chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
#hatumtaki mwakyembe kwenye michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepotea?Mo anatafutwa. Hahahhaha.
What's funny ?Mo anatafutwa. Hahahhaha.
Hakawii kuandaa mswada wa dharura ili kupachezesha hapo,Huo ni ushauri tu, sio lazima TFF ifuate kilakitu inachoambiwa na huyu waziri. Huwa anakurupuka sana. Mwanzo alisema Kocha Amunike asiondolewe nafasi yake, TFF ilifanya upembuzi yakinifu ikamtimua. Waziri akakurupuka tena Timu zipunguze wachezaji wa kigeni - (Inamaana haoni mafanikio ya Simba na Yanga yanatokana na wachezaji gani?) maana sio timu zote zinamudu kusajili wachezaji wa nje. Leo anatuletea mizengwe ya ya mzee Kilomoni, wakati hiyo michakato ya uwekezaji ilishapita huko BMT na ilishapata baraka za Serekali. Namshauri mkubwa amtumbue huyu waziri atuletee waziri mwanamichezo.
Huyu waziri anataka kutuharibia timu tu! Akili za kipuuzi hizi.
Bado mnafatilia gari la Manji na kuliosha kila anapokwenda au mko likizo?Mzee kilomoni ndo mwnye akili pekee aliebaki kwenye hiyo teamView attachment 1162077