Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

Status
Not open for further replies.
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.

Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiqngalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake.

Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.

Kwa wadadisi wa siasa zetu, kuna tafsiri gani inayoletwa na picha hii?

View attachment 2465750
Kawaulize wahusika. Kama hawajibu, uliza chawa kama Yusuf Makambale
 
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.

Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiqngalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake.

Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.

Kwa wadadisi wa siasa zetu, kuna tafsiri gani inayoletwa na picha hii?

View attachment 2465750

Huoni kabisa kwamba hiyo ni photo imposed image?

Tokea lini jagi la kioo lisioneshe upande wa pili?

JF ina vilaza sana siku hizi
 
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote.

Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiqngalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake.

Nimejiuliza maswali mengi bila majibu.

Kwa wadadisi wa siasa zetu, kuna tafsiri gani inayoletwa na picha hii?

View attachment 2465750
Duh !! Hiyo ni deliberately 😂 Au ??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom