Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.
Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake.
Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.
Kwa wadadisi wa siasa zetu, kuna tafsiri gani inayoletwa na picha hii?
=====
Kupata ukweli wa habari hii soma hapa: Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Rais Samia waliyopiga Ikulu inaonesha asali nyuma