Uwekezaji wa Simba waingia dosari

Uwekezaji wa Simba waingia dosari

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Serikali kupitia Waziri wa Michezo Harison Mwakyembe amesema uwekezaji kwa vilabu vya Simba na Yanga ni 49% na uwekezaji inabidi uhusishe kuanzia watu watatu na sio mtu mmoja kuhodhi asilimia 49.

Amesema aliwaagiza TFF wasimamie zoezi hilo lakini hawakuwa makini hivyo ametaka zoezi hilo lisimamiwe upya na bmt likihusisha watu wa TRA, TFF, mkurugenzi wa michezo na wadau chanzo cha habari ni mwanaspoti online
 
SERIKALI KUPITIA WAZIRI WA MICHEZO HARISON MWAKYEMBE AMESEMA UWEKEZAJI KWA VILABU VYA SIMBA NA YANGA NI 49% NA UWEKEZAJI INABIDI UHUSISHE KUANZIA WATU WATATU NA SIO MTU MMOJA KUHODHI ASILIMIA 49.aMESEMA ALIWAAGIZA TFF WASIMAMIE ZOEZI HILO LAKINI HAWAKUWA MAKINI HIVYO AMETAKA ZOEZI HILO LISIMAMIWE UPYA NA BMT LIKIHUSISHA WATU WA TRA, TFF, MKURUGENZI WA MICHEZO NA WADAU CHANZO CHA HABARI NI MWANASPOTI ONLINE
WTFFFFFFFFFF [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Huo ni ushauri tu, sio lazima TFF ifuate kilakitu inachoambiwa na huyu waziri. Huwa anakurupuka sana. Mwanzo alisema Kocha Amunike asiondolewe nafasi yake, TFF ilifanya upembuzi yakinifu ikamtimua. Waziri akakurupuka tena Timu zipunguze wachezaji wa kigeni - (Inamaana haoni mafanikio ya Simba na Yanga yanatokana na wachezaji gani?) maana sio timu zote zinamudu kusajili wachezaji wa nje. Leo anatuletea mizengwe ya ya mzee Kilomoni, wakati hiyo michakato ya uwekezaji ilishapita huko BMT na ilishapata baraka za Serekali. Namshauri mkubwa amtumbue huyu waziri atuletee waziri mwanamichezo.
 
Linaboa sana, linataka kuharibu raha za watu..
 
Hiyo asilimia 49 yake inagawanywa mara tatu. Wengi wawili wawekezaji wanasubiriwa. Ngonja nijaribu bahati yangu.
Maana ya majority share holder sijui ni nini hapa.
Jamaa ni minority ila jitu bado tu linaleta upuuzi.
Yanga huyu, mbaaafffff.
 
Kuna Sheria yoyote Mh. Mwakyembe anatumia kwenye Hili?
 
Kwahiyo mumbe kilomon alikuwa sahihi? Sasa kwanini hawa mbumbumbu fc walimpinga? Au kwakuwa labda mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Na kesho Mzee Kilomoni kaaalika waandishi wa habari za michezo, ktk kile anakiita MSUMARI WA MOTO... Nyumbani kwake BLOCK 41
 
Hatumtaki mwakyembe kuwa waziri wa michezo anatuvuruga. Atumbuliwe atatuharibia mpira bongo
 
Back
Top Bottom