rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mwakyembe anataka mpaka vijana watatu toka team B waliopandishwa wawe wanachezeshwa vikosi vya kwanza katika kila teamMo anatafutwa. Hahahhaha.
WTFFFFFFFFFF [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]SERIKALI KUPITIA WAZIRI WA MICHEZO HARISON MWAKYEMBE AMESEMA UWEKEZAJI KWA VILABU VYA SIMBA NA YANGA NI 49% NA UWEKEZAJI INABIDI UHUSISHE KUANZIA WATU WATATU NA SIO MTU MMOJA KUHODHI ASILIMIA 49.aMESEMA ALIWAAGIZA TFF WASIMAMIE ZOEZI HILO LAKINI HAWAKUWA MAKINI HIVYO AMETAKA ZOEZI HILO LISIMAMIWE UPYA NA BMT LIKIHUSISHA WATU WA TRA, TFF, MKURUGENZI WA MICHEZO NA WADAU CHANZO CHA HABARI NI MWANASPOTI ONLINE
Hiyo asilimia 49 yake inagawanywa mara tatu. Wengi wawili wawekezaji wanasubiriwa. Ngonja nijaribu bahati yangu.Ni kama hizî timu ni mtaji mkubwa kwa serikali.
Linaboa sana, linataka kuharibu raha za watu..Huo ni ushauri tu, sio lazima TFF ifuate kilakitu inachoambiwa na huyu waziri. Huwa anakurupuka sana. Mwanzo alisema Kocha Amunike asiondolewe nafasi yake, TFF ilifanya upembuzi yakinifu ikamtimua. Waziri akakurupuka tena Timu zipunguze wachezaji wa kigeni - (Inamaana haoni mafanikio ya Simba na Yanga yanatokana na wachezaji gani?) maana sio timu zote zinamudu kusajili wachezaji wa nje. Leo anatuletea mizengwe ya ya mzee Kilomoni, wakati hiyo michakato ya uwekezaji ilishapita huko BMT na ilishapata baraka za Serekali. Namshauri mkubwa amtumbue huyu waziri atuletee waziri mwanamichezo.
Maana ya majority share holder sijui ni nini hapa.Hiyo asilimia 49 yake inagawanywa mara tatu. Wengi wawili wawekezaji wanasubiriwa. Ngonja nijaribu bahati yangu.