Uwekezaji wa Simba waingia dosari

Uwekezaji wa Simba waingia dosari

tatizo mchakato wa uwekezaji waliharibu toka mwanzo Mwakyembe kashituka atakuja kutumbuliwa hivyo ameruka kimanga kitendo cha kuteua mjumbe toka soko la mitaji wakati watu wa soko la mitaji walitakiwa kuhusishwa mwanzo kabisa kabla ya uwekezaji kufanyika ina maana kagundua makosa yake
 
Huo ni ushauri tu, sio lazima TFF ifuate kilakitu inachoambiwa na huyu waziri. Huwa anakurupuka sana. Mwanzo alisema Kocha Amunike asiondolewe nafasi yake, TFF ilifanya upembuzi yakinifu ikamtimua. Waziri akakurupuka tena Timu zipunguze wachezaji wa kigeni - (Inamaana haoni mafanikio ya Simba na Yanga yanatokana na wachezaji gani?) maana sio timu zote zinamudu kusajili wachezaji wa nje. Leo anatuletea mizengwe ya ya mzee Kilomoni, wakati hiyo michakato ya uwekezaji ilishapita huko BMT na ilishapata baraka za Serekali. Namshauri mkubwa amtumbue huyu waziri atuletee waziri mwanamichezo.
Hakawii kuandaa mswada wa dharura ili kupachezesha hapo,
Ngoja tuone bunge lijalo
 
Watuletee hao wadhamini sio anaongea tu, hii Yanga inaomba hadi leo wamewasaidia nn. Hizi sera wapeleke timu ya taifa huku kwenye vilabu hakuwahusu
 
uwoo n ukichaa wanauleta apo siasa za kboya huyu jamaa anamzalilisha na kumuhujumu maguful wakat maguful anajenga yy anabomoa team Nape uyu naona
 
Kama thamani ya hisa 49% ni sawa na 20b alizotaka kuwekeza MO na hisa 49% inatakiwa iwe chini ya watu wasiopungua watatu naona kama MO anakaribia kumalizia kipande chake tusubiri wengine wawili wajazie ifike hiyo 20b
 
inawezekana ni utaratibu ambao uko kisheria kwenye uwekezaji wa vilabu ila watu wengi hatuujui ndio maana tunamshangaa waziri
 
Mzee kilomoni ndo mwnye akili pekee aliebaki kwenye hiyo team
Kl.jpg
 
Back
Top Bottom