti ya kigeni huo mchezo mbona unajulikana.
 
let us be real mambo mengine ni kujivisha sifa za kujidanganya!!Nchi zilizochini ya jangwa la sahara nying msimu huu zimeEXPERIENCE ukame wa hatar mpaka umoja wa mataifa kutahadharidha janga.Nchi kama Zambia na zingine zimepata ukame wa hatar sisi tumebahatika kupata mvua.Hyo ndio sabab baaasi hayo mengine mnajidanganya tu.
Hapa ndio umeongea nini? Nigeria alikuwa namba 2 miaka yote nyuma ya South Africa,Sasa sisi kumpita Nigeria inahusikaje na ukame?

Pole sana 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1887788912895988067?t=jH9kG3N5sZ4MDYfbLj-1jw&s=19
 
Porojo za mwaka wa uchaguzi, Bashe ananunua ukurasa kwenye magazeti ya kigeni huo mchezo mbona unajulikana.
Kwa hiyo akinunua ukurasa ananunua Hadi figures yaani au?
-Quantity produced ananunua
-Exports value ya BOT ananunua
 
Back
Top Bottom