Uwepo wa Diwani Athumani na Kapilimba Bungeni ni kama ulimchanganya kidogo

Uwepo wa Diwani Athumani na Kapilimba Bungeni ni kama ulimchanganya kidogo

Ni vile hatumuoni tu, ila kwa sasa anahofia hata kivuli chake.

Nina hakika analala taa zikiwa zinawaka.

Sura yake imepoteza haiba yote, ni mtu mwenye msongo wa mawazo.

Ndani ya wiki 2 tu kazeeka mithili ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom